Huu ndo muda ambao nimeiona nguvu ya karma

Huu ndo muda ambao nimeiona nguvu ya karma

Hayo mambo yanatokea tu lakin has nothing to do with karma...
Mbona mimi napigwa chini na madem lakini sijawahi kumuumiza yeyote??
Au unakuta mambo mabaya yanawakuta watu wema hadi wanakufa...

Hakuna kitu kama karma
 
Umenikumbusha miaka 2 iliyopita X wangu aliniacha kwa nyodo na kashfa kibao ....da!! yaan Sijui alikumbwa na nn yule kaka maana tulishatambulisha na. Kwa wazazi na Pete juu tena kanisani ..gafla alinichukia akawa hataki hata nimshike...nilikua nampenda sana
Nikamwambia nampenda anajibu unajua kupenda wewe??? Wapo wanaojua kupenda sio wewe.....kwanza hata kitandani hua unanibaka tu wewe....nililia sana nilitoka mwanza nalia mpaka arusha. Wasafir wenzangu walijua naenda msibani aiseee.....
Namshukuru Mungu sasa hv anabembeleza tuishi wote sitaki hata kuona sura take
Hajaoa ....
Kazini hapaelewek
Pesa hana
Yaan Mungu mkuu kwa kweli
Malipo ni hapa hapa always. Unajua wanao acha wapenz wao kwa nyodo huwa wanajiona powa sana kumbe hakuna kitu.

Baadae yakibuma ndio wanarud resi ,speed100
 
Katika mambo ambayo vijana wa kiume huwa mnakosea ni kutembea na wasichana ilhali hamna malengo nao au bila kuweka wazi kwanini mko nao.
Simply baadhi yao wanaongozwa na tamaa.

Binafsi my golden rule huwa sitongoz mwanamke kama sina malengo nae. Siwez poteza pesa na muda wangu. Alaf mwisho wa siku namuacha hewani ni upumbav.

Kuna baadhi ya wanaume wanaongozwa na tamaa.. lakin kuna wanaojielewa kama mm.
 
Kuna demu alinipiga chini kwa kishindo akaja akapigwa mimba na kunguru mmoja alipo jifungua tu anaenda nyumbani akakutana na talaka juu....

Alikuwa mzuri lakina sasa hivi kawa kama anafanya kazi kwenye kiwanda cha nyondo....
Haha inachekesha na kusikitisha at the same time. But malipo ni hapa hapa.

Ndio huwa wanarud kwa speed kali kweli.
 
Mm nilikashfiwa na mdada ambae nilizaa nae Mtoto na kunambia Sina hela, maana nilikua ndo nmemalza chuo cna hata ajira lakn kpind nipo nae mungu alibark tukapata Mtoto kiume, alitoa kila aina maneno, nmemchafua kumzalisha wakat bado Sina mbele na nyuma japo nilikua naweza kuhudumia kila kitu ila aliona Mtoto amemuharbia CV, maana wenzake aliona wanajirusha na maboss kila kukicha, ikafka muda hata ndg zake wakamshawishi aachane nami na awe na mtu Fulani alionesha nia na anaweza kulea hata Mtoto wangu bila mm ktoa chochote, bila woga binti akawa anatafta kila sababu tugombane, akataka anicontrol kama TV,nikaona upuuzi ikafkia kipnd akanipa mashart kwenda kuona Mtoto kwao licha yakuwa nahudumia,

Marafk zake wakanambia siku hz anatoka na boss Fulani ndo anamtia jeuri, nikamuulza nikatukanwa kila aina ya tusi, mi maskn, familia maskn, elimu na pesa kipi bora? Nile elimu yangu, nikitaka nichkue Mtoto ili nisimsumbue kwa lolote, kpnd hcho Mtoto anamiaka 2 tu, jamaa yake akampa namba Simu kanambia nisimsumbue, mjomba wake na ndg wengn wakanikashfu kupta kiasi niliumia sana aisee, hapo ndo nilijuta kwa kila kitu,

