Huu ni ufisadi kwa Wizara ya Madini

Huu ni ufisadi kwa Wizara ya Madini

Mkuu uko longido!kwanza Mimi imekuwa nikifanya biashara ya Madini kwa muda mrefu na nmekuwa nkitumia brokers license......kuwa na broker license na leseni zingine sijaona kama ni Shida kwa serikali kuwataka wafanya biashara wa Madini wazikate....maana kipindi cha nyuna kila mtu alikuwa anafanya shuguli Hyo bila ya kuwa na leseni y oyote wakati kazi Hyo ni ni professional kama zingine....
Kwenye suala la Bei mbona broker Lic sisi tulikata kwa 250,000/
Any way changamoto kubwa tunayokutana mayo sahv ni serikali kutotoa export license hicho ndicho kinafanya biashara Hiyo kupwaya maana tunakwenda mpaka sasa watu hatujafanya kazi.....
Mawe hayaendi hong kong,india,thaiand etc kwa kitendo hicho kinafanya mazingira kuwa magumu kuanzia watu wa waporini wachimbaji hadi watu kama sisi! na wewe
Maana nje Huko order zimefunguka balaaa

Swali?kama ill mandar hapo vp zoisite(yale maruby block) baso yanapatikana kwa wings?

Unaweza kuja pm tukabonga zaidi

Upo sahihi mkuu soko limedororo sana,tungepata export licence, tungeweza ku adress hili tatizo.. Tunablock mipaka wakati soko landani lipo hoi.

Ova
 
siyo Brockers bali ni CCM. Sasa imeonekana kama vile hela za Tanzanite ndiyo zinaendesha harakati za upinzani ndiyo CCM inazinduka.

Wakati wapinzani wanapaza sauti kuhusu utoroshwaji wa Tanzanite wao waliona poa tu kwa kuwa baadhi ya wafadhili wao ndiyo walikuwa hao wachimbaji na madalali wa Tanzanite.
Unataka kuniambia hii nayo ni siasa? hatua zote hizi za makuta, wachimbaji walipwe mishahara na NSSF zote hizi ni siasa makubwa? This Country everything is politics I can not believe.
 
Unataka kuniambia hii nayo ni siasa? hatua zote hizi za makuta, wachimbaji walipwe mishahara na NSSF zote hizi ni siasa makubwa? This Country everything is politics I can not believe.
make them poor and rule them philosophy.
 
Kwa wafanyakazi nako kunahabari mpya kwao, sijajua kwa wawekezaji au wamiliki wa migodi watalipokeaje hili?
View attachment 813940
Hili ni zuri sana ila biashara yenyewe haipo very certain i.e. hujui madini utapata au utakosa. Idara ya madini ingefanya good exploration na kuona kama kweli ni viable kumlazimisha mchimbaji mdogo kuinvest for a very long time without getting stones. Hii itawaondoa wachimbaji wote wadogo na watabaki wakubwa wenye mitaji mikubwa labda ndio lengu la serikali.
 
Application fee for broker licence imeandikwa Tsh 50,000 na sio dola pia licence fee ni Tsh 200,000 na sio dola. Sasa hiyo dola 125 inatoka wapi. Lakini hukatazwi kama unaweza kubadili dola zako zikawa shilingi na ukalipa. Nakushauri kata leseni uwe huru bro. Haiwezekani mama ntilie,wenye maduka madogo, salon za kunyolea tena uchochoroni Sanawari na mbauda wanalipa kodi halafu nyinyi kutwa nzima hapo Ottu mnachenji dola then uanze kulialia eti wanyonge. Shame on you arifu
Nazan mtoa mada amekusudia hzo gharama, kama ni rafiki au la
 
Nazan mtoa mada amekusudia hzo gharama, kama ni rafiki au la

Exactly, gharama sio rafiki, ni sawa mtu atoe mtaji wake wote akakatie leseni tena interm of dolla.. Sasa Huyu mtu anawezeshwa au anafanyiwa robbering..
 
Mkuu uko longido!kwanza Mimi imekuwa nikifanya biashara ya Madini kwa muda mrefu na nmekuwa nkitumia brokers license......kuwa na broker license na leseni zingine sijaona kama ni Shida kwa serikali kuwataka wafanya biashara wa Madini wazikate....maana kipindi cha nyuna kila mtu alikuwa anafanya shuguli Hyo bila ya kuwa na leseni y oyote wakati kazi Hyo ni ni professional kama zingine....
Kwenye suala la Bei mbona broker Lic sisi tulikata kwa 250,000/
Any way changamoto kubwa tunayokutana mayo sahv ni serikali kutotoa export license hicho ndicho kinafanya biashara Hiyo kupwaya maana tunakwenda mpaka sasa watu hatujafanya kazi.....
Mawe hayaendi hong kong,india,thaiand etc kwa kitendo hicho kinafanya mazingira kuwa magumu kuanzia watu wa waporini wachimbaji hadi watu kama sisi! na wewe
Maana nje Huko order zimefunguka balaaa

Swali?kama ill mandar hapo vp zoisite(yale maruby block) baso yanapatikana kwa wings?

