Huu ni uhaini na uchochezi wa CHADEMA

Huu ni uhaini na uchochezi wa CHADEMA

Napendekeza ChaDeMa kifutwe maana hakina la maana lolote kwa wananchi zaidi ya maandamano ambayo yanahatarisha usalama wa nchi.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
:target😛ole sana afadhali ukapimwe akili yako ni mgonjwa hujijui
 
...Hehehehehe unaishi Tanzania gani hadi kuandika CDM inahatarisha amani nchini? Tafakari kabla ya kuandika badala ya kukurupuka. Moto wa mabadiliko umeshaanza na hakuna kurudi nyuma na ndoto yenu kwamba magamba itatawala Tanzania milele kamwe haitatimia. Unajua magamba wamehusika katika kutoa roho za Watanzania wangapi, kisa hawakiungi mkono chama chenu!?

😛eace:😛eace:😛eace:

Alutta Continua
[/
.
Unajua Chadema wameua wafuasi wao wangapi, ngoja nikukumbushe mmoja tu, hukumbuki juu ya Chacha Wangwe?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

....Una matatizo makubwa sana wahi Mirembe kabla hujaharibikiwa zaidi. Sijui ni kipi unachojaribu kukitetea hapa ndani ya chama fisadi na Serikali fisadi.
 
:target:kama vichaa wangejijua kuwa ni vichaa tusingewawekea madaktari pole sana anaeipenda ccm
 
...Hehehehehe unaishi Tanzania gani hadi kuandika CDM inahatarisha amani nchini? Tafakari kabla ya kuandika badala ya kukurupuka. Moto wa mabadiliko umeshaanza na hakuna kurudi nyuma na ndoto yenu kwamba magamba itatawala Tanzania milele kamwe haitatimia. Unajua magamba wamehusika katika kutoa roho za Watanzania wangapi, kisa hawakiungi mkono chama chenu!?

😛eace:😛eace:😛eace:

Alutta Continua
[/
.
Unajua Chadema wameua wafuasi wao wangapi, ngoja nikukumbushe mmoja tu, hukumbuki juu ya Chacha Wangwe?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Hii kazi unayoifanya, walisha ifanya wenzio ( Ritz, Rejao, FF, Nyaning'abu, Mwita25) wakachemka hadi Nape boss wako akaja mwenyewe nae pia akashindwa!! Sasa wewe kiroboto kwenye kunguni sidhani kama utaweza! Ila jitahidi!!
 
kama kweli ulikwenda shule afadhali ukazibue mifereji ya maji machapu nakushauri uwe unasoma gazeti la uhuru tu pambaf wee
 
Kelele za Zitto bungeni iliripotiwa anashinikizwa na nchi flani ya nje. Jee, na hawa? nna uhakika kuna ka mkono fulani kakutoka nje, lakini nnwahakikishia Tanzania ni zaidi ya wanavyoiona ngoja wataumbuliwa baada ya muda si mrefu. Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka.

Walitulizana lakini naona sasa wameshajisahau na wanaanza tena siasa zao chafu za uvunjifu wa amani. Safari hii ndio itakuwa mwisho wao daima.

Hivi unaakili sawasawa, au kuna upande wa ubongo umetoka? Siasa chafu kwako ni zipi? Au kusema ukweli na kumwaga hadharani ufisadi wa chama tawala kwako ni siasa chafu?

Kwa taarifa yako mahali tulipofika watanzania cdm iwepo isiwepo mageuzi ni lazima na kuishinikiza serikali hakuepukiki. Hili linalotokea sasa ni trela nyie na huyo bwana mkubwa wenu ambaye hudharau hitaji la wananchi watarajie siku si nyingi kutokea kwa taharir square.
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo
Usamehewe bure tu, maana hujui unalolisema.
 
