Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,542
kwenye avatar naona mkangafuHapo ni Msoga family tu, na ndio kisiki cha Magu.

he he he he we jamaa banaWazee wa kujenga jengo la BAKWATA...Wazee wa kupitia Mgongo wa RC Dsm na kulipa Madaktari ili kutoa huduma za Afya bureee Mnazi Mmoja!!Yaani badala ya kuboresha huduma za Hospital,wao wanatengeneza "Bonanza la Kupima Afya za Watu"....
Ndio walewale Wazee wa Reflectors...Waliowakusanya Bodaboda wa Dsm Leaders Club na kuwagawia majaketi ya kuakisi mwanga.Hao ndio walifadhili mechi ya Wabunge wa SIMBA vs YANGA siku ya Jumapili.
Wanafanya huduma za kibinadamu kwa kuwalipa madaktari na kuhudumia kufanyia upasuaji watoto wenye vichwa vikubwa Dsm na Jimbo la Chalinze.
Jamaa ndio "Tigo Pesa na M-Pesa" ya Wabongo wanaofanya biashara China na Tz...Ukienda tu pale Kkoo unawapa madafu wao wanaituma ndani ya dakika moja imefika Uchina kwa njia ya simu.Ndio walioboresha ofisi ya RC Dsm kwa kuweka ndani samani mpyaaaaa na Apple Computer juu ya meza.
Hawagusiki...Kama unataka kurudi kwenu Geita uache jumba jeupe...Basi gusa "mtandao wa Simba Trust"....
Uwiiiiiii aiseeee kuna watu wameishika hii nchi kubayaWazee wa kujenga jengo la BAKWATA...Wazee wa kupitia Mgongo wa RC Dsm na kulipa Madaktari ili kutoa huduma za Afya bureee Mnazi Mmoja!!Yaani badala ya kuboresha huduma za Hospital,wao wanatengeneza "Bonanza la Kupima Afya za Watu"....
Ndio walewale Wazee wa Reflectors...Waliowakusanya Bodaboda wa Dsm Leaders Club na kuwagawia majaketi ya kuakisi mwanga.Hao ndio walifadhili mechi ya Wabunge wa SIMBA vs YANGA siku ya Jumapili.
Wanafanya huduma za kibinadamu kwa kuwalipa madaktari na kuhudumia kufanyia upasuaji watoto wenye vichwa vikubwa Dsm na Jimbo la Chalinze.
Jamaa ndio "Tigo Pesa na M-Pesa" ya Wabongo wanaofanya biashara China na Tz...Ukienda tu pale Kkoo unawapa madafu wao wanaituma ndani ya dakika moja imefika Uchina kwa njia ya simu.Ndio walioboresha ofisi ya RC Dsm kwa kuweka ndani samani mpyaaaaa na Apple Computer juu ya meza.
Hawagusiki...Kama unataka kurudi kwenu Geita uache jumba jeupe...Basi gusa "mtandao wa Simba Trust"....

nah balataJAKAYA KIKWETE, SALMA KIKWETE, Na watoto wao ndio wamiliki wa SIMBA TRUST,
Kwenye Orodha ya wakwapuaji wa Pesa za Escrow Mama Salma anaonekana kuchota pesa.
TSN Supermarket Mama Salma ameonekana.
Jengo la ROCKY CITY MALL -Mama Salma alimwambia Mkuu wa Mkoa Magesa Mlongo kuwa ahakikishe anamtengea Vizimba vyake humo Jengoni-Na ni kweli TSN Ilipewa Vizimba kadhaa
Halotel- Familia ya JK. ina Hisa humo ndani.
Haya IPTL/PAP =JK. Family...
Yaan Urais wa JK. Kwa miaka Kumi ulikuwa ni wa kupiga deal na mke wake pamoja na familia yake na watu wake wa karibu.
Ambaye hajakuelewa hata siku ya kiama ikifika hataelewa, na hata Yesu akirudi wala hataelewa!Wazee wa kujenga jengo la BAKWATA...Wazee wa kupitia Mgongo wa RC Dsm na kulipa Madaktari ili kutoa huduma za Afya bureee Mnazi Mmoja!!Yaani badala ya kuboresha huduma za Hospital,wao wanatengeneza "Bonanza la Kupima Afya za Watu"....
Ndio walewale Wazee wa Reflectors...Waliowakusanya Bodaboda wa Dsm Leaders Club na kuwagawia majaketi ya kuakisi mwanga.Hao ndio walifadhili mechi ya Wabunge wa SIMBA vs YANGA siku ya Jumapili.
Wanafanya huduma za kibinadamu kwa kuwalipa madaktari na kuhudumia kufanyia upasuaji watoto wenye vichwa vikubwa Dsm na Jimbo la Chalinze.
Jamaa ndio "Tigo Pesa na M-Pesa" ya Wabongo wanaofanya biashara China na Tz...Ukienda tu pale Kkoo unawapa madafu wao wanaituma ndani ya dakika moja imefika Uchina kwa njia ya simu.Ndio walioboresha ofisi ya RC Dsm kwa kuweka ndani samani mpyaaaaa na Apple Computer juu ya meza.
