KanyeWest_Tz
Senior Member
- Jul 18, 2026
- 152
- 300
Baada ya jana mimi kupost humu kuhusu Elevenn watu wamekuwa wakini attack na kunitukana mimi kisa wanadhani hii ID ni yake.
Mimi nimeweka machapisho ya kukwambia mawazo yangu na bado wanakuja na matusi.
Nimejifunza ya kuwa kumbe Elevenn alikuwa sahihi kabisa.
Watu hawapendi kuuiskia ukweli na huumizwa wakisikia wanaamkiwa kile kinacho wa fanya wawe maskini na kukosa maarifa
Mpaka mods wamenifungia kuchangia kisa Elevenn aisee
Lakini hebu cheki comment section imejaa watu wengi wenye nongwa na chuki binafsi...
Labda niwaulize nyie..
Ni nani aliyewaroga muwe na nongwa ya kichukizwa na ukweli?
Yaani mnaishia kumtukana mtu kisa kawasema? Ndo maana wazungu wametuzidi kwa kweli, maana wao wanatumia ego zao vyema.