Napendekeza ChaDeMa kifutwe maana hakina la maana lolote kwa wananchi zaidi ya maandamano ambayo yanahatarisha usalama wa nchi.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

adhabu ya kukupuuza inakutosha,we ndio chakula cha magamba ya mamba
 
Kwanza uanzie kusafisha nyumbani kwako kabla hujaenda kusafisha kwa jirani yako. Unadhirifu wa kutokulipa kodi kwa Slaa wa Chadema? ubadhirifu wa Mbowe kuwauzia FUSO mtumba kwa millioni 350? ubadhirifu wa Mbowe kukataa kulipa fedha za NSSF? ubadhirifu wa chadema kutumia fedha za walipa kodi kumlipa hawara, na hausigeli wa hawara perdiem za zaidi ya laki mbili kwa siku? ubadhirifu wa chadema kulipa walinzi wa kanisa?

Ubadhirifu wa Slaa kupangisha hoteli ya kifahari kwa mtoto wa nje ya ndoa asisumbuke? ubadhirifu wa kuhongwa misaada ya jimboni na barrick gold baada ya kupiga kelele na alipohongwa hiyo misaada akakaa kimya kwa barrick, zitto.

Fikiri!

Hao ni bado wapinzani tu, wakipewa nchi?

we unajijuaje kama si wanje ya ndoa?
 
Unavowaamuru polisi wawakamate unadhihirisha kuwa slaa alikuwa sahihi kuhusu polisi

Polisi wa nchi za wenzetu humtafuta mhalifu na kumfikisha mahakamani.. Polisi wa Bongo hukaa kituoni, wanasubiri upeleke taarifa,ufanye uchunguzi mwenyewe,na ukifanikiwa kumuona mtuhumiwa ukawafuate ili waje wamkamate,utaambiwa hamna ushahidi nenda katafute ushahidi.. Ila wana DIGIRII za inteleginsia ktk maandamano ya CDM na Migomo....
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

Wewe Mtanzania mwenzangu utakuwa unaumwa kama yule mwenye Uzi wa Damu itamwagiga. Haya maneno "uchochezi na damu itamwagika" uyapime kwa ukweli huu: kwamba Tanzania ilishiriki kuleta ukombozi Afrika Kusini, Msumbiji, Angola, Namibia na nchi jirani ya Uganda Kwa kumwaga damu, na kwa kusambaza maneno makali.

Laiti wewe na yule mleta uzi wa damu kumwagika mngejua Nyerere alikuwa na uwezo mkubwa zaidi yenu kutafakari mambo, na kwamba huyu genius aliidhinisha maneno makali na kumwaga damu kila palipokuwa na maslahi makuu ya taifa, labda mngetambua na kukubali ukweli huu: Kwamba nyinyi wawili ni wajinga sana. Hakuna ubaya kumwaga damu kama hilo linalenga kuleta maisha bora kwa vizazi vijavyo. Tanzania kama taifa tulimwaga damu Msumbiji, Uganda na kwingineko kuboresha maisha ya ndugu zetu kwa rangi tu. Waafrika wenzetu. Kuna ubaya gani sasa, kumwaga damu kuboresha maisha yetu wenyewe?

Shime vijana wa Tanzania. Uwiano kati ya uwingi wa polisi wa Tanzania na raia pana GAP kubwa mno, hata kama kila polisi ataua raia 50 kwa idadi ya risasi alizonazo. Wachache watapoteza maisha katika mapambano hayo, lakini watakaobaki hai wataishi katika Tanzania isiyodai rushwa hospitalini, Tanzania isiyodai rushwa mashuleni, Tanzania isiyodai rushwa kwenye kaunta za polisi, Tanzania isiyodai rushwa mawizarani, Tanzania isiyodai rushwa kwenye tenda za idara mbalimbali za serikali. Adui wa amani na maendeleo ya Tanzania tunamjua vizuri sana! Na adui huyo si Dr. Slaa, wala Mnyika, wala Mbowe! Ni utawala uliopo pamoja na watetezi wake.

Toa ujinga wako hapa.
 
we bwana usituletee balaa wenzako magamba walivyo vichwa maji watafuata ushauri wako alafu patachimbika ondoa thread yako kabla nape na wengine hawajaona
 
Kelele za Zitto bungeni iliripotiwa anashinikizwa na nchi flani ya nje. Jee, na hawa? nna uhakika kuna ka mkono fulani kakutoka nje, lakini nnwahakikishia Tanzania ni zaidi ya wanavyoiona ngoja wataumbuliwa baada ya muda si mrefu. Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka.

