Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

Kaka yangu Juma, naona umeguswa sana na hii hoja! Ambacho nimekusoma kutoka kwako, inaelekea kuna wakati ulianza kuwaamini hawa jamaa! Sasa naona wamekuchosha kabisa! Mimi sijawahi kuliamini hilo 'gang'!

Ni kweli mkuu. Nitaka kupotea njia. Hawa jamaa ni hatari kuliko nyati kicha aliyejeruhiwa. Halafu kwa tuhuma hizi nilitegemea wana CDM wataamka na kukemea ubadhirifu huu. Kumbe nao wanatetea. Hivi viongozi wote wa CDM kuanzia ngazi ya mkoa hadi tawi Nao wakianza kudai haki yao, wakianza kudai malipo, chama si ndo kitakufa hiki?
 
Siasa ya nchi hii bado changa sana, watu mnatafuta ukombozi alafu pia unaleta mada zenye kuleta migongano ACHA KABISA safari ya nchi hii bado ndefu sana, tafadhali usiturudishe nyuma yote uliyoongea inadhihirisha wazi wewe upo kimasalhi zaid. na huyu mtu yupo ndani ya system japo hana taarifa vizuri so anataka kuvuruga watu, lazima CDM mmneshamfahamu hakikisha mnammaliza mapema. ALUTA CONTINUA!
 
Tuletee na ufisadi wa CCM, Kikwete, Mkapa na familia zao basi ili tulinganishe ingawa ushahidi wako unaonekana kuwa pumba tupu.
Ufisadi wa ccm unajulikana hata kwa watoto walipo tumboni mwa mama zetu,Pia kama tuhuma hizi ni pumba tupu Dr.slaa asinge jibu hapa..amekili na bado atakuja kujibu hapa.
So jiulize kama ni pumab inakuwaje Boss wako azijibu na akili kuwa ni kweli? Unanafasi ya kuukomaza ubongo wako uweze kufikiria vizuri zaidi.
 
Siasa ya nchi hii bado changa sana, watu mnatafuta ukombozi alafu pia unaleta mada zenye kuleta migongano ACHA KABISA safari ya nchi hii bado ndefu sana, tafadhali usiturudishe nyuma yote uliyoongea inadhihirisha wazi wewe upo kimasalhi zaid. na huyu mtu yupo ndani ya system japo hana taarifa vizuri so anataka kuvuruga watu, lazima CDM mmneshamfahamu hakikisha mnammaliza mapema. ALUTA CONTINUA!

Ur right but in wrong Direction...nani asiyependa ukombozi kwa sasa hapa nchini?watanzania karibia wote tunahitaji ukombozi...na tunahitaji chama mbadala wa ccm.Lakini sio neno ukombozi liwe benchmark ya chadema kutuibia.

Yaani anayetaka ktukomboa fisadi,tunayetaka kumuondoa naye fisadi..sasa wewe uanataka tuendelee tu kwenda mbele??
Chadema wanafanya ufisadi sasa kabla hawajapewa nchi,wakipewa nchi itakuwaje?hivi uoni kama tunafanya mchezo wa patapotea kwa sababu tunamtoa fisadi then tunamuweka fisadi!!!!!!!

Chadema wajisafishe kwanza.....
 
Ufisadi wa ccm unajulikana hata kwa watoto walipo tumboni mwa mama zetu,Pia kama tuhuma hizi ni pumba tupu Dr.slaa asinge jibu hapa..amekili na bado atakuja kujibu hapa.
So jiulize kama ni pumab inakuwaje Boss wako azijibu na akili kuwa ni kweli? Unanafasi ya kuukomaza ubongo wako uweze kufikiria vizuri zaidi.
Kweli njaa mbaya,.........kelele zooote hizi kwenye mitandao ni kwa sababu haupo kwenye panel ya ulaji!
Ningependa kuwashauri vijana tutafute kazi za kufanya na siasa ifuate baada ya kuwajibika katika kazi zetu rasmi. Siasa isigeuzwe ajila.
 
