Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

Ukitokwa na povu kwa ajiri ya uzi huu wewe ni punguani. Hamna hata ushahidi wa moja kwa moja kama vielelezo. Mleta mada hajulikani ni nani, mtoa mada ameonyesha kukosa kitu fulani alikua amelenga ndio maana amekuja na sanaa yake hapa. Mtoa mada jiamini jitabanaishe weka ushaidi ili hata magazeti yapate kusomwa na watz wengi.

Unataka ushahidi gani? Majibu ya mtuhumiwa huyaoni hapo juu. Huoni kuwe yeye mwenyewe kakubali wewe unayetaka ushahidi ni kama nani kwake?
 
Ur too low for me, kwanza mimi sio mwanachama wa CHADEMA, ninafanya shughuli zangu na zinanipatia kipato halali, sasa nakuonea huruma wewe unayetegemea kipato upate kwenye chama cha siasa ili uweze kuendesha maisha yako, poor you!......
Wewe ni mganga njaa tu na hauna lolote na nakuhakikishia bila kutafuta kazi halali ya kufanya uko mbeleni haitokuwa ajabu kwa mtoto wa kiume kuolewa maana wenye pesa wote wameshakuwa Mabasha.

kwa mujibu wa wanazuoni ukiona mtu badala ya kujibu hoja anaanza kumshambulia mleta hoja ujue ameishiwa hoja anaanza kuleta viroja.

Hao akina Dr Slaa wenyewe wameacha upadri wamekimbilia siasa na wanaishi kwa pesa ya chama(M8 per month mchezo) hadi wachumba na ma house girl wanakamata mkwanja

Hizi habari za shughuli za mtu kila mtu kivyake hapa tunajuana kwa hoja through scree za pc zatu, basi habari za kipato chako ni wewe na familia yako
 
Mtoto wa kiume kuandika maadishi kwa kuremba na hayo marangi yako utadhani ni kadi ya kitchen party sijui unatoa ujumbe gani kwa wanaume waliomo humu!!??.......
Am just thinking loud,.......
 
halafu nani kakwambia mimi ni mtoto wa kiume?
 
kwa mujibu wa wanazuoni ukiona mtu badala ya kujibu hoja anaanza kumshambulia mleta hoja ujue ameishiwa hoja anaanza kuleta viroja.
Jibu swali, sioni kama una hoja yoyote zaidi ya kukariri misemo ya Jenerali Ulimwengu kama zuzu!!......
 
Mtoto wa kiume kuandika maadishi kwa kuremba na hayo marangi yako utadhani ni kadi ya kitchen party sijui unatoa ujumbe gani kwa wanaume waliomo humu!!??.......
Am just thinking loud,.......

Matola yameisha ya kujadili?..sio lazima uendelee kuccoment..
 
Ukitokwa na povu kwa ajiri ya uzi huu wewe ni punguani. Hamna hata ushahidi wa moja kwa moja kama vielelezo. Mleta mada hajulikani ni nani, mtoa mada ameonyesha kukosa kitu fulani alikua amelenga ndio maana amekuja na sanaa yake hapa. Mtoa mada jiamini jitabanaishe weka ushaidi ili hata magazeti yapate kusomwa na watz wengi.

Dr.slaa na viongozi wengine wasingejibu endapo tuhuma hizi zingekuwa hazina mashiko...Wameona ukweli wa mambo thats why wamejibu na wamekili.au huoni majibu yao?
 
Dr.slaa na viongozi wengine wasingejibu endapo tuhuma hizi zingekuwa hazina mashiko...Wameona ukweli wa mambo thats why wamejibu na wamekili.au huoni majibu yao?
Mkuu unataka majibu gani? haya Josephine kaja nayo
Nimesoma sana michango yote.
Nikakumbuka hadithi ya mwendawazimu.

Inayosema kama ukiwa mtoni unaoga,akaja kichaa na kubeba nguo zako,utakapoanza kumfukuza ukiwa uchi,wote mtaonekana vichaa.

Hiki ndicho kinachoendelea hapa,non of you can or have defined the truth.

Anyway zungumzeni yote so longer hamjanibomoa physically,uwezo wa taaluma yangu siku moja utajulikana.

Na zaidi nitasimamia kile nachokiamini na jamii itashuhudia.

Sina ushahidi wa kuleta zaidi ya kumuachia Mungu ashughulike na wote wanaosimama kushuhudia uwongo.Tumewaambia leteni ushahidi basi mmeshindwa mnaendelea kuleta kejeli,heshimuni taaluma za watu.Nanyi Mtaheshimiwa.
 
na sisi tuliopigwa mbeya na mabom ya machoz na virungu na washawasha.na wengine kuwekwa ndani na kutoka kwa gharama zao kutetea jimbo tulilipwa na nani.?

