Huu ndio mtandao unaoimiliki Simba Trust!!

Huu ndio mtandao unaoimiliki Simba Trust!!

Hiyo familia ni MAFISADI wakubwa

Kule Arusha Mererani wamesababisha hali kuwa ngumu haswaa.
 
JAKAYA KIKWETE, SALMA KIKWETE, Na watoto wao ndio wamiliki wa SIMBA TRUST,

Kwenye Orodha ya wakwapuaji wa Pesa za Escrow Mama Salma anaonekana kuchota pesa.

TSN Supermarket Mama Salma ameonekana.

Jengo la ROCKY CITY MALL -Mama Salma alimwambia Mkuu wa Mkoa Magesa Mlongo kuwa ahakikishe anamtengea Vizimba vyake humo Jengoni-Na ni kweli TSN Ilipewa Vizimba kadhaa

Halotel- Familia ya JK. ina Hisa humo ndani.

Haya IPTL/PAP =JK. Family...

Yaan Urais wa JK. Kwa miaka Kumi ulikuwa ni wa kupiga deal na mke wake pamoja na familia yake na watu wake wa karibu.
Nakumbuka enzi zile Mama Siti alivyopata shida baada Mzee Rukhusa kustaafu ! wabongo noumaa sana.
 
Police wachunguze mtandao wa simba trust ili kukamata wauza unga.....
 
Wazee wa kujenga jengo la BAKWATA...Wazee wa kupitia Mgongo wa RC Dsm na kulipa Madaktari ili kutoa huduma za Afya bureee Mnazi Mmoja!!Yaani badala ya kuboresha huduma za Hospital,wao wanatengeneza "Bonanza la Kupima Afya za Watu"....

Ndio walewale Wazee wa Reflectors...Waliowakusanya Bodaboda wa Dsm Leaders Club na kuwagawia majaketi ya kuakisi mwanga.Hao ndio walifadhili mechi ya Wabunge wa SIMBA vs YANGA siku ya Jumapili.
Wanafanya huduma za kibinadamu kwa kuwalipa madaktari na kuhudumia kufanyia upasuaji watoto wenye vichwa vikubwa Dsm na Jimbo la Chalinze.

Jamaa ndio "Tigo Pesa na M-Pesa" ya Wabongo wanaofanya biashara China na Tz...Ukienda tu pale Kkoo unawapa madafu wao wanaituma ndani ya dakika moja imefika Uchina kwa njia ya simu.Ndio walioboresha ofisi ya RC Dsm kwa kuweka ndani samani mpyaaaaa na Apple Computer juu ya meza.

Hawagusiki...Kama unataka kurudi kwenu Geita uache jumba jeupe...Basi gusa "mtandao wa Simba Trust"....
Ha ha ha mkuu , Aya ya mwisho umeniacha hoi sana
 
Come back please! You are not active any more in jamii forum! Where are you?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyu jamaa ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja. Sijui kapotelea wapi ila kama nakumbuka vizuri alianza kuonyesha hofu ya kuchangia humu. I hope huko alipo yuko salama salmini.

Come back please! You are not active any more in jamii forum! Where are you?
 
Mleta mada ni mnafiki sana. Nyie mnatumia hisia badala ya kuweka documents. Sasa mnamsakama JK wakati huo huo mnasema alikuwa rais bora, so which is which?? Mwacheni JK apumzike!
Tuoneshee wapi kamtaja jk ndugu
 
Tutasikia mengi mwaka huu
Nchi hii ilishaoza,ndio maana kuna watu hawataki kuachia madaraka,ili waweze kujilinda na uovu wao wote
 
Back
Top Bottom