Mnapoteza muda,watanzania hatudanganyiki kamwe na propaganda zenu CCM,kama kutuibia mali zetu mmetuibia vya kutosha nendeni mkawadanganye wajinga wenzenu
[h=3]
icon1.png
Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo[/h] Started by TUNTEMEKE, 14th March 2012 21:28 1 2 3 4 5 ... 57
trashcan_small.gif
paperclip.png

  • Replies: 1,123
  • Views: 18,313
TUNTEMEKE
Today, 21:1
Upuuzi upo kule jukwaa la mapenzi,jaribu kujibu oja moja wapo kama unaweza...Mnyika kaingia leo hii hapa mbona hajajibu..Slaa mejaribu kujibu lakini alipoulizwa maswali ya ukweli zaidi amekimbia
sasa sembuse wewe...ndio unaona huu ni upuuzi.
 
Kaka acha jazba, hoja za msingi zijibiwe ushabiki na mapenzi makubwa ya vyama yasitufanye tukashindwa kuona mambo 'objectively'
 
Ni kweli mkuu. Nitaka kupotea njia. Hawa jamaa ni hatari kuliko nyati kicha aliyejeruhiwa. Halafu kwa tuhuma hizi nilitegemea wana CDM wataamka na kukemea ubadhirifu huu. Kumbe nao wanatetea. Hivi viongozi wote wa CDM kuanzia ngazi ya mkoa hadi tawi Nao wakianza kudai haki yao, wakianza kudai malipo, chama si ndo kitakufa hiki?

Haki ipi tena inategemea kama umeingia kwenye chama kwa ajili ya nini kama ni pesa itakuwa hivyo kama ni ukombozi ni vinginevyo hata hivyo nikimnukuu jk kwenye sherehe za ccm mara nyingi anAwashauri chama kutafuta njia nyingine za mapato ruzuku haitoshi

Kweli njaa mbaya,.........kelele zooote hizi kwenye mitandao ni kwa sababu haupo kwenye panel ya ulaji!
Ningependa kuwashauri vijana tutafute kazi za kufanya na siasa ifuate baada ya kuwajibika katika kazi zetu rasmi. Siasa isigeuzwe ajila.

Kama ni kelele Boss wako Dr.slaa na shemeji yako Josephine wasingekuja hapa kukili ubadhilifu huu..Uzuri hatufahamiani so swla la njaa ni lako wewe.
Dr.slaa naye kaja kupiga kelel hapa?nadhani sababu moja tu inayokupa majibu hayo ni Mahaba juu ya chadema...
 
Dont jump into conclusions, try to examine the premises so critically before you conclude kama ulivyofanya, ni vizuri hoja zikajibiwa kwa hoja badala ya kujibu kifupi tena kwa kuwashambulia wana jamvi wengine wenye mawazo huru
 
Kama ni kelele Boss wako Dr.slaa na shemeji yako Josephine wasingekuja hapa kukili ubadhilifu huu..Uzuri hatufahamiani so swla la njaa ni lako wewe.
Dr.slaa naye kaja kupiga kelel hapa?nadhani sababu moja tu inayokupa majibu hayo ni Mahaba juu ya chadema...
kama si njaa kinakuwasha nini mpaka ulete propaganda?
 
Kama mtaalamu wa saikolojia nimegundua kuwa ndugu tuntemenke anamatatizo ya kisaikolojia na kwakumsaidia nitam' PM niweze kumsaidia naamini baada ya hapo atakuwa okey.
 
Kama ni kelele Boss wako Dr.slaa na shemeji yako Josephine wasingekuja hapa kukili ubadhilifu huu..Uzuri hatufahamiani so swla la njaa ni lako wewe.
Dr.slaa naye kaja kupiga kelel hapa?nadhani sababu moja tu inayokupa majibu hayo ni Mahaba juu ya chadema...
Ur too low for me, kwanza mimi sio mwanachama wa CHADEMA, ninafanya shughuli zangu na zinanipatia kipato halali, sasa nakuonea huruma wewe unayetegemea kipato upate kwenye chama cha siasa ili uweze kuendesha maisha yako, poor you!......
Wewe ni mganga njaa tu na hauna lolote na nakuhakikishia bila kutafuta kazi halali ya kufanya uko mbeleni haitokuwa ajabu kwa mtoto wa kiume kuolewa maana wenye pesa wote wameshakuwa Mabasha.
 
