technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,562
- 57,887
- Thread starter
- #41
Mleta mada ni mnafiki sana. Nyie mnatumia hisia badala ya kuweka documents. Sasa mnamsakama JK wakati huo huo mnasema alikuwa rais bora, so which is which?? Mwacheni JK apumzike!Maswali ni mengi lakini sitakuwa na haja ya Kuwataja hatharani ..
Nipende kuwapa mwanga tu mpate japo kujirizisha na kufatilia ni nani hasa mumiliki wa simba Trust?
Wamiliki wa simba trust sio kwamba ni wamiliki tu wa hiyo no wako na mtandao mkubwa wa either kumiliki au kuwa na hisa katika makampuni yafuatayo.
1: Precision Air:
Hao hao wamiliki wa simba trust na genge lao wanaonekana kuwa na hisa ndani ya kampuni hii ya ndege.
2: TSN:
Ndio pia wamiliki wa makampuni yote ikiwemo TSN super market Kwa kununua hisa na kumiliki share ndani ya makampuni hayo.
3: Azania Bank:
Wamewekeza hisa nyingi pia kwenye hii bank ya Azania amabayo ilikua kwa kazi ndani ya utawala wa awamu ya 4
4: GAPCO+ LAKE OIL
Ni wawekezaji pia kwenye suala la mafuta kwa kuwa na hisa au umiliki wa moja kwa moja
5: TURAWAKA GOLD MINE:
Wawekezaji ndani ya mgodi wa Turawaka walifanikisha kuwafukuza wananchi katika mgodi uo na kujenga uzio .
6: Mgodi wa Tanzanite Arusha :
Pia wamewekeza kwenye mgodi huu baada ya mikataba ya Makaburu kuisha .
7: ndio wamiliki wa UDA pia ambayo pia ni Kampuni yenye utata wa umiliki wake kwenye hisa zake.
8 : Baadhi ya makampuni ya clearing na forwarding hapo bandarini.
9 : Ndio walishinda ujenzi wa soko la kisasa kule Mwanza (Rock city shopping Mail) kupitia uchochoro wa wachina na kukwapua mamilioni .
10: Ndio wamiliki wa makampuni ya kufanya usafi kwenye halimashauri nyingi nchini karibu kwa asilimia 75% hawa ndio upewa tenda..
Pamoja na kwamba umiliki unabadilika badilika kiasi lakini mtandao ndio ule ule unaomiliki Simba Trust wanacho kifanya ni kuwatumia watu kufanikisha mambo yao hasa watu wenye asili ya Asia .
Hata ukiangalia kwenye list ya pesa za escrow account zilizogawiwa pale Stanibic bank list ya watu hao ilikuwepo .
Nimetoa kwa ufupi kuepuka kutaja majina kwa sababu za kisheria lakini mkifatilia kwa makini mtagundua ni wakina Nani wapo nyuma ya hii michezo yote inayoendelea...
Hao ndio wanachukua milioni yetu 400 kila siku pale Tanesco.
Nashauri Rais magufuli angeanza na hawa ,
hawa ndio mafisadi ambao wanatakiwa kwenda kwenye mahakama ya mafisadi.
Mungu ibaliki Tanzania.....
Fafanua zaidiHapo kwenye 1-10 fisadi Lowasa anaingia zaidi ya mara 5, haumtoi kwenye hiyo orodha!
Wewe ndiye umemtaja Mimi sijasema kituMleta mada ni mnafiki sana. Nyie mnatumia hisia badala ya kuweka documents. Sasa mnamsakama JK wakati huo huo mnasema alikuwa rais bora, so which is which?? Mwacheni JK apumzike!
Hawawezi tia mguu zaidi wakija ni kulia lia na kuomba pooosubiri wenye lumumba yao watakuja hapa kusema Lowassa nae yumo kwenye hiyo Simba Trust.
Wanaendesha matukio ya "hisani" ili kuhalalisha kazi zaoAmbaye hajakuelewa hata siku ya kiama ikifika hataelewa, na hata Yesu akirudi wala hataelewa!
Outwardly hawa watu wanajitahidi kujionyesha kwamba ni watu wazuri lakini kiukweli huenda ni watu wabaya sana na ni muda utatupa ukweli huu! Zamani niliamini eti wezi ni watu 'wanaokunja' sura kumbe 'charming faces' ni wabaya zaidi aisee!
Hao ndio wanalipwa milioni 400 kila siku .....Ufisadi hapo uko wapi au kuwa na share kwenye kampuni flani ni ufisadi? Acheni akili ya kimaskini
Kuna mahala mtoa mada ametaja jina la JK??Mleta mada ni mnafiki sana. Nyie mnatumia hisia badala ya kuweka documents. Sasa mnamsakama JK wakati huo huo mnasema alikuwa rais bora, so which is which?? Mwacheni JK apumzike!
tatizo vilazer hii nchi wengi sana,hili suala la simba trust halina tofauti na suala la magari ya washawasha,shida ya jipu uchungu likiwa usoni, kila mtu ataliona, kulitumbua huliminyi vya kutosha kulimaliza usaa shida yake litajirudia tena na tena.
kwani mkuu umeona document hata moja hapo?Ufisadi hapo uko wapi au kuwa na share kwenye kampuni flani ni ufisadi? Acheni akili ya kimaskini
Lete ushaidi wako sasa kama huna kakojoe ulaleWe muongo sana.Kuna baadhi ya vitu navifahamu humo vyote umeongopa.Acha utoto
Haaaah wewe acha wewe tulia usiwe na jaziba .....Kuna mambo mengine ni machungu kama pakanga au sifongo, au nyongo tena ya mamba, hivi Mh JPM akiwa DUTETE KWA MIEZI MIWILI TU, itakuwaje? Kuna watu wanatakiwa wapigwe risasi iwe lawama lakini wafe, haiingii akilini hata kidogo wachache wale keki ya taifa wengine washindie shubiri!!!!!!!!!!!****""':;#@@$%&????. MZEE Mh JPM fumba macho acha wakulaumu Bali utakuwa una sehemu mkono wa kuume wa MUNGU BABA.