Huu ndo ukweli Mchungu kuhusu Watanzania

Huu ndo ukweli Mchungu kuhusu Watanzania

Kwani uongo?

Kwani sisi sio masikini?

Sisi ni wamatumbi😂?

Ila usijishushe thamani sana mkuu.Mtoa post yupo na matatizo ya kisaikolojia,mpe moyo atapona na maisha mengine yataendelea.

Utajori au kipato cha mtu ni siri yake,kikubwa afya njema.Usisahau dharau ni sehemu ya maisha.
Sikatai sisi ni masikini sawa ila hao wengi wao huwa wanajifanya wao sio masikini na wanajua sana wakati sisi wote hali zetu ni sawa
 
Watanzania hawajafunzwa namna bora ya ku reason na kuja na judgements zao wenyewe..

Yaani ndo maana hata kwenye siasa ni rahisi sana kuwashika, maana hawafanyi logic, wanafata nani anasema sana.

Wabongo wengi ni kama kondoo, all it takes ni atokee kondoo mmoja mjanja aanzishe safari na wote watafwata.

Unaweza kutokea trending stori moja, then atokee mtu mwenye stori kuhusu hicho kitimbwi.. Watu watafwata kile kinasemwa sana, ila sio ukweli kuhusu.

Nilicho ukiona ni kuwa wabongo wengi, now hata kujisimamia ila hakuna
Umemaliza.
 
Sikatai sisi ni masikini sawa ila hao wengi wao huwa wanajifanya wao sio masikini na wanajua sana wakati sisi wote hali zetu ni sawa
Wewe na mimi ndio tunahali sawa mkuu.Watu matajiri humu kakaaaaa.

Sasa imagine mtoa post anaishi kwao,anajua nini kuhusu maisha?

Wapo wengi tu ingawa sisi ni MASIKINI MBWA uikbisha matako yako.
 
Back
Top Bottom