Hawagusiki...Kama unataka kurudi kwenu Geita uache jumba jeupe...Basi gusa "mtandao wa Simba Trust"....
haya, tuambie huo ukweli ili tutengue uongo wake.We muongo sana.Kuna baadhi ya vitu navifahamu humo vyote umeongopa.Acha utoto
sikubaliani na hii kwa asilimia 1, yaani 1% sikubali!Maswali ni mengi lakini sitakuwa na haja ya Kuwataja hatharani ..
Nipende kuwapa mwanga tu mpate japo kujirizisha na kufatilia ni nani hasa mumiliki wa simba Trust?
Wamiliki wa simba trust sio kwamba ni wamiliki tu wa hiyo no wako na mtandao mkubwa wa either kumiliki au kuwa na hisa katika makampuni yafuatayo.
1: Precision Air:
Hao hao wamiliki wa simba trust na genge lao wanaonekana kuwa na hisa ndani ya kampuni hii ya ndege.
2: TSN:
Ndio pia wamiliki wa makampuni yote ikiwemo TSN super market Kwa kununua hisa na kumiliki share ndani ya makampuni hayo.
3: Azania Bank:
Wamewekeza hisa nyingi pia kwenye hii bank ya Azania amabayo ilikua kwa kazi ndani ya utawala wa awamu ya 4
4: GAPCO+ LAKE OIL
Ni wawekezaji pia kwenye suala la mafuta kwa kuwa na hisa au umiliki wa moja kwa moja
5: TURAWAKA GOLD MINE:
Wawekezaji ndani ya mgodi wa Turawaka walifanikisha kuwafukuza wananchi katika mgodi uo na kujenga uzio .
6: Mgodi wa Tanzanite Arusha :
Pia wamewekeza kwenye mgodi huu baada ya mikataba ya Makaburu kuisha .
7: ndio wamiliki wa UDA pia ambayo pia ni Kampuni yenye utata wa umiliki wake kwenye hisa zake.
8 : Baadhi ya makampuni ya clearing na forwarding hapo bandarini.
9 : Ndio walishinda ujenzi wa soko la kisasa kule Mwanza (Rock city shopping Mail) kupitia uchochoro wa wachina na kukwapua mamilioni .
10: Ndio wamiliki wa makampuni ya kufanya usafi kwenye halimashauri nyingi nchini karibu kwa asilimia 75% hawa ndio upewa tenda..
Pamoja na kwamba umiliki unabadilika badilika kiasi lakini mtandao ndio ule ule unaomiliki Simba Trust wanacho kifanya ni kuwatumia watu kufanikisha mambo yao hasa watu wenye asili ya Asia .
Hata ukiangalia kwenye list ya pesa za escrow account zilizogawiwa pale Stanibic bank list ya watu hao ilikuwepo .
Nimetoa kwa ufupi kuepuka kutaja majina kwa sababu za kisheria lakini mkifatilia kwa makini mtagundua ni wakina Nani wapo nyuma ya hii michezo yote inayoendelea...
Hao ndio wanachukua milioni yetu 400 kila siku pale Tanesco.
Nashauri Rais magufuli angeanza na hawa ,
hawa ndio mafisadi ambao wanatakiwa kwenda kwenye mahakama ya mafisadi.
Mungu ibaliki Tanzania.....
Acha blahblah.We muongo sana.Kuna baadhi ya vitu navifahamu humo vyote umeongopa.Acha utoto
Ukisikia kilio ujue limempatasubiri wenye lumumba yao watakuja hapa kusema Lowassa nae yumo kwenye hiyo Simba Trust.
mkuu ni jisiemu au?Wazee wa kujenga jengo la BAKWATA...Wazee wa kupitia Mgongo wa RC Dsm na kulipa Madaktari ili kutoa huduma za Afya bureee Mnazi Mmoja!!Yaani badala ya kuboresha huduma za Hospital,wao wanatengeneza "Bonanza la Kupima Afya za Watu"....
Ndio walewale Wazee wa Reflectors...Waliowakusanya Bodaboda wa Dsm Leaders Club na kuwagawia majaketi ya kuakisi mwanga.Hao ndio walifadhili mechi ya Wabunge wa SIMBA vs YANGA siku ya Jumapili.
Wanafanya huduma za kibinadamu kwa kuwalipa madaktari na kuhudumia kufanyia upasuaji watoto wenye vichwa vikubwa Dsm na Jimbo la Chalinze.
Jamaa ndio "Tigo Pesa na M-Pesa" ya Wabongo wanaofanya biashara China na Tz...Ukienda tu pale Kkoo unawapa madafu wao wanaituma ndani ya dakika moja imefika Uchina kwa njia ya simu.Ndio walioboresha ofisi ya RC Dsm kwa kuweka ndani samani mpyaaaaa na Apple Computer juu ya meza.
Hawagusiki...Kama unataka kurudi kwenu Geita uache jumba jeupe...Basi gusa "mtandao wa Simba Trust"....
Shikilia hapo hapo!!Ila usimwambie mtumkuu ni jisiemu au?