Huu ni uhaini na uchochezi wa CHADEMA

Kadakabikile, wewe ndie mchochezi na asiyependa haki za watanzania..
Jibu maswali haya:-
*.*. Unaipenda Tanzania yenye Amani? Ndio au La?
Kama ndio;
....a). unaupenda uvamizi ulitokea Kabuhorera, Kirumba, Mwanza hatimaye wabunge wakiwamo watu fulani fulani wakajeruhiwa?
..b). Unaupenda unyanyasaji wa Askari polisi dhidi ya wapinzani na raia watanzania?
...c). Unavutia kwako kwa kuwa wewe ni mwana CCM kutimiza methali 'kila mwamb
.
.
Napenda nijibu maswali yako ambayo nadiriki kusema kuwa ni mazuri kama ifuatavyo.
Kwanza kabisa napenda sana kitu kiitwacho amani, ndiyo maana nawachukia sana Chadema kwa kuwa wamekuwa wakihatarisha amani ya nchi yetu.
Pili, hao wabunge waliokatwa mapanga ni kutokana na chuki ambazo haziishi ndani ya Chadema, ona Chadema wasivyo na adabu wanadiliki kukatana mapanga wao kwa wao, je, endapo wakikabidhiwa nchi, itakuwaje?.
Tatu sifurahii kukatwa mapanga kwa hao wabunge, lakini ninachowaomba hao wabunge, waachane na Chama chenye chuki maana wakiendelea kuwemo humo wanaweza kuuawa.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Anahaha bwana mdogo alafu hata hizi siasa za maji ya chooni bado hajazimudu vema,
safari hii tunakalisha mpaka tembo.
Subiri utaona.
 
Wacha wafanye uchochezi kwa sababu Tanzania hakuna serikali.Utaniuliza kwanini? Kwa sababu hata mafisadi wanachukua chao mapema na kama kuna dola haya yangetokea?

Utashi wetu ndio unatufanya tuwekama tunaserikali kwa sababu tunaheshimiana na kuthaminiana lakini kuna wachache wenye mawazo ya ziada wanaona wenzao hamnazo na kuwa wajanja kwa mawazo yao.

Kuna muda tunachoka, na tunataka mabadiliko na mabadiliko huja kwa Revolution ambapo damu humwagika na bila damu hakuna mapinduzi.Usiogope kupigana ogopa kufa bila kupigana.
 
Kadakabikile, wewe ndie mchochezi na asiyependa haki za watanzania..
Jibu maswali haya:-
*.*. Unaipenda Tanzania yenye Amani? Ndio au La?
Kama ndio;
....a). unaupenda uvamizi ulitokea Kabuhorera, Kirumba, Mwanza hatimaye wabunge wakiwamo watu fulani fulani wakajeruhiwa?
..b). Unaupenda unyanyasaji wa Askari polisi dhidi ya wapinzani na raia watanzania?
...c). Unavutia kwako kwa kuwa wewe ni mwana CCM kutimiza methali 'kila mwamb
.
.
Napenda nijibu maswali yako ambayo nadiriki kusema kuwa ni mazuri kama ifuatavyo.
Kwanza kabisa napenda sana kitu kiitwacho amani, ndiyo maana nawachukia sana Chadema kwa kuwa wamekuwa wakihatarisha amani ya nchi yetu.
Pili, hao wabunge waliokatwa mapanga ni kutokana na chuki ambazo haziishi ndani ya Chadema, ona Chadema wasivyo na adabu wanadiliki kukatana mapanga wao kwa wao, je, endapo wakikabidhiwa nchi, itakuwaje?.
Tatu sifurahii kukatwa mapanga kwa hao wabunge, lakini ninachowaomba hao wabunge, waachane na Chama chenye chuki maana wakiendelea kuwemo humo wanaweza kuuawa.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Mwanzoni nilikuwa natofautiana na wewe kwa mambo ya kawaida ila sasa napata wasiwasi kama kweli wewe ni binaadamu au kiumbe kingine cha ajabu!!!hebu rudia kuangalia ulichoki harisha hapo halafu uangalie kama kuna uwezekano wa ku jiwajibisha ikibidi kutoingia JF kabisa
 
Last edited by a moderator:
Mwanzoni nilikuwa natofautiana na wewe kwa mambo ya kawaida ila sasa napata wasiwasi kama kweli wewe ni binaadamu au kiumbe kingine cha ajabu!!!hebu rudia kuangalia ulichoki harisha hapo halafu uangalie kama kuna uwezekano wa ku jiwajibisha ikibidi kutoingia JF kabisa

Mimi niwe kiumbe cha ajabu, hahahahahahahah wewe umeanza utani, ngoja nirudi kwenye mada, Chadema ni wahaini na inatakiwa viongozi wake wote watiwe ndani.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria. ….ndiyohiyo
Ningepewa ruhusa ya kuporomosha matusi hapa kudadadeki ningetukana......Utawala wa sheria upi unao uzungumzia huu ulioshindwa kuwa kamata mafisadi ili hali ushahidi uko wazi, huu unaopindisha sheria kwa amri ya Ikulu..............
 