Walitulizana lakini naona sasa wameshajisahau na wanaanza tena siasa zao chafu za uvunjifu wa amani. Safari hii ndio itakuwa mwisho wao daima.
Ribosome, mi naku-mind sana wewe, na siku ndo na-meet na wewe face to face, mummy yangu, utachezea vitasa vyangu wewee! Yaani ni kipepsi na kiopener, kipepsi kiopener. Na ole wako unishinde, nikipafahamu kwako navaa mabomu, najilipua ili upotee kabisa kwenye uso wa dunia hii, kudadako. Mijitu kama wewe ni zaidi ya shetani ati, mnatetea maovu tu.
 
Wewe Mtanzania mwenzangu utakuwa unaumwa kama yule mwenye Uzi wa Damu itamwagiga. Haya maneno "uchochezi na damu itamwagika" uyapime kwa ukweli huu: kwamba Tanzania ilishiriki kuleta ukombozi Afrika Kusini, Msumbiji, Angola, Namibia na nchi jirani ya Uganda Kwa kumwaga damu, na kwa kusambaza maneno makali.

Laiti wewe na yule mleta uzi wa damu kumwagika mngejua Nyerere alikuwa na uwezo mkubwa zaidi yenu kutafakari mambo, na kwamba huyu genius aliidhinisha maneno makali na kumwaga damu kila palipokuwa na maslahi makuu ya taifa, labda mngetambua na kukubali ukweli huu: Kwamba nyinyi wawili ni wajinga sana. Hakuna ubaya kumwaga damu kama hilo linalenga kuleta maisha bora kwa vizazi vijavyo. Tanzania kama taifa tulimwaga damu Msumbiji, Uganda na kwingineko kuboresha maisha ya ndugu zetu kwa rangi tu. Waafrika wenzetu. Kuna ubaya gani sasa, kumwaga damu kuboresha maisha yetu wenyewe?

Shime vijana wa Tanzania. Uwiano kati ya uwingi wa polisi wa Tanzania na raia pana GAP kubwa mno, hata kama kila polisi ataua raia 50 kwa idadi ya risasi alizonazo. Wachache watapoteza maisha katika mapambano hayo, lakini watakaobaki hai wataishi katika Tanzania isiyodai rushwa hospitalini, Tanzania isiyodai rushwa mashuleni, Tanzania isiyodai rushwa kwenye kaunta za polisi, Tanzania isiyodai rushwa mawizarani, Tanzania isiyodai rushwa kwenye tenda za idara mbalimbali za serikali. Adui wa amani na maendeleo ya Tanzania tunamjua vizuri sana! Na adui huyo si Dr. Slaa, wala Mnyika, wala Mbowe! Ni utawala uliopo pamoja na watetezi wake.

Toa ujinga wako hapa.
You are a great thinker mkuu.
 
Napendekeza ChaDeMa kifutwe maana hakina la maana lolote kwa wananchi zaidi ya maandamano ambayo yanahatarisha usalama wa nchi.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Now nimeamini,Wafuasi wa CCM ni Majuha 70%
Chama kinachostahili kufutwa..
1. CCM ndicho chama pekee ambacho hakijasajiliwa ktk orodha ya msajli wa vyama..
2,. Inashiriki uchaguzi kunyume na utaratibu kwani hakijasajiliwa kama chama cha siasa..
3. Kinavunja sheria kwa kuingilia shughui za serikali hasa Wizara(uhamiaji)
4. Ni Chama chenye tuhuma za wazi kwa kupora raslimali za umma na kijimilikisha ( viwanja vya michezo,taasisi,majumba nk)
Kisheria CCM NI WEZI NA WAVAMIZI thats y hawana chembe ya huruma na Nchi hii... na kwa taarifa yako tu,Kabila la Wakwere asili yake ni Msumbiji.. Mkapa na JK ni ndugu wote n frm Msumbiji
 
Napendekeza ChaDeMa kifutwe maana hakina la maana lolote kwa wananchi zaidi ya maandamano ambayo yanahatarisha usalama wa nchi.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Kwa utumbo huu, kweli wewe ni chakula cha wasomi.
 
Back
Top Bottom