kibobez
Senior Member
- Jun 23, 2017
- 177
- 217
- Thread starter
- #21
Nakuelewa mno ulichomaanisha siyo uzoefu wa kawaida aisee usithubutu kukutwa!Heri umejua sasa kuliko ungeendelea kuwaumiza! Tunalipwa duniani tu mbona....
Kabisa saizi ntakuwa mkali nikiona mtu anamtreat vibaya mtoto wa kike kama mtu humtaki bora umuache kimya kimya