Akamatwe waziri aliyenunue nyumba kwa milioni mia sita wakati kina mama wajawazito wanakufa mahosibitalini kwa kukosa dawa,wanafunzi wanakaa chini
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

Mkuu, sijakuelewa unataka kusema nini hasa?
Ni kipi katika hayo uliyoyaorodhesha siyo cha kweli?
Labda niseme tu umeshindwa kujenga na kuitetea hoja yako.
Na hiyo inaakisi jina lako, kwani mara nyingi mtu akishindwa kujenga na kuitetea hoja huishia kusema, "habari ndiyo hiyo".

kweli duniani kuna watu na viatu! kumbe kuna watu wanajua uchochezi ni kuiondoa serikali ila kuiba na kutafuna kodi za wanyonge mnaona ni kitu cha kawaida..! mmmmh tunayo safari ndefu kuufikia ukombozi
 
pipooooooooooooooooooooooooooooooozzzzzzz,poooooooowwwwwwwwwwwweeeeeeeeeeeeeeeerr,najua mleta mada na wapambe wako huwa mnaogopa sana mkisikia hiiiiiii
 
sababu hujaona uhuhimu wake ndo mana unashauri hivo, nna waswas umezaliwa na umekulia eneo ambalo hujawai hata kuona bendera ya cdm, kuwa chachu ya mabadilko na cyo chachu ya ufisad.
 
na ni imani yangu kuwa huyo unayemuita hawara wa dr.slaa anakuudhi kweli kweli kwani ulipenda nafasi ile apewe dada yako. Ila kwa kukusaidia tu, josephine ni kada wa cdm. Na hilo kama wanachadema hatuna shida nalo kwani kazi yetu anaifanya vyema. Wakati anakamatwa na kuchaniwa nguo yake arusha na askari wa chama chenu, ule ndio hasa ulikuwa uhaini.

Haya maneno yenye jazba yanawatoka kwa kuwa mna hofu kwamba kadiri dr.slaa anavyopanua mdomo jukwaani, madiwani wanahamia cdm. vua gamba, vaa gwanda.

na mtakonda sana mwaka huu, kamwambie jk, ccm inamfia mikononi.

Halafu punguza mambo ya kike kike, nssf na mbowe nani ni mamlaka?

Kanisa lina fedha zaidi ya chama chako, sidhani kama haya maneno hukuyatoa kwenye khanga.

Kusema dr.slaa kakataa kulipa kodi ni kuzidi kuitukana serikali yako dhaifu, hii inamaanisha kila atakayekataa ataachwa asilipe au? So pathetic
tumsamehe mfumo umemwaribu.mwenye macho haambiwi tazama.ccm kwa heri na kikwete wenu. Byeeeeee... Mtayakumbuka maovu yenu.sisi tuna mungu nyie mna hela za wizi.tutaona sasa..
 
Napendekeza ChaDeMa kifutwe maana hakina la maana lolote kwa wananchi zaidi ya maandamano ambayo yanahatarisha usalama wa nchi.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

hivi kat ya cdm na ccm kipi kinastahili kufutwa?"waliosoma hawakuelimika ni wapumbavu"
 
Kwanza uanzie kusafisha nyumbani kwako kabla hujaenda kusafisha kwa jirani yako. Unadhirifu wa kutokulipa kodi kwa Slaa wa Chadema? ubadhirifu wa Mbowe kuwauzia FUSO mtumba kwa millioni 350? ubadhirifu wa Mbowe kukataa kulipa fedha za NSSF? ubadhirifu wa chadema kutumia fedha za walipa kodi kumlipa hawara, na hausigeli wa hawara perdiem za zaidi ya laki mbili kwa siku? ubadhirifu wa chadema kulipa walinzi wa kanisa?

Ubadhirifu wa Slaa kupangisha hoteli ya kifahari kwa mtoto wa nje ya ndoa asisumbuke? ubadhirifu wa kuhongwa misaada ya jimboni na barrick gold baada ya kupiga kelele na alipohongwa hiyo misaada akakaa kimya kwa barrick, zitto.

Fikiri!

