Huu ndo muda ambao nimeiona nguvu ya karma

kati ya wanaume 13 wenye tabia kama yako mnaweza mkawa wawili tu
wanaume siku zote sisi ni waungwana na hatuna tabia za ajabu kama zako
kwanza tuombe rdhi kwa kutudhania tunaweza kufanya ushamba kama wako

Sawa mkuu tuko pamoja
 
Naomba tafsiri ya kiswahili ya Karma is a bitch.
Karma is a bitch: Kwanza tuanze na neno karma, sababu kwenye tafsiri nitalitumia kama lilivyo. Karma ni mkusanyiko wa mambo yote uliyokwishafanya. Iwe kwa maneno, kwa vitendo, ama kwa kufikiri tu. Na mkusanyiko wa mambo hayo ndio hukuletea au hukusababishia uishi maisha unavyoishi sasa au leo. Yaani, yanapokupata mambo mabaya, ni kwasababu huko nyuma ulitenda mabaya, ulisema mabaya, ama ulifikiri vibaya. Na halikahalika yanapokukuta mazuri ni hivyohivyo, kwamba huko nyuma ulitenda mema, ulinena mema, ama ulifikiria mema. Nadhani hapo nitakuwa nimeeleweka kiasi chake.
'Karma is a bitch' maanayake: karma si kitu cha kufurahisha, ama karma si nzuri, au karma inaumiza.
 
Naam umejitahidi kuelezea mujjarab kabisa.
 
Umenikumbusha miaka 2 iliyopita X wangu aliniacha kwa nyodo na kashfa kibao ....da!! yaan Sijui alikumbwa na nn yule kaka maana tulishatambulisha na. Kwa wazazi na Pete juu tena kanisani ..gafla alinichukia akawa hataki hata nimshike...nilikua nampenda sana
Nikamwambia nampenda anajibu unajua kupenda wewe??? Wapo wanaojua kupenda sio wewe.....kwanza hata kitandani hua unanibaka tu wewe....nililia sana nilitoka mwanza nalia mpaka arusha. Wasafir wenzangu walijua naenda msibani aiseee.....
Namshukuru Mungu sasa hv anabembeleza tuishi wote sitaki hata kuona sura take
Hajaoa ....
Kazini hapaelewek
Pesa hana
Yaan Mungu mkuu kwa kweli
In situations like these, are you happy for what he is going through or sympathy?
 
Back
Top Bottom