Huu ndio mtandao unaoimiliki Simba Trust!!

Kwa maslahi ya Taifa......

Maswali ni mengi lakini sitakuwa na haja ya Kuwataja hatharani ..

Nipende kuwapa mwanga tu mpate japo kujiridhisha na kufuatilia ni nani hasa mmiliki wa Simba Trust.

Wamiliki wa Simba trust sio kwamba ni wamiliki tu wa hiyo no wako na mtandao mkubwa wa either kumiliki au kuwa na hisa katika makampuni yafuatayo.

1: Precision Air:
Hao hao wamiliki wa Simba trust na genge lao wanaonekana kuwa na hisa ndani ya kampuni hii ya ndege.

2: TSN + GSM :
Ndio pia wamiliki wa makampuni yote ikiwemo TSN super market Kwa kununua hisa na kumiliki share ndani ya makampuni hayo.

3: Azania Bank:
Wamewekeza hisa nyingi pia kwenye hii bank ya Azania amabayo ilikua kwa kasi ndani ya utawala wa awamu ya 4

4: GAPCO+ LAKE OIL
Ni wawekezaji pia kwenye suala la mafuta kwa kuwa na hisa au umiliki wa moja kwa moja

5: TURAWAKA GOLD MINE:
Wawekezaji ndani ya mgodi wa Turawaka walifanikisha kuwafukuza wananchi katika mgodi uo na kujenga uzio .

6: Mgodi wa Tanzanite Arusha :
Pia wamewekeza kwenye mgodi huu baada ya mikataba ya Makaburu kuisha .

7: Ndio wamiliki wa UDA pia ambayo pia ni Kampuni yenye utata wa umiliki wake kwenye hisa zake.

8 : Baadhi ya makampuni ya clearing na forwarding hapo bandarini.

9 : Ndio walishinda zabuni ya ujenzi wa soko la kisasa kule Mwanza (Rock city shopping Mail) kupitia uchochoro wa wachina na kukwapua mamilioni .

10: Ndio wamiliki wa makampuni ya kufanya usafi kwenye halmashauri nyingi nchini karibu kwa asilimia 75% hawa ndio upewa tenda.

Pia ni wawekezaji kwenye shirika letu la nyuma NHC kama mnakumbuka shirika la Nyumba la taifa limekuwa likikopa pesa kwa ajiri ya kujenga Nyumba hasa miradi ya Dodoma kuna mkono wa hawa jamaa.

Pamoja na kwamba umiliki unabadilika badilika kiasi lakini mtandao ndio ule ule unaomiliki Simba Trust. Wanacho kifanya ni kuwatumia watu kufanikisha mambo yao hasa watu wenye asili ya Asia .

Hata ukiangalia kwenye list ya pesa za escrow account zilizogawiwa pale Stanibic bank list ya watu hao ilikuwepo .

Nimetoa kwa ufupi kuepuka kutaja majina kwa sababu za kisheria lakini mkifuatilia kwa makini mtagundua ni wakina Nani wapo nyuma ya hii michezo yote inayoendelea...

Hao ndio wanachukua milioni yetu 400 kila siku pale Tanesco.

Nashauri Rais Magufuli angeanza na hawa , hawa ndio mafisadi ambao wanatakiwa kwenda kwenye mahakama ya mafisadi.

Mungu ibaliki Tanzania...

Lowassa vp hayupo katika iyo list,si wanasema fisadi,,,maana kila wanaokamatwa au kutajwa kwa ufisadi,jina lake silioni katika list ,,,zaidi ya watu wa Lumumba tu kumshutumu kuwa ni fisadi
 
Lowassa vp hayupo katika iyo list,si wanasema fisadi,,,maana kila wanaokamatwa au kutajwa kwa ufisadi,jina lake silioni katika lost,,,zaidi ya watu wa Lumumba tu kumshutuma kuwa ni fisadi
Unajua kuna utajiri na ufisadi wa kutajirika ................

I wish umenielewa.......
 
Nilikuwa najengaga picha tu mama au chain nilizokuwa nikizijua hazikuwa strong hivi.
Hii ni super,amazing!

