Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 417
Kaka yangu Juma, naona umeguswa sana na hii hoja! Ambacho nimekusoma kutoka kwako, inaelekea kuna wakati ulianza kuwaamini hawa jamaa! Sasa naona wamekuchosha kabisa! Mimi sijawahi kuliamini hilo 'gang'!
Ni kweli mkuu. Nitaka kupotea njia. Hawa jamaa ni hatari kuliko nyati kicha aliyejeruhiwa. Halafu kwa tuhuma hizi nilitegemea wana CDM wataamka na kukemea ubadhirifu huu. Kumbe nao wanatetea. Hivi viongozi wote wa CDM kuanzia ngazi ya mkoa hadi tawi Nao wakianza kudai haki yao, wakianza kudai malipo, chama si ndo kitakufa hiki?