Una ugonjwa wa kumfuatilia.
Huo ugonjwa unaitwa futui ++
yuuuuuuuuuuuuuuuuu umekata ukweli dhahiri, hapo ni presha presha tu!jiweke mguu nje na mngine ndani jua kuwa mwanamke yeyote mwenye mazoea lukuki na wanaume kibao huwa hawi mke mzuri
Hahahaa, heri ya mwaka mpya big sis'Umfahamu ww, tukujibu sie, sio ungese huo?
Dah, Mkuu jina lako ndio linakulemea, badili jina kwanza, vinginevyo tabu tupu.1. Ana chat na watu kibao ila simu yake haina msg hata moja kila siku
2. Rafiki zake wengi ni wanaume tena waliomzidi umri
3. Huwezi kusikia anazungumzia mapishi
4. Anapenda kula mitaani
5. Hana uhusiano wa karibu sana na mama ake, inaweza pita hata miezi mitatu hajawasiliana naye.
6. Anatongozwa na wanaume wengi na akitongozwa anakuambia kwanini amewakataa
7. Ya mwisho anafungua soda na meno....
1. Ana chat na watu kibao ila simu yake haina msg hata moja kila siku