Nilikuwa naongea na mudawote ila huyu ame amenivuruga. Yeye anafikiri natetea mafisadi. Fisadi yeyote siyo atumbuliwe bali apelekwe kwa Pilato. Fisadi namba wani kwa watanzania asilimia sijui 60s% waliompigia kura Dr. Pombe wanasema Lowasa ni Fisadi. Apelekwe leo hata usiku huu. Wote tunataka kujua ukweli. Hata hao waliompigia kura akashindwa wanataka kujua kuwa wangempa kura fisadi wa aina gani. Leo siyo kesho kama alivyopelekwa mwalimu wa chuo Mbeya na wale wengine na akina Lisu. Kwani Lisu ana makosa ya kutisha kuliko Lowasa aliyeifilisi nchi hii. Lowasa ndani kuanzia kesho ili tujue kwaniniu watu walimpigia kura na kwa nini bungeni wakati jina lake limekatwa wabunge waliimba kuwa wana imani naye????
 
Mbona sijaona ushahidi wa haya maelezo yote humu?nahisi harufu ya chuki+wivu wa kisichana.
Watu wenye akili , zisizoweza kuchambua mambo kama wewe na zinazongojea kufanyiwa kila kitu ni wengi Tanzania. Halafu watu wa sampuli yako huwa wakivamiwa na mbakaji hawajitetei bali wanasubiri mpaka amalize ndpo wapate ushahidi.
 
Nilikuwa naongea na mudawote ila huyu ame amenivuruga. Yeye anafikiri natetea mafisadi. Fisadi yeyote siyo atumbuliwe bali apelekwe kwa Pilato. Fisadi namba wani kwa watanzania asilimia sijui 60s% waliompigia kura Dr. Pombe wanasema Lowasa ni Fisadi. Apelekwe leo hata usiku huu. Wote tunataka kujua ukweli. Hata hao waliompigia kura akashindwa wanataka kujua kuwa wangempa kura fisadi wa aina gani. Leo siyo kesho kama alivyopelekwa mwalimu wa chuo Mbeya na wale wengine na akina Lisu. Kwani Lisu ana makosa ya kutisha kuliko Lowasa aliyeifilisi nchi hii. Lowasa ndani kuanzia kesho ili tujue kwaniniu watu walimpigia kura na kwa nini bungeni wakati jina lake limekatwa wabunge waliimba kuwa wana imani naye????
Sasa utaelewa ni kwanini nguvu kubwa ilitumika kumzuia Lowassa kwenda Magogoni......
 
Mkuu....
Hapo kwenye # 5, sijaelewa tafadhali fafanua kidogo
 
niah inawezekana ukawa unajua ukweli wa siasa za bongo ila ukaamua kuegemea upande fulani. Suala si chama kilichokufa chadema au CUF au ACT au NCCR, suala lililopo mbele yetu watanzania ni Tanzania kuondokana na umasikini. Wewe jiulize kwanza kabla ya Simba Trust, wapinzani wanaopinga chama tawala cha CCM kuwa madarakani wanalipi ktk kuchangia maendeleo ya nchi?? Je unalielewa kiundani suala la Escrow? Je nani yupo nyuma ya pazia ya EPA, IPTL? Je ni njia gani zinafaa kuchukuliwa ili kuondokana na rushwa, uzembe kazini? Je ni njia gani inafaa kufutwa ili kuboresha elimu yetu? Mimi na wewe inawezekana maisha yetu yapo murua (kie elimu pia na kikipato), je walioko vijijini na wasiokuwa na elimu ni nani anawatetea? Je chama mfu chadema wanawatetea au? Kwa sasa ni CCM na Dkt Magufuli tu ndiyo wanasema rushwa mwiko, uzembe mwiko, wanyonge na masikini lazima wapate haki yao. Kama upo Dar ile barabara ya Mwenge kila mtu anakubali kuwa ulikuwa uamuzi sahihi, lakini watu kama wewe mnajaribu kupotosha umma kuwa rais hafanyi kazi.

Tumuache Dkt Magufuli afanye kazi, kila jambo lina muda wake. Yeye ndiye amri jeshi mkuu, anajua kila kitu.

Hakyamungu we utakuwa sio mzima kichwani,,yaan ubongo wako umejaa siasa tu,,,we hata jambo la maslai ya Taifa we unakadhana na chadema tuuu,,,kuna mtu chadema alikupiga Paipu bila kutumia kilainishi nini
 
Kwa maslahi ya Taifa......

Maswali ni mengi lakini sitakuwa na haja ya Kuwataja hatharani ..

Nipende kuwapa mwanga tu mpate japo kujiridhisha na kufuatilia ni nani hasa mmiliki wa Simba Trust.

Wamiliki wa Simba trust sio kwamba ni wamiliki tu wa hiyo no wako na mtandao mkubwa wa either kumiliki au kuwa na hisa katika makampuni yafuatayo.

1: Precision Air:
Hao hao wamiliki wa Simba trust na genge lao wanaonekana kuwa na hisa ndani ya kampuni hii ya ndege.

