Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

Haya mambo yanaweza kuwa majungu ama la. Ila kwa ujumla wake yanatisha sana hasa ikizingatiwa CDM na viongozi wake ndio tegemeo la watanzania kuondokana na minyororo ya CCM. Haya mambo yanahitaji majawabu.

Moja nimelisikia kama miezi miwili hivi iliyopita; kwamba KUB amelichukua kimya kimya gari la rasmi la KUB. Hayo mengine sijui. Ila linalotisha zaidi ni hili la Mwenyekiti wa CDM kununua nyumba Dubai na kuikarabati kwa ajili ya kuwahamishia ndugu zake huko. Kama ni jungu basi ni jungu baya sana inabidi litolewe kauli si la kuacha hivi hivi. Kama kiongozi ana mpango wa kuhamishia ndugu zake ughaibuni hapa kuna ujumbe gani?

Swala la kusikia na huwezi sema umesikia wapi inanipa shida mimi binafsi ningependa kujua haya mambo kwa kina, nipe source tafadhali
 
Tupe Dondoo ni lini Dr Slaa alijibu haya yote, ni vizuri haya mambo ukayaweka vizuri ili nasi tuyafuatilie kwa karibu
Nimeona taarifa yako isiyo taja ni lini na wapi haya yametokea ebu tuhabarishe tafadhali
Nadhani kwenye thread inaoneshabaadhi ya majibu ya Dr.slaa...ila kama unataka majibu yake nenda nyuma kabisa kwenye page za mwanzo utaona majibu ya Josephine na Mchumba wake slaa
 
no reserch no right to speek

wewe ni mtangazaji wa redio Mbeya Fm,Hivi unakubali kuwa na mahaba na chama kweli bila kuchambua mambo kwa kina?
Hivi taarifa hii isingekuwa na ukweli dr.slaa angejibu na kukili ubadhilifu huu!!!!!!
Nawasiwasi wa namna unavyochambua taarifa za habari....
 
Dr Slaa huyu mama ameanza kuwa mzigo kwenye safari yako ya kisiasa. Nadhani ulitafuta mchumba ili na wewe katika kinyanganyiro cha kwenda Ikulu uonekane wa maana lakini sasa ina backfire. Mwambie tu politelly mama jr akae nyumbani alee mtoto. Hizo mil 10 alizopewa kwa kazi ya kutengeneza formulars kwenye spreadsheet zimetosha!

Na wewe mwenyewe ukawaangukie viongozi wenzako maana wengine walikuwa hata hawajui kama chama kinakujengea nyumba wamejua kupitia jf.
 
Huyu Matola ametoka wapi mbona anachangia kama yupo jukwaa la udaku? kijana Matola naona upo kwenye wrong forum.

MAHABA YANAMTESA.....Haamini kuwa chadema nayo inakashifa ya ufisadi kama huuu....
Alizani chadema Mungu
 
MAHABA YANAMTESA.....Haamini kuwa chadema nayo inakashifa ya ufisadi kama huuu....
Alizani chadema Mungu

Nimejaribu kukufuatilia uandishi wako ktk hii post yako nilichogundua ni kwamba unatamani Josephine aachike uolewe wewe, kumbuka siyo kila mwanaume anatabia zako. Umejaribu kupika majungu na kujifanya una evidence ambazo kwa waelewa kama siye tunajua potosha tu. Kama kweli unajiamini leta hizo stakabadhi za malipo ya walinzi na yaya. Usipende kutumika kwa majungu kwani mtaji wake ni mdogo sana na hauna faida utaishia kupewa majina kama chakula, bwabwa, aunt na mengine. Tupo kwaajili ya evidence sio waropokaji
 
Enzi zetu za utoto hili PRAKATATUMBA la Slaa na Kimada wake tungeimba hivi nyakati za jioni......Ulingo bayoyo ulingo baayoyo..ulingoo baayoyo ulingo baayoyo.. Kaka Slaa ingia kati tuyaone maringo yako bingili bingili mpaka chiniiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
"Na pia kanisa analo sali mchumba wake CHAMA kinawalipa walinzi wawili lakitano kwa mwezi kila mmoja kwaajili ya ulinzi wa kanisa hilo analosali JOSEPHINE MSHUMBUSI."

Jamani hivi kama kuna mlinzi au kampuni ya ulinzi inayomlipa korokoroni kiasi hiki cha pesa basi na mimi nawaomba wanaCHADEMA hasa Tuntemeke mniunganishie hicho kibaruwa maana Laki tano kwa mwezi hii ni pesa safi kabisa!.....
 
Ritz,
Thanks. 1. Ili uhoji Dr Slaa kakopa hela ya Chama hoki kwanza CCM makao Makuu walioanzisha Mfuko wa kukopesha wafanyakazi wao na kukopeshana maelfu ya mamilioni(rejea(Audit report 2010).
2. Ili kujua taratibu za chadema soma kwanza Katiba, kanuni na Taratibu za Chadema. No research no right to speak.
3, kama ni strategy ya kutunyamazisha imefeli kabla haijaanza na usipoteze usingizi wako bure. Tena moto ndo..
Maskini siamini kama ndio Dk wa ukweli wewe
yaani Mushumbusi amekushika kweli kweli
umekuja kuaje unatoa majibu mepesi kwenye
maswali mazito namna hiyo kweli Silaa kwishney
 
Kama unakiri kuwa waliwaanika mafisadi hadharan,kwann na ww usiende hadharan kuwaanika hao ukiwa na ushahd wa kutosha kama walivyofanya wao?sasa kuishia fb tu unadhan inatosha?ha2paswi kuwa wanafki,wajuvi na wambea kiasi hiki.
 
Nashangaa sana baadh ya watanzania wasio na muono wa mbali. Kwe2 kigoma, tunataman hata kujitenga tuwe na nchi ye2. Kimsingi CCM inakumbuka kuwa kuna KIGOMA wakat wa uchaguzi tu. Sasa ujinga wa watu kuporomoka majungu kuchafua chadema ili ccm idumu, ni udumavu wa akili na mtindio wa ubongo, kwa 7bu haitasaidia kitu, sikio la kufa ni la shart life tu. Fanyen research kwanza kabla ya kuandika chochote humu, juen lengo letu ni kusema ukweli na sio majungu.
 
Una matatizo ya akili wewe, MFA MAJ HAACHI KUTAPATAPA, MUULIZE DANIEL NSANZUGWANKO YALIYOMPATA KIGOMA, NAYE ALIKUWA MROPOKAJ KAMA WEWE. NAKUPA POLE SANA.
 
Maskini siamini kama ndio Dk wa ukweli weweyaani Mushumbusi amekushika kweli kweliumekuja kuaje unatoa majibu mepesi kwenyemaswali mazito namna hiyo kweli Silaa kwishney
Kitu gani ambacho hujaelewa kama hutaki majibu yake ambaa acha matusi ya nguoni kwani unadhani propaganda za kuchambia chooni zitatusumbua sisi usigeuze jamvi hili la makanjanja ni watu tunaojielewa tunajua unakoelekea hadanganywi mtu hapa
 
Back
Top Bottom