Familia yake ndo ilikua YA kawaida sana(maskn) kuliko hata yangu,

Nikapata kaz ya muda nikawa napata hela si chn 800k-1m kwa mwez, nikiwa bado na maumivu hayo! Nikajfanya mjnga nikapata upenyo kuiba Mtoto wangu, nikamchukua nikampeleka kw mama yangu(hapajui), akaona nmempunguzia mzgo, ikawa tena anakashfu hvohvo naktaka nimrudshie Mtoto wake ila sikufanya hivyo,

Akanitumia watu na police siku 1 aliponiona natoka uwanjani kuchek mechi ya ligi Kuu, nikashkwa nikawekwa ndani siku 2 na kesi yake ikawa nimemuibia Mtoto akiwa Mdogo, nikaomba kesi ipelekwe ustaw maana nilikua na SMS na audio ushahd kutaka nichkue Mtoto maana anambana,

Akaamua kufta kesi na ktamba eti ananikomesha, leo Mtoto anamiaka 4 hajawah hata kumuona, yule jamaa yake alikua mkurugenz h/mashauri fulan hv, kumbe anafamilia bwana, ikafka muda jamaa akamuacha tena kwa kashfa nakuitwa malayaaaaaa, akataka Kurd kwangu hata mawasiliano yake siktaka na staki na stataka, maana tayr anajua nimepata kaz permanent na Niko vzr,
Pia tayr nipo na mtu makn sana na sio muda mrefu nafunga ndoa, sasa imekua Simu haziishi kuomba msamaha nk, kaenda hadi kanisani kutubu na kumweleza mchungaj na akanipgia Simu kumuombea msamaha na nmpe nafasi hata kumuona Mtoto maana nae ni mzazi nikamjb mchungaj futa no yangu kabsa stak hzo habr, Mtoto akikua atamtafta mama yake,

Note; tuache kutendea mtu kibaya na kumkashfu huku huijui kesho, uktaka kumuacha mtu muache kimyakmya bila faraka! Mkiktana msalimiane hata kupasha kipolo pia, ukimuacha mtu kimyakmya hata umia sana kuliko kumkashfu, hujafa hujaumbka aisee!

Binafsi nilivoumia hata stak mtu anishaur chochote na mzaz mwenzangu, kaniachia Mtoto na anatapatapa kila kukicha, IWE MWANAUME AU MWANAMKE TUJIFUNZE KUTOKUMUUMIZA MTU KIMAPENZI, [emoji174] [emoji174] [emoji174] [emoji174] [emoji174] [emoji180] [emoji180] [emoji180] [emoji180] vigumu sana kuziba haya maumivu!
Nimeguswa na story yako. Mungu akubariki
 
Hayo mambo yanatokea tu lakin has nothing to do with karma...
Mbona mimi napigwa chini na madem lakini sijawahi kumuumiza yeyote??
Au unakuta mambo mabaya yanawakuta watu wema hadi wanakufa...

Hakuna kitu kama karma
It doea exists. Maybe sio sasa.. maybe sio mwakani. Sometimes hayo mabaya yanakurudia ukiwa umri umeenda. Before hujafa usualy lazima irudi. Hi ndio law of universe.
 
Nakumbuka, wkt nimemaliza chuo pia kama wewe. Narudi kitaa sina kazi sina ramani.

Dem baada ya kugundua kuwa sina pesa wkt huo, akanifanyia vituko, alinifanyia vituko si vya nchi hii. Nilitukanwa, nilidhauliwa, nikaabishwa mtaani kwao mbele za watu.

Alaf out of no where anaanzisha tu ugomvi. Aka nicheat na kupata mimba..

Bila aib naenda kwao, akanishtaki kuwa mm ndio muuni.m kuwa mm ndio mbaya.
Basi nilivunjika moyo sana..

Nikarud home na maumiv yangu.. niliugua kama mwaka mzima mfululizo.. akaja kuolewa .
Baada ya mwaka mmoja kwenye ndoa. Out of no where akaanza kutuma ndugu kiniomba msamaha,kanitafuta kwenye simu.. kaniambia nisahau yaliyopita.

Aisee after all this years baaada ya mtu kukutendea ubaya leo anakutafuta bila aib eti tuyasahau kirahis hivyo.
 
Hongera kwa kuitambua dhambi yako!
 