2: TSN + GSM :
Ndio pia wamiliki wa makampuni yote ikiwemo TSN super market Kwa kununua hisa na kumiliki share ndani ya makampuni hayo.

3: Azania Bank:
Wamewekeza hisa nyingi pia kwenye hii bank ya Azania amabayo ilikua kwa kasi ndani ya utawala wa awamu ya 4

4: GAPCO+ LAKE OIL
Ni wawekezaji pia kwenye suala la mafuta kwa kuwa na hisa au umiliki wa moja kwa moja

5: TURAWAKA GOLD MINE:
Wawekezaji ndani ya mgodi wa Turawaka walifanikisha kuwafukuza wananchi katika mgodi uo na kujenga uzio .

6: Mgodi wa Tanzanite Arusha :
Pia wamewekeza kwenye mgodi huu baada ya mikataba ya Makaburu kuisha .

7: Ndio wamiliki wa UDA pia ambayo pia ni Kampuni yenye utata wa umiliki wake kwenye hisa zake.

8 : Baadhi ya makampuni ya clearing na forwarding hapo bandarini.

9 : Ndio walishinda zabuni ya ujenzi wa soko la kisasa kule Mwanza (Rock city shopping Mail) kupitia uchochoro wa wachina na kukwapua mamilioni .

10: Ndio wamiliki wa makampuni ya kufanya usafi kwenye halmashauri nyingi nchini karibu kwa asilimia 75% hawa ndio upewa tenda.

Pia ni wawekezaji kwenye shirika letu la nyuma NHC kama mnakumbuka shirika la Nyumba la taifa limekuwa likikopa pesa kwa ajiri ya kujenga Nyumba hasa miradi ya Dodoma kuna mkono wa hawa jamaa.

Pamoja na kwamba umiliki unabadilika badilika kiasi lakini mtandao ndio ule ule unaomiliki Simba Trust. Wanacho kifanya ni kuwatumia watu kufanikisha mambo yao hasa watu wenye asili ya Asia .

Hata ukiangalia kwenye list ya pesa za escrow account zilizogawiwa pale Stanibic bank list ya watu hao ilikuwepo .

Nimetoa kwa ufupi kuepuka kutaja majina kwa sababu za kisheria lakini mkifuatilia kwa makini mtagundua ni wakina Nani wapo nyuma ya hii michezo yote inayoendelea...

Hao ndio wanachukua milioni yetu 400 kila siku pale Tanesco.

Nashauri Rais Magufuli angeanza na hawa , hawa ndio mafisadi ambao wanatakiwa kwenda kwenye mahakama ya mafisadi.

Mungu ibaliki Tanzania...
Wewe mtoa siri umeshindwa kuwataja ila unataka rais awashughulikie. Je, akikujumuisha na wewe kwenye ilo kundi atakuwa amekuonea?
 
We muongo sana.Kuna baadhi ya vitu navifahamu humo vyote umeongopa.Acha utoto
Labda na wewe ungeongezea unachokijua
Alafu ukimaliza na kutuma salamu kwa ndugu jamaa na marafiki wote
 
Alafu eti tunaambiwa kapatikani mtu fulani anaechukia ufisadi!Kuna ufisadi zaidi ya huu?Pamoja na tuhuma zote hizi bado anasema nitawalinda na nyie mnaamini mmepata mtu aliejitoa mhanga kupingana na ufisadi?Je ,si kajitoa mhanga kulinda mafisadi mapapa?
Rais wetu hashughuliki na porojo. Ana deal na reality.

Ila kwakuwa hizo ni porojo tu, hana muda nazo. Yuko bize kutekeleza ahadi!
 
Alafu eti tunaambiwa kapatikani mtu fulani anaechukia ufisadi!Kuna ufisadi zaidi ya huu?Pamoja na tuhuma zote hizi bado anasema nitawalinda na nyie mnaamini mmepata mtu aliejitoa mhanga kupingana na ufisadi?Je ,si kajitoa mhanga kulinda mafisadi mapapa?

Khaa nyie watu mbona kuna fisadi baba lao mnalo kwenu na mmeweza kuishi nalo na mnaendelea kulitetea mpaka leo?
 
Hakyamungu we utakuwa sio mzima kichwani,,yaan ubongo wako umejaa siasa tu,,,we hata jambo la maslai ya Taifa we unakadhana na chadema tutu,,,kuna mtu chadema alikupiga Paipu bila kutumia kilainishi nini
Kumbe hujamshtukia huyo?Wenzio tulishaamua kuachana nae.
 
Back
Top Bottom