Hao ni bado wapinzani tu, wakipewa nchi?

unajua sasa jf imeingiliwa na watu wasioweza kufikiri sasa na wewe nadhani ni mmoja wao, ndugu hebu jaribu kwanza kufikiri kwanza na sio tu kuandika eti unajua sana kuongea ? hapana toa ushahidi na fanya utafiti.wewe huoni hayo madudu yaliyo tokea bungeni hivi karibuni ?jamani hii nchi sasa badala ya kutetea wananchi tunaanza kufanya masihala.wewe angalia kama umetumwa na mafisadi koma.nausiandike humu ndani tena kwa kuwa waonekana huna nia njema na watanzania

hivi kat ya cdm na ccm kipi kinastahili kufutwa?"waliosoma hawakuelimika ni wapumbavu"

Unauliza ma.vi kama yananuka, mbona jibu ni dhahiri kabisa, ChaDeMa ni chama kisichotakiwa hapa Tanzania kama tunataka hii nchi iendelee kuwa na amani.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

Mkifunuliwa nguo na kuonekana magagulo yenu mnachukia kweli?,na wewe ni kijana bado upo katika fikra mbovu mbovu Kama hizi!!!hakika safari ni ndefu
 
Napenda nijibu maswali yako ambayo nadiriki kusema kuwa ni mazuri kama ifuatavyo.
Kwanza kabisa napenda sana kitu kiitwacho amani, ndiyo maana nawachukia sana Chadema kwa kuwa wamekuwa wakihatarisha amani ya nchi yetu.
Pili, hao wabunge waliokatwa mapanga ni kutokana na chuki ambazo haziishi ndani ya Chadema, ona Chadema wasivyo na adabu wanadiliki kukatana mapanga wao kwa wao, je, endapo wakikabidhiwa nchi, itakuwaje?.
Tatu sifurahii kukatwa mapanga kwa hao wabunge, lakini ninachowaomba hao wabunge, waachane na Chama chenye chuki maana wakiendelea kuwemo humo wanaweza kuuawa.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

...Hehehehehe unaishi Tanzania gani hadi kuandika CDM inahatarisha amani nchini? Tafakari kabla ya kuandika badala ya kukurupuka. Moto wa mabadiliko umeshaanza na hakuna kurudi nyuma na ndoto yenu kwamba magamba itatawala Tanzania milele kamwe haitatimia. Unajua magamba wamehusika katika kutoa roho za Watanzania wangapi, kisa hawakiungi mkono chama chenu!?

:peace::peace::peace:

Alutta Continua
 
Kelele za Zitto bungeni iliripotiwa anashinikizwa na nchi flani ya nje. Jee, na hawa? nna uhakika kuna ka mkono fulani kakutoka nje, lakini nnwahakikishia Tanzania ni zaidi ya wanavyoiona ngoja wataumbuliwa baada ya muda si mrefu. Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka.

Walitulizana lakini naona sasa wameshajisahau na wanaanza tena siasa zao chafu za uvunjifu wa amani. Safari hii ndio itakuwa mwisho wao daima.

Ribosome, kelele za Zitto zilipigwa juu ya uchafu wa serikali ya CCM ufisadi wa kutisha,

Tuanzie hapo sio waliomtuma au wanaotumika tujadili hicho anachokipigia kelele kina mantiki, na si wanaomtuma kupiga kelele,

Don't move the goal post, let's discuss kilichopigiwa kelele maana kinahusu sana mustakabali wa maisha yetu
 
...Hehehehehe unaishi Tanzania gani hadi kuandika CDM inahatarisha amani nchini? Tafakari kabla ya kuandika badala ya kukurupuka. Moto wa mabadiliko umeshaanza na hakuna kurudi nyuma na ndoto yenu kwamba magamba itatawala Tanzania milele kamwe haitatimia. Unajua magamba wamehusika katika kutoa roho za Watanzania wangapi, kisa hawakiungi mkono chama chenu!?

:peace::peace::peace:

Alutta Continua
[/
.
Unajua Chadema wameua wafuasi wao wangapi, ngoja nikukumbushe mmoja tu, hukumbuki juu ya Chacha Wangwe?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Kelele za Zitto bungeni iliripotiwa anashinikizwa na nchi flani ya nje. Jee, na hawa? nna uhakika kuna ka mkono fulani kakutoka nje, lakini nnwahakikishia Tanzania ni zaidi ya wanavyoiona ngoja wataumbuliwa baada ya muda si mrefu. Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka.#

Walitulizana lakini naona sasa wameshajisahau na wanaanza tena siasa zao chafu za uvunjifu wa amani. Safari hii ndio itakuwa mwisho wao daima.
Kaka una brain concussion nini? Haya ni mawazo ya enzi za ukoloni unless uwe mwendawazimu ndo unaweza post utumbo kama huu.
 
Back
Top Bottom