Mola akufanyie wepesi katika vipigo vyako
 
Umenikumbusha miaka 2 iliyopita X wangu aliniacha kwa nyodo na kashfa kibao ....da!! yaan Sijui alikumbwa na nn yule kaka maana tulishatambulisha na. Kwa wazazi na Pete juu tena kanisani ..gafla alinichukia akawa hataki hata nimshike...nilikua nampenda sana
Nikamwambia nampenda anajibu unajua kupenda wewe??? Wapo wanaojua kupenda sio wewe.....kwanza hata kitandani hua unanibaka tu wewe....nililia sana nilitoka mwanza nalia mpaka arusha. Wasafir wenzangu walijua naenda msibani aiseee.....
Namshukuru Mungu sasa hv anabembeleza tuishi wote sitaki hata kuona sura take
Hajaoa ....
Kazini hapaelewek
Pesa hana
Yaan Mungu mkuu kwa kweli
Usifurahie añguko lake muombee tu
 
Mwalimu Nyerere angekuwa na mawazo kama haya yako mkuu, Idd Amin angekuwa bado anaikalia Kagera mpaka leo hii.

Mkuu, adui yako muombee njaa. Never let your enemy grow.
Mkuu kitabu cha Mungu nisomacho kinaniambia nimuombee adui mema ili nibarikiwe zaidi & to be honest ninasamehe saana zaidi ya 7× 70 tuliyoamliwa
 
In situations like these, are you happy for what he is going through or sympathy?
Kwani yeye alivomvisha pete alafu akamuacha, alikuwa hajui what was going through? Hakuwa na sympathy? Tuiacheni tu karma ifanye mambo yake
 
Dah! kilichotokea kwako kama kwangu,pete,mahali na vikao vilianza, bora wewe huna mtoto my dia mimi ameniacha na mtoto now ana miaka 3.
Nilihisi kufa ila nikimuangalia mtoto wangu nilikuwa namuita Mungu anisaidie usiku na mchana otherwise unaweza kujidhuru.Nimemshukuru Mungu sababu anajua kwanini,namuomba Mungu nimsamehe usiku na mchana.
Ila Mungu yupo naamani he will pay one day for what he did to me kabla ya roho zetu kuzimia.
Sasahivi yukoje huko aliko?
 
Acha KARMA ikutafune tu mkuu,uzuri wa Karma Ni kwamba kamwe huwezi kufa kabla haijakukuta.

Na pia ulikosea Sana kumpenda huyo dada kupitiliza.
 
Umenikumbusha miaka 2 iliyopita X wangu aliniacha kwa nyodo na kashfa kibao ....da!! yaan Sijui alikumbwa na nn yule kaka maana tulishatambulisha na. Kwa wazazi na Pete juu tena kanisani ..gafla alinichukia akawa hataki hata nimshike...nilikua nampenda sana
Nikamwambia nampenda anajibu unajua kupenda wewe??? Wapo wanaojua kupenda sio wewe.....kwanza hata kitandani hua unanibaka tu wewe....nililia sana nilitoka mwanza nalia mpaka arusha. Wasafir wenzangu walijua naenda msibani aiseee.....
Namshukuru Mungu sasa hv anabembeleza tuishi wote sitaki hata kuona sura take
Hajaoa ....
Kazini hapaelewek
Pesa hana
Yaan Mungu mkuu kwa kweli
Pole kwa yaliyotokea; lakini

Hiyo sio adhabu kutoka kwa Mungu, ni mipango tu ya jamaa tu imekataa na mambo mengine yamechangia.

Tusipende kuona kuwa Mungu ameingilia kati mahusiano yako kwa kupeleka adhabu kwa huyo kijana. Katika nchi maskini ambazo hata ajira nazo ni za kuungaunga ni rahisi tu kwa mtu kufulia bila kujali amefanya nini kwenye mahusiano.

Sio namna ambayo Mungu anafanya kazi. Mahusiano yenu wewe na huyo kijana si ya kumshughulisha Mungu.

Note: Sitetei jambo alilofanya hata kidogo, ila hakuna uhusiano wa anayopitia jamaa na ukuu wa Mungu.
 
Back
Top Bottom