Kwa wale tuliomaliza kipindi cha jk tunajua hilo. Ajira za ualimu au udaktari ulikuwa huombi zipo tu unapangiwa moja kwa moja labda we mwenye usiende tu.Mmh!! Ebu rudia mkuu,. kwamba kila muhitimu alikuwa anakuta ajira zipo labda akatae mwenyewe???
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko mwanzo ulisema wahitimu wote, saivi ndo unasema ualimu na udaktari. Umetumwa weweKwa wale tuliomaliza kipindi cha jk tunajua hilo. Ajira za ualimu au udaktari ulikuwa huombi zipo tu unapangiwa moja kwa moja labda we mwenye usiende tu.
I mean woteHuko mwanzo ulisema wahitimu wote, saivi ndo unasema ualimu na udaktari. Umetumwa wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,wanaomchukia mama Ni sukuma gang, na Kuna kundi fulani wao kwao kiongozi Bora hawe mkristo tu,akiwa muislamu Ni nongwa,Huu ndo uongozi thabiti usio na mbwembwe wala majigambo lakini mambo yanatrndeka kwa kasi. Nakumbuka kipindi cha jpm zilikuwa ni kelele ndo kwa runinga na kuteka watu tu.
Angalia mama anavyomwaga ajira bila makelele ya magazeti eti serikali yamwaga ajira. Tumeshuhudia jeshi la mahereza, polisi na uhamiaji limetangaza ajira kibao lakini hakuba makelele eti kishindo cha awamu ya sita. Ingekuwa kipindi kile magazeti yote na radio zingekoma na habari hii.
JPM alikuwa anadokoa tu ajira lakini duh ilikuwa balaa! Nakumbuka alitangaza kuajiri walimu elfu 13 tu ikawa ndo gumzo la nchi nzima taribani mikutano yote kwamba jpm kamwaga ajira ikawa kama kampain ya kitaifa na baada ya hapo walioajiriwa hawazidi elfu mbili nchi nzima lakini misukule wakajia na kutetea kwamba haiwezekani nchi yoyote kuajiri watu wote, tukawaambia kwa ninj jk aliweza wakasema kulikuwa na upigaji jibu ambalo havina uhusiano kabisa.
Sasa mama anatatua swala la ajira kimyakimya bila makelele na tumerudi enzi za jk ambapo ajiri zilikuwa bwerere kwamba kila kila mhitimu anakuta ajira zipo labda akatae ajira mwenyewe.
Thank you mama and may God bless you. Nchi ilikuwa imepotea.
Bado nasubiri mradi wa barabara kimara to kibaha ukamilike naona mapipa tu yamejaa barabarani...vipi barabara ya kawawa kutoka magomeni makandarasi wameendq wapi wanatuachia mashimo?Huu ndo uongozi thabiti usio na mbwembwe wala majigambo lakini mambo yanatrndeka kwa kasi. Nakumbuka kipindi cha jpm zilikuwa ni kelele ndo kwa runinga na kuteka watu tu.
Angalia mama anavyomwaga ajira bila makelele ya magazeti eti serikali yamwaga ajira. Tumeshuhudia jeshi la mahereza, polisi na uhamiaji limetangaza ajira kibao lakini hakuba makelele eti kishindo cha awamu ya sita. Ingekuwa kipindi kile magazeti yote na radio zingekoma na habari hii.
JPM alikuwa anadokoa tu ajira lakini duh ilikuwa balaa! Nakumbuka alitangaza kuajiri walimu elfu 13 tu ikawa ndo gumzo la nchi nzima taribani mikutano yote kwamba jpm kamwaga ajira ikawa kama kampain ya kitaifa na baada ya hapo walioajiriwa hawazidi elfu mbili nchi nzima lakini misukule wakajia na kutetea kwamba haiwezekani nchi yoyote kuajiri watu wote, tukawaambia kwa ninj jk aliweza wakasema kulikuwa na upigaji jibu ambalo havina uhusiano kabisa.
Sasa mama anatatua swala la ajira kimyakimya bila makelele na tumerudi enzi za jk ambapo ajiri zilikuwa bwerere kwamba kila kila mhitimu anakuta ajira zipo labda akatae ajira mwenyewe.
Thank you mama and may God bless you. Nchi ilikuwa imepotea.
No leader of this era in Tanzania will equal The Late President John Pombe Joseph Magufuli!Huu ndo uongozi thabiti usio na mbwembwe wala majigambo lakini mambo yanatrndeka kwa kasi. Nakumbuka kipindi cha jpm zilikuwa ni kelele ndo kwa runinga na kuteka watu tu.
Angalia mama anavyomwaga ajira bila makelele ya magazeti eti serikali yamwaga ajira. Tumeshuhudia jeshi la mahereza, polisi na uhamiaji limetangaza ajira kibao lakini hakuba makelele eti kishindo cha awamu ya sita. Ingekuwa kipindi kile magazeti yote na radio zingekoma na habari hii.
JPM alikuwa anadokoa tu ajira lakini duh ilikuwa balaa! Nakumbuka alitangaza kuajiri walimu elfu 13 tu ikawa ndo gumzo la nchi nzima taribani mikutano yote kwamba jpm kamwaga ajira ikawa kama kampain ya kitaifa na baada ya hapo walioajiriwa hawazidi elfu mbili nchi nzima lakini misukule wakajia na kutetea kwamba haiwezekani nchi yoyote kuajiri watu wote, tukawaambia kwa ninj jk aliweza wakasema kulikuwa na upigaji jibu ambalo havina uhusiano kabisa.
Sasa mama anatatua swala la ajira kimyakimya bila makelele na tumerudi enzi za jk ambapo ajiri zilikuwa bwerere kwamba kila kila mhitimu anakuta ajira zipo labda akatae ajira mwenyewe.
Thank you mama and may God bless you. Nchi ilikuwa imepotea.
Unataka like au unataka kupata Elimu?Enzi za Magufuli uliuliza swali kama hili?
Majibu yake yalikuwaje