Huu ni ugonjwa gani (wadada)

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
11,519
2,000
1. Ana chat na watu kibao ila simu yake haina msg hata moja kila siku
2. Rafiki zake wengi ni wanaume tena waliomzidi umri
3. Huwezi kusikia anazungumzia mapishi
4. Anapenda kula mitaani
5. Hana uhusiano wa karibu sana na mama ake, inaweza pita hata miezi mitatu hajawasiliana naye.
6. Anatongozwa na wanaume wengi na akitongozwa anakuambia kwanini amewakataa
7. Ya mwisho anafungua soda na meno....
 

Eng. Y. Bihagaze

Verified Member
Sep 8, 2011
1,483
2,000
Cm Ina meseji-salio 200, fesibuku, watisiapu Na ukichukulia ni ya kuazima kwanini asiitendee Haki..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom