Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,070
- 3,705
Hapo VIPI!
napenda kuipongeza serikali ya awamu ya tano, Kwa kujinasibu kuwa serikali ya wanyonge,inayowatetea,kuwawezesha,kuwashirikisha na kuwapa kipaumbele maskini katika fursa mbalimbali.
Pili, nasikitika kuona mazingira ambayo yanapingana na sera ya serikali yetu ya awamu ya tano inayojinasibu juu ya watu wa chini,nikimaanisha na wafanyabiashara wadogo n. K
Ngoja niingie moja kwa moja katika mada husika.
Kuna mchakato unaondelea wa kutaka brokers wote wa Madine na hawa wafanyabiashara wa chini wa Madine wakate leseni, nijambo jema sipingi huu mchakato.
Lakini katika mchakato huu kuna mazingira ambayo sio rafiki kwa walengwa na inalenga kuwanyonya na kuwanyag'anya vimitaji vyao vidogo badala ya kuwawezesha wahusika.
Leo hii mfanyabiashara wa Mundara au Loliondoo ambao wengi wao wanavimitaji vidogo vidogo (50,000tsh-1,000,000tsh)anaambiwa akakate leseni interm of dola,tena kwa dola 125... Inasikitisha sana ....inamaana pesa zetu hazina thamani ?
Huyu Brocker ambaye ni middleman anayetegemea kudalalia jiwe la sh elfu ishirini,elfu 50,laki,nakuendelea anategemea apate at least chochote hapo na pia anaweza asipate kabisa, hata Week tatu hajaona chochote, leo unamuambia akakate leseni kwa dola imagine..
Huyu mfanyabishara wa Mundara au Longindo au Loliondoo, ambaye hajui kusoma na kuandika unamubia afanye transaction zake interm of dola... Guys are you serious..? Tafsiri yake hamja fanya research mkajua nature na life standards ya wahusika na income yao kwa ujumla.
Najiuliza swali hivi kama wafanyabiashara wakubwa hawalipi kodi kwa dola, iweje kwa huyu mmasai wa waliondoi mwenye mtaji mdogo ambiwe akalipie leseni kwa dola?
Kwanza mazingira wanaifanyia kazi ni kama wamama wanaopanga nyanya pale soko kuu.. Imaging income yao.
Wahusika tunahitaji ufafanuzi juu ya hili..njooni Otu Arusha mpate ukweli juu ya hili.
Nb.sipingani na utaratibu wa kukata leseni bali tunataka huu mchakato uwe rafiki na walengwa