Huu ndio utamu wa kilaji

Huu ndio utamu wa kilaji

VAN HEIST

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
1,434
Reaction score
617
1417496969470.jpg
 
Jamani jamani, mlevi hamwagi pombe yake kwa gharama yeyote, hata kama itamghalimu uhai wake.
 
Kitu kiasi ni muhimu! Ukipitiliza iwe chakula, utajiri, elimu, unene, wembamba uchafu n.k. vyovote vile utapata madhara makubwa.
 
Bora afe lakini sio kumwaga pombe mlevi nouma.
 
Huyu akikuta kitu chenye mfano wa ute wa Yai kwenye Mkalio hatarudia!

attachment.php
 
Raha yake nikwamba asubuhi hukumbuki kitu zaidi ya kuhadithiwa na kuuguza majeraha.
 
Back
Top Bottom