Mkuu,
Natanguliza samahani na naomba ni ulize swali juu yake.

Sasa humu watu wanafanya juhudi za kuiondoa ccm madarakani ili iwe je?
 
Kweli njaa mbaya,.........kelele zooote hizi kwenye mitandao ni kwa sababu haupo kwenye panel ya ulaji!
Ningependa kuwashauri vijana tutafute kazi za kufanya na siasa ifuate baada ya kuwajibika katika kazi zetu rasmi. Siasa isigeuzwe ajila.

Kwa kusema maneno hayo unahalalisha ufisadi kwa viongozi wa chama chako. Ikiwa ni hivyo, basi ufisadi wote tufanye uwe sawa na halali. Hata mimi na wewe kuanzia sasa tuanze ufisadi katika kada tulizopo. Watanzania wote tuwe mafisadi kwa sababu tuliokuwa tukiwategemea kutukomboa wametugeuka nao wamekuwa mafisadi, wakulima nanyi kuweni mafisadi. Kila mtu awe fisadi kwa sababu nyinyi wana CDM mmeuhalalisha ufisadi.
 
Haki ipi tena inategemea kama umeingia kwenye chama kwa ajili ya nini kama ni pesa itakuwa hivyo kama ni ukombozi ni vinginevyo hata hivyo nikimnukuu jk kwenye sherehe za ccm mara nyingi anAwashauri chama kutafuta njia nyingine za mapato ruzuku haitoshi

Hebu unijibu kaswali haka. Kati ya katibu wa mkoa na yaya wa katibu mkuu wa chama ni yupi ana umuhimu katika chama kuliko mwingine. 280,000 anayolipwa housegirl ukiigawanya kwa makatibu wote wa mikoa hawawezi kupata hata vocha tu wakawasiliana na jamaa zao?
 
Kwa kusema maneno hayo unahalalisha ufisadi kwa viongozi wa chama chako. Ikiwa ni hivyo, basi ufisadi wote tufanye uwe sawa na halali. Hata mimi na wewe kuanzia sasa tuanze ufisadi katika kada tulizopo. Watanzania wote tuwe mafisadi kwa sababu tuliokuwa tukiwategemea kutukomboa wametugeuka nao wamekuwa mafisadi, wakulima nanyi kuweni mafisadi. Kila mtu awe fisadi kwa sababu nyinyi wana CDM mmeuhalalisha ufisadi.
Unakubali kwamba Lowasa ni Fisadi? nadhani tuanzie hapa ili mjadala unoge vizuri.
 
Siasa ya nchi hii bado changa sana, watu mnatafuta ukombozi alafu pia unaleta mada zenye kuleta migongano ACHA KABISA safari ya nchi hii bado ndefu sana, tafadhali usiturudishe nyuma yote uliyoongea inadhihirisha wazi wewe upo kimasalhi zaid. na huyu mtu yupo ndani ya system japo hana taarifa vizuri so anataka kuvuruga watu, lazima CDM mmneshamfahamu hakikisha mnammaliza mapema. ALUTA CONTINUA!

Uwapo kati hali ya kutembea pekupeku unaweza kujikikwaa, baada ya kujikwaa ni lazima utizame pale. ulipojikwaaa nachokabla ya kusonga mbele
 
Wadau nimepitwa kidogo na huu mtiririko wa huu uzushi.! Jana tulifika sehemu tukawa tunasubili vielelezo/ushaidi toka kwa Tunte & co.. Vipi wamewasilisha or same stories?
 
Ukitokwa na povu kwa ajiri ya uzi huu wewe ni punguani. Hamna hata ushahidi wa moja kwa moja kama vielelezo. Mleta mada hajulikani ni nani, mtoa mada ameonyesha kukosa kitu fulani alikua amelenga ndio maana amekuja na sanaa yake hapa. Mtoa mada jiamini jitabanaishe weka ushaidi ili hata magazeti yapate kusomwa na watz wengi.
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom