Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

MAHABA YANAMTESA.....Haamini kuwa chadema nayo inakashifa ya ufisadi kama huuu....Alizani chadema Mungu
Tuntemeke umechuja kama mchuuzi wa mende habari yako imekuwa si habari tena ,hapa nikijiwe watu wanapimana jinsi walivyona maneno namna ya kutukana ,kuchambua,kumalizia na kuanzisha jipya,mpaka sasa umesaidia sana chadema wanaonekana wako strong,manake inaonekana unaongea wewe na unamkaba Josephina na Dr Slaa,imeonyesha jinsi ulivyokuwa sio makini kama mhasibu hayumo mmh hii inaleta kichekeshoTuntemeke ambaa akijiunge na CCk,ADC,inaelekea umekataa tamaa unasema tufe wote ,wanasaikolojia wanasema chuki inajengeka mwilini na mara nyingi mwenye chuki huwa anatoa chachu (horomono) zinazomrudi mweneyewe na kumtesa usicheze na ubongo mtambo wa ajabu sana bwana ,Pole pole pole mzee
 
CHADEMA wanapogusw pro-CDM mnakuwa wakali. Chadema uozo upo. Wajinga ndio waliwao, nyie endeleeni kuwapigia makofi tu.
 
who to trust? CCM they are f..k with us and yet again Chadema now they are f..k with us. so sad,

ndomaana nasema tusipoteze muda wetu kwenye kufatilia mambo ya siasa cause huu ni utapeli amna mkweli si CCM wala si CHADEMA wote waizi tuu, jiulize swali raisi tuu nini hasa awa watu mpaka wanatoana roho kisa ubunge au uraisi..

don't wast your time useme eti watatukomboa.wote lao moja.

Acha kuwarubuni watanzania tungekuwa hatufuatilii siasa tungejuaje ufisadi ambao CCM mnaufanya, wewe umetumwa na CCM humu kuwakatisha tamaa wale wanaotaka mabadiliko; CCM mmetafuna hii nchi vya kutosha nizamu ya wengine sasa if that is the case! Nyie hamna hati miliki ya Tanzania! Acha tule kwa zamu! you ******!
 
hizi zote ni shutuma zisizo na evidence'unataka kusema huko chadema ni mbowe na slaa peke yao?hakuna watu wengine wenye uwezo wa kujua hela zinatumika vipi?umechemsha mkuu

Kweli kabisa hizi ni shutuma zisizo na evidence. Ngoja nizungumzie kidogo kuhusu nyumba ya Dr. Slaa. Kwanza hii nyumba iko Mbweni NHC na siyo Kunduchi. Huyu mtoa tuhuma anatakiwa afanye uchunguzi na siyo kuleta mambo ya uongo hapa. Mimi binafsi ninaifahamu sana hii nyumba anayoishi Dr. Slaa. NHC walijenga eneo la Mbweni kwa kuingia mikataba na watu na mmoja wao ni mimi. Kule kulikuwa na viwanja ambavyo ni vya NHC. Walichofanya NHC pale kutenga eneo la viwanja walivyotaka kujenga nyumba za kawaida na eneo walilotaka kujenga nyumba za ghorofa.
Then sisi wateja tulikwenda pale na unachagua unataka eneo lipi. Kama ni la kujenga nyumba ya kawaida unalipia nusu ya bei yao ambayo kwa ule ilikuwa haizidi milioni 60. Kwa maana ya kuwa ukishalipa wanaanza ujenzi na wakishamaliza unalipa pesa iliyobakia ya milioni 60 nyingine ndipo unapokabidhiwa nyumba pamoja na hati zake. Mimi na familia yangu tulichukua kiwanja cha kujenga nyumba ya gorofa ambayo bei yake ilikuwa milioni 230 na tukalipa milioni 115, na nyumba ndiyo iko kwenye hatua za mwisho za kumalizika, hivyo tunajikusanya kwenda kulipa zilizobaki.
Dr. Slaa anakaa kwenye nyumba za kawaida ambazo bei yake haikuzidi milioni 120 na nadhani ameshamaliza deni ndiyo maana anaishi pale. sasa tukichukua mshahara wa Dr. Slaa wa milioni 7 kwa mwezi, ukipiga hesabu ya kulipa deni hata kwa milioni 5 kila mwezi, ina maana baada ya miaka 2 anamaliza deni lake bila tatizo. Shilingi milioni 2 alizobaki nazo pamoja na posho nyingine stahili anazopata kwenye Chama chake zinamtosha kabisa kuishi kwa kipindi hicho cha kulipa deni.
Lengo langu ni kumwambia mhusika aliyeleta tuhuma aache majungu na awe anajitahidi kufanya upelelezi kabla ya kuleta mambo ya uongo hapa.
 