Kwahiyo sababu Josephine anahudumiwa kwasababu amekitumikia chama kwamoyo wake wote unataka na wewe ufanyiwe hivyo. Jamani nimesoma kuanzia mwanzo nilichogundua ni uelewa hafifu au kujitoa akili kwa mashabiki wa CCM ndio kunakoivuta hii thread yaani imefikia mtumiaji wa fake I'd huku JF leo anataka haki sawa na mpigania haki. Kiukweli hamtafika popote
 
iv tuseme ni kwel everythin aliichosema its true, ukijumlisha inaweza ikafika how much, i do hope around 700m na mazagazaga yote hadi na vinywaj chakula vocha etc
sasa ww ukitajiwa fisad mmoja tena tena kama ni top 100 ni wa 100 hela ambazo amekula sidhan kama utarud tena huku, umeshauliza biz za mbowe vizur zote na anaingiza how much yule ni level nyingine mangi huwez kumrubuni kwa 300m never
so jipangeeee au kama vip utapewa list za mafisad then upambanue alone.
 
MUWE WEPESI WA KUELEWA MNATAKA MCHAMBULIWE KILA KITU HALAFU MFANYE NINI 300M NI MFANA WA PESA TOKA MAFUNGU MBALIMBALI ZINAZOINGIA KWENYE ACC. Mbalimbali za cdm sasasa hapa kama kweli wewe ni mkereketwa wa CDM fuatilia kama mipango iliyotangazwa kufanyika kwa ujenzi na maendeleo ya Chama imefikia wapi! Je, VISIMA VYA SABODO NI MBUNGE GANI (jimbo) ama Diwani yupi (KATA) anayechimba kisima!? Jitahidi kuendelea kuwa mpumbavu na sio MJINGA.

wewe ndiye mpumbavu unayelazimisha uongo wako ueleweke.
 
wewe ndiye mpumbavu unayelazimisha uongo wako ueleweke.

Uongo ni upi hapo? si uje na data, useme kisima hiki na hiki na hiki. Useme kuwa walinzi wa kanisa hawajalipwa na chadema. Useme kuwa Slaa hajajichotea pesa za kujijengea nyumba yake binafsi, kumbuka siyo ya chadema ile. Na jibu alilotowa eti akae wapi? kwani siku zote alikuwa anakaa nyumba ya kuchota fedha za chadema? bora angesemaa hii ni nyumba ya chadema ambayo hata yeye akiondoka atakuja kukaa mwingine.
 
Kwahiyo sababu Josephine anahudumiwa kwasababu amekitumikia chama kwamoyo wake wote unataka na wewe ufanyiwe hivyo. Jamani nimesoma kuanzia mwanzo nilichogundua ni uelewa hafifu au kujitoa akili kwa mashabiki wa CCM ndio kunakoivuta hii thread yaani imefikia mtumiaji wa fake I'd huku JF leo anataka haki sawa na mpigania haki. Kiukweli hamtafika popote

mh.nilitegeme ungekuja na majibu mbadala kumbe na wewe umekuja kama wapambe wa ccm kuivuta zaidi hii thread.!
 
dear madam josephine!ur reply is irrelevant to the point,,sory !jenga hoja,msipoangalia we na mchumba wako mtatuharibia chama,na kufka 2015 ya kwenu yatakuwa mengi
 
mwanahalisi na wote mnaoshabikia hoja hii kwanza nawapongea,

nawapongeza kwa sababu hamna kazi ya kufanya,na nina mashaka na uwezo wenu wa kuanalyse issues na kutafuta taarifa sahihi na zenye vielelezo.

Mimi nafurahi kwakuwa mnapata nafasi ya kunizungumzia,kwangu ni ushindi kwani mnanisaidia kuieleza jamii mimi ni nani na ninafanya nini.

Niombe tu,ushahidi ili niweze kujieleza,otherwise sinacha kuhukumiwa,mimi na familia yangu tutaendelea kumtukuza bwana yesu.

mnamtukuza bwana yesu kwa usuria? Stop blasphemy ewe mama slaa
 
Ur right but in wrong Direction...nani asiyependa ukombozi kwa sasa hapa nchini?watanzania karibia wote tunahitaji ukombozi...na tunahitaji chama mbadala wa ccm.Lakini sio neno ukombozi liwe benchmark ya chadema kutuibia.

Yaani anayetaka ktukomboa fisadi,tunayetaka kumuondoa naye fisadi..sasa wewe uanataka tuendelee tu kwenda mbele??
Chadema wanafanya ufisadi sasa kabla hawajapewa nchi,wakipewa nchi itakuwaje?hivi uoni kama tunafanya mchezo wa patapotea kwa sababu tunamtoa fisadi then tunamuweka fisadi!!!!!!!

Chadema wajisafishe kwanza.....

Tena bora fisadi tuliomzoea kuliko Fisadi mpya, we huoni ITV wamewashitukia CDM, ITV walikuwa watetezi wakubwa na CDM katika coverage zao ila inaonekana Dr. Mengi, kashitukia anaingia KING.
 
Mimi nina swali. Ikiwa chama kisingempa mkopo wa nyumba. je kilikuwa na wajibu wa kumlipia pango? na kama kilikuwa na wajibu kingemlipia sh ngapi kwa mwezi, kwa mwaka ma kwa miaka mitano? na je ipi inalipa kumkopesha au kumlipia pango?
 
Back
Top Bottom