kibobez
Senior Member
- Jun 23, 2017
- 177
- 217
Habari bandugu,
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada! Mimi ni kijana niliezaliwa miaka ya 90s. Kiukweli tangu nimeingia katika michezo hii ya kugegedana na mahusiano kwa ujumla nimekuwa chanzo cha maumivu na machozi kwa mabinti wengi sana! Sikuwahi kuhisi mapenzi ndani ya moyo wangu.
Nimewagegeda wengi sana na walikuwa wema kwangu lakini bila huruma niliwamwaga mchana kweupe. Tena kwa kashfa kabisa kwamba watafute wanaume wengine sikuwahi kuijua thamani ya mwanamke kabisa, sikuwahi kuogopa machozi ya mwanamke kabisa na hii yote ni kutokana kuwa na mazali sana kwani katika mademu wangu wengi nimetongoza kama watano tu wengine wengi walikuwa wanajaa na wengine walinitongoza wao kiukweli nilikuwa na bahati sana na hawa viumbe
Nilikuwa hivyo hata chuo sikuwahi kutulia au kumheshimu mwanamke "nilijimegea papuchi na kulala mbele(in mzee wa chato voice) " Lakini baadae nilielewa kale kamsemo ndege mjanja hunasa tundu bovu nilinasa kwa binti mmoja hivi siwezi kuelezea sana nahisi anaweza kujing'amua ikawa kesi! bhasi huyu binti amenisumbua saana! Kwa kweli nilikuwa nampenda sana na alipojua vituko havikuisha.
Sio kwamba papuchino za nje sikupiga hapana nilikuwa napiga kiaina na nilimuheshimu sana na hakuwahi nikamata(hilo najivunia) vituko vilizidi ikabidi nimwage manyanga japo nilikuwa nampenda saana dah! Hakuna kitu kigumu kuachana kama kuachana na mtu unaempenda.
Mpaka sasa vidonda havijapona kabisa na venye diamond katoa hii nyimbo ya i miss u ndo kazidisha maumivu kwani baada ya kuachana tulikuwa tunawasiliana vizuri ila kwa sasa mawasialiano amekata kabisa na ndo navyoshuhudia kiasi gani nampenda dah! Nammiss sana ila siwezi kuwa nae kwani nikikumbuka visa vyake nakosa pozi kabisa. Napenda kuchat nae na kuongea nae tu! Ila ndo hataki tena kweli karma is bitch navyofanyiwa ndivyo nilivyokuwa nawafanyia mabinti walionipenda kweli.
MASHABABI WENZANGU NINA NENO KWENU, TUSIWANYANYASE HAWA MABINTI KWANI MATESO WAYAPATAYO NI MAKUBWA SANA. KAMA UNATAKA KUGEGEDA HIT AND RUN SILENTLY USIWE MTU WA KASHFA KWA HIVI VIUMBE NA KAMA UPO KWENYE MAHUSIANO NA HAWA VIUMBE NAOMBA TUWAPENDE SANA AISEEEE! NA NICHUKUE NAFASI KUWAOMBA MSAMAHA WALE VIUMBE NILIOWASABABISHIA MAUMIVU NADHANI WENGINE WAKIUONA UU UZI WATAELEWA.