Mtazamo wangu katika siasa. Siasa mchezo mchafu..
Ikionekana udhaifu wako katika siasa hauonekani kirahisi, maadui wako huingilia masuala ya kifamilia au ya kimahusiano yako. Hili kwa wanawake lina athari zaidi kwani wengi huishia kuvunja ndoa zao wakidhani waume zao ni wabaya na hawataki maendeleo yao. Ni jambo la kawaida kuwepo kashfa za chama au nchi kuongozwa na mke wa kiongozi fulani au kiongozi mwanamke kutuhumiwa kutembea na viongozi wanaomzidi au mke wa kiongozi kurubuniwa au wake wa viongozi kuwa wabovu. Viongozi wengi wazuri kwa wabaya wamekutwa na hili kwani inaonekana ni silaha muhimu ya kuwamaliza kisiasa au kiharakati. Viongozi kama Mandela, Nyerere, Moi, Kibaki, Clinton, Obama, Wangari Maathai, Condoleza Rice, Kikwete, Museveni, Mswati, Jacob Xuma, Sierlief na wengineo wengi.
Ni kweli kwamba mahusiano ya viongozi yana athari kwa jamii na kwa upande mwingine ni faida kwa jamii. Viongozi kama watu wengine hukosea, hudanganyika na wakati mwingine kurubuniwa. Watu wenye timamu hupima athari za hayo makosa.
Kwa Josephine kaza buti, usikimbilie kuachana na siasa kama wengine, mbona Hilary aliweza na anaweza mpaka leo.
Kwa Slaa ni wakati wakuangalia wapi umeenda mbali hadi kuathiri chama kwa mahusiano yako.

Sioni tumaini kwa siasa za kitanzania kuleta maendeleo halisi kwa sababu wakati tulionao sio wakufikisha hapo, ila kwa wanaharakati hatuachi kupambana hata ukibaki peke yako msimamia ukweli, ukweli utasemwa. Kwa sasa tunahitaji ahueni tu.
Kwa wapiga kelele, ungeweza kuyasema hayo hadharani tungekuona wewe ni mpiganaji wa ukweli vinginevyo wewe ni mnafiki na unasema haya kwa chuki binafsi na faida binafsi ambazo hazina msaada kwetu wala kwako. Kwa hili Wassira aliyesema Slaa alifukuzwa upadre kwa sababu ya wizi na aliyasema jukwaani ni bora asilimia 100 zaidi ya wewe. Kama unataka siasa au harakati, pima kiatu kikikutosha ingia uwanjani tukuone kwenye mapambano.
 
NI uzushi tu ili kuludisha nyuma maendeleo ya demokrasia na upambanaji zidi ya dhuluma na ufisadi, simple mathcs 300ml ununue kiwanja tena kunduchi, ujenge,ufanye ukarabati bills, ujilipe nk kama ni 300bln labda inawezekana, huyu jamaa tumteme kama jina lake linavyo tuambia ni mlongo wa kutemwa
 
NI uzushi tu ili kuludisha nyuma maendeleo ya demokrasia na upambanaji zidi ya dhuluma na ufisadi, simple mathcs 300ml ununue kiwanja tena kunduchi, ujenge,ufanye ukarabati bills, ujilipe nk kama ni 300bln labda inawezekana, huyu jamaa tumteme kama jina lake linavyo tuambia ni mlongo wa kutemwa

Hivi Dr.slaa majibu yake umeyaona?au unakurupuka kujibujibu mambo hapa...Hayaa sasa huohuo uzushi Dr.slaa boss wake amekili kuwa ni kweli ubadhilifu huo upo.
jaribu kuwa mwangalifu katika majibu yako..Post inaonesha tuhuma na majibu ya Dr.slaa aliyoyatoa hapa Jf.
Jipange kwanza.
 
HOJA UMEISHIWA SASA UMEAMUA KUIJADILI USERNAME YANGU....Utaijadili sana hadi siku ile utakapo salute...Huu ni mwanzo tu wa uozo.Mengine yanakuja,na nitawaleta hao akina Dr.slaa wakujibu.
kwa sababu naona majibu ya Mh.hapo uemyafumbia macho.

Makete imebaki story juu ya hilo unalozungumzia...labda uulize mbona Kariakoo wakinga mmejaa sana..!!!jibu lake very simple soma hapo palipo andikwa MWAKIPANDE.

Mhh naona umejaza mkoba, lazima thugs wote wawekwe wazi.

Hebu jiburudishe na hii burudani safi sana, kakitokea katangazo kwa chini ka-skip unaingia moja kwa moja kwa uhondo
http://www.youtube.com/watch?v=HnUlsK8nDXQ
 
Kama watu wazushi kama hawa wako ndani ya chadema, hawa ni CCM ni bora wafukuzwe kabisa, kuliko kukaa na wazushi na wasaliti, wanaorudisha ari ya watanzania ya kutaka mabadiliko nyuma! Mnaomfahamu kwa jina mtajeni humu tumjue!
 
Unafikiri Sabodo mjinga atoe pesa alafu ashindwe kujua nini pesa zake zimefanya? Wale pesa za sabodo nilidhani hata ruzuku wanakula! Billcanas? Ungejua Mbowe pesa anayotumia ni ya mzee wake tu ya kwake hajaanza kutumia!
 
Mkuu Mkandara,
Mie utanione bure hivi kuhoji kwa nini Slaa, kampa Josephine kazi pale makao makuu na kulipwa milioni 10 pamoja na Slaa, kulala hotel ya kitalii pamoja yaya wake ni kumtafuta Slaa?

Mkuu kwani wewe unapata wapi uhalali wa kumuongelea Rais Jk, Seif Sharif?

Mkuu una kazi kubwa sana kutetea huu ufisadi wa Slaa na Josephine.

Kama vile kutetea ufisadi ndani ya CCM.

ha ha haaaa, mbavu zangu

Ritz mzima?
 
Back
Top Bottom