Unaweza kuja pm tukabonga zaidi

Ova
Ruby ya longido imepungua kasi mana mnunuzi mkuu huko thailand mzigo umekua mwingi sana alionunua,kuna wathai wengi sana hpo ottu pia kuna brokers wa dar wengi walikuja huko kununua.ila shida ni ruby hii sio gem kma ya mozambique ambayo ipo juu kibei
 
Tatizo ruby ya longido haichomeki pia
Ndomana caboshon zake kuzika ni ngumu sana!
Labda yale mablock ya kijani zenye madoti mekundu India zinauzika....sema kutokana na sekeseke la kuzuia kusafirisha Madini nje hapa tz yanakosa buyers.....
I hope serikali watafungua soon maana dah hali ni tete

Blocks watu wamenunua sana ila unaweza kuvunja mzigo mzima wa fuso tipper usipete hata nusu ya gharama zako,wengi sana zimewakata heri ununue rodlite inalipa
 
Tatizo ruby ya longido haichomeki pia
Ndomana caboshon zake kuzika ni ngumu sana!
Labda yale mablock ya kijani zenye madoti mekundu India zinauzika....sema kutokana na sekeseke la kuzuia kusafirisha Madini nje hapa tz yanakosa buyers.....
I hope serikali watafungua soon maana dah hali ni tete

Ova
Hali ni tete mnoo, watu wanamadini ila pakuuzia hamna.. Hizi complication za wageni kupata kibali cha kununua madine zipunguzwe ili wauzaji wapate masoko boro, leo hii churi au Semi grace Ya kwanza ya Rubby inauzwa bei ya nyanya... Why?
 
Angalia regulations hizo mkuu

Application fee for broker licence imeandikwa Tsh 50,000 na sio dola pia licence fee ni Tsh 200,000 na sio dola. Sasa hiyo dola 125 inatoka wapi.

Lakini hukatazwi kama unaweza kubadili dola zako zikawa shilingi na ukalipa.

Nakushauri kata leseni uwe huru bro. Haiwezekani mama ntilie,wenye maduka madogo, salon za kunyolea tena uchochoroni Sanawari na mbauda wanalipa kodi halafu nyinyi kutwa nzima hapo Ottu mnachenji dola then uanze kulialia eti wanyonge. Shame on you arifu
Mambo ya mtandaoni bana, watu wakipiga stori wanataka kuposti bila hata kuchunguza. Ona sasa mambo kinaga ubaga, hakuna dola wala nini. Hata hivyo sio lazima kila mtu afanye kila jambo, kama huna uwezo wa licence fee ambayo ni laki mbili acha tu fanya shughuli ingine. Mimi natamani private jet ila siwezi kufungua uzi kuwaambia Boeing kuwa ndege zao ni gharama raia wa kawaida siwezi kumudu. Kitu huwezi kumudu acha tu. Asante bwana kwa kuweka ukweli.
 
Hili ni zuri sana ila biashara yenyewe haipo very certain i.e. hujui madini utapata au utakosa. Idara ya madini ingefanya good exploration na kuona kama kweli ni viable kumlazimisha mchimbaji mdogo kuinvest for a very long time without getting stones. Hii itawaondoa wachimbaji wote wadogo na watabaki wakubwa wenye mitaji mikubwa labda ndio lengu la serikali.
Nakuhakikishia hata hao wawekezaji wakubwa watakimbia au watapunguza wafanyakazi, maana hapo kwenye kutaja mshahara + idadi ya wafanyakazi wako ni mtego mkubwa sana kwao.

Hapo kutakuwa na makato mengi ambayo ni kodi ya serikali, mchango wa NSSF, chama cha wafanyakazi bima ya afya, na mishahara yao lazima uipitishie benk. Kwahiyo hutaweza kudanganya, pia kumbuka hapo mambo ya mshahara ishakuwa sheria, usipowalipa miezi kadhaa wanakushitaki.

Kwa pale ndani ya ukuta hakuna kampuni kubwa na lenye eneokubwa la uchimbani kama Tanzanite One Mining Limited, lakini nao wameshindwa kuwalipa wafanyakazi wao wote tokea mwezi wa 12 mwaka jana, mapaka leo hii mwezi wa 7/2018 ni takilibani miezi 9 wafanyakazi hawajapata chochote, alafu unatakiwa uwe unaenda kazini hivyo hivyo.
Lakini baada ya kuona maji yamewafika shingoni, Tanzanite One wanamadeni kila kona ya Nchi, kampuni ipo gizani hawana umeme kama miezi 4 sasa, wameamua kufunga kampuni kwa muda.

Hii sheria ya mikataba + mishahara ni vicheko kwa wafanyakazi, ila kwa yale mazingira ya wachimbaji wadogo wadogo navyowajua, watapata tabu sana. Wengi watafunga migodi yao, walishazoea kuchimba kwa ghalama nafuu, yaani wachimbaji unawanunulia chakula tu.
 
hahaha apolo wataanza kuvuta mishahara dah safi sana
Hahahaaa kwao itakuwa ni kicheko tu, kwakweli ni neema sana maana walipata tabu sanaaaa.
Kuna watu wamepoteza nguvu zao zaidi ya miaka 10 lakini migodi yao haijawahi kutoa tanzanite .
 
Mambo ya mtandaoni bana, watu wakipiga stori wanataka kuposti bila hata kuchunguza. Ona sasa mambo kinaga ubaga, hakuna dola wala nini. Hata hivyo sio lazima kila mtu afanye kila jambo, kama huna uwezo wa licence fee ambayo ni laki mbili acha tu fanya shughuli ingine. Mimi natamani private jet ila siwezi kufungua uzi kuwaambia Boeing kuwa ndege zao ni gharama raia wa kawaida siwezi kumudu. Kitu huwezi kumudu acha tu. Asante bwana kwa kuweka ukweli.

Nikushauri ya kwamba,jaribu kuepuka majibu ya kisiasa kwenye mambo yanahitaji majibu ya kitaalam, haya ni maisha ya watu usijubu tu kwasababu una uhuru na nafasi ya kujibu....

Sasa kama serikali haina mikakati ya kumsaidia mtu wa chini bas yenyewe ndio inatatizo na sio watu ndio wanamatatizo.

Hii sio siasa hakika nitakuwekea risiti watu waliolipa kwa dola mpaka sasa hivi.
 
Back
Top Bottom