Huu ndio mtandao unaoimiliki Simba Trust!!

Kwa maslahi ya Taifa......

Maswali ni mengi lakini sitakuwa na haja ya Kuwataja hatharani ..

Nipende kuwapa mwanga tu mpate japo kujiridhisha na kufuatilia ni nani hasa mmiliki wa Simba Trust.

Wamiliki wa Simba trust sio kwamba ni wamiliki tu wa hiyo no wako na mtandao mkubwa wa either kumiliki au kuwa na hisa katika makampuni yafuatayo.

1: Precision Air:
Hao hao wamiliki wa Simba trust na genge lao wanaonekana kuwa na hisa ndani ya kampuni hii ya ndege.

2: TSN + GSM :
Ndio pia wamiliki wa makampuni yote ikiwemo TSN super market Kwa kununua hisa na kumiliki share ndani ya makampuni hayo.

3: Azania Bank:
Wamewekeza hisa nyingi pia kwenye hii bank ya Azania amabayo ilikua kwa kasi ndani ya utawala wa awamu ya 4

4: GAPCO+ LAKE OIL
Ni wawekezaji pia kwenye suala la mafuta kwa kuwa na hisa au umiliki wa moja kwa moja

5: TULAWAKA GOLD MINE:
Wawekezaji ndani ya mgodi wa Tulawaka walifanikisha kuwafukuza wananchi katika mgodi uo na kujenga uzio .

6: Mgodi wa Tanzanite Arusha :
Pia wamewekeza kwenye mgodi huu baada ya mikataba ya Makaburu kuisha .

7: Ndio wamiliki wa UDA pia ambayo pia ni Kampuni yenye utata wa umiliki wake kwenye hisa zake.

8 : Baadhi ya makampuni ya clearing na forwarding hapo bandarini.

9 : Ndio walishinda zabuni ya ujenzi wa soko la kisasa kule Mwanza (Rock city shopping Mail) kupitia uchochoro wa wachina na kukwapua mamilioni .

10: Ndio wamiliki wa makampuni ya kufanya usafi kwenye halmashauri nyingi nchini karibu kwa asilimia 75% hawa ndio upewa tenda.

Wanausishwa pia na hisa kwenye kiwanda cha Dangote cha cement kilichojengwa mtwara.

Pia ni wawekezaji kwenye shirika letu la nyuma NHC kama mnakumbuka shirika la Nyumba la taifa limekuwa likikopa pesa kwa ajiri ya kujenga Nyumba hasa miradi ya Dodoma kuna mkono wa hawa jamaa.

Pamoja na kwamba umiliki unabadilika badilika kiasi lakini mtandao ndio ule ule unaomiliki Simba Trust. Wanacho kifanya ni kuwatumia watu kufanikisha mambo yao hasa watu wenye asili ya Asia .

Hata ukiangalia kwenye list ya pesa za escrow account zilizogawiwa pale Stanibic bank list ya watu hao ilikuwepo .

Nimetoa kwa ufupi kuepuka kutaja majina kwa sababu za kisheria lakini mkifuatilia kwa makini mtagundua ni wakina Nani wapo nyuma ya hii michezo yote inayoendelea...

Hao ndio wanachukua milioni yetu 400 kila siku pale Tanesco.

Nashauri Rais Magufuli angeanza na hawa , hawa ndio mafisadi ambao wanatakiwa kwenda kwenye mahakama ya mafisadi.

Mungu ibaliki Tanzania...
Hiki kikombe mnikulu hata kubali kukinywa
 
JAKAYA KIKWETE, SALMA KIKWETE, Na watoto wao ndio wamiliki wa SIMBA TRUST,

Kwenye Orodha ya wakwapuaji wa Pesa za Escrow Mama Salma anaonekana kuchota pesa.

TSN Supermarket Mama Salma ameonekana.

Jengo la ROCKY CITY MALL -Mama Salma alimwambia Mkuu wa Mkoa Magesa Mlongo kuwa ahakikishe anamtengea Vizimba vyake humo Jengoni-Na ni kweli TSN Ilipewa Vizimba kadhaa

Halotel- Familia ya JK. ina Hisa humo ndani.

Haya IPTL/PAP =JK. Family...

Yaan Urais wa JK. Kwa miaka Kumi ulikuwa ni wa kupiga deal na mke wake pamoja na familia yake na watu wake wa karibu.

Na ndiye anapinga watoto wa kike waliopata mimba wasirudi shuleni. Na ndiye ameteuliwa bungeni. Mali zote hizi ni kama wataishi milele na milele. Maisha y binaadamu ni mafupi sana, kujirunfikia mali Wakati wengine wanaadhirika huku unajiita wewe mcha Mungu ni vibay sana. MUNGU halali atatiwa adhabu hapa hapa duniani,
 
M
Na ndiye anapinga watoto wa kike waliopata mimba wasirudi shuleni. Na ndiye ameteuliwa bungeni. Mali zote hizi ni kama wataishi milele na milele. Maisha y binaadamu ni mafupi sana, kujirunfikia mali Wakati wengine wanaadhirika huku unajiita wewe mcha Mungu ni vibay sana. MUNGU halali atatiwa adhabu hapa hapa duniani
Mungu anawaona
 
Amen Mkuu. Magu hana pumzi ya aina hiyo. Hawa atasema wasiguswe, waachwe wapumzike. Wameitumikia nchi kwa uaminifu. Tehe tehe teh...
 
Rais Magufuli unayasikia haya? Tunajuwa unafahamu kila kitu kwa nini mnamuonea haibu Kikwete na kukamata watu wadogo? Ulisema leo hii kuwa mwizi ni mwizi tu hata iweje....kwa nini Kikwete na familia yake wako huru? Unatuhuzunisha watanzania. Huyu Kikwete hata akikamatwa na kunyongwa Mungu hatokuhukumu kwa sababu alikuwa mwizi wa taifa na hana faida kwetu. Tunamtaka mahakamani yeye na Mkapa pamoja na viongozi wengine wote.
 
Kwa maslahi ya Taifa......

Maswali ni mengi lakini sitakuwa na haja ya Kuwataja hatharani ..

Nipende kuwapa mwanga tu mpate japo kujiridhisha na kufuatilia ni nani hasa mmiliki wa Simba Trust.

Wamiliki wa Simba trust sio kwamba ni wamiliki tu wa hiyo no wako na mtandao mkubwa wa either kumiliki au kuwa na hisa katika makampuni yafuatayo.

1: Precision Air:
Hao hao wamiliki wa Simba trust na genge lao wanaonekana kuwa na hisa ndani ya kampuni hii ya ndege.

2: TSN + GSM :
Ndio pia wamiliki wa makampuni yote ikiwemo TSN super market Kwa kununua hisa na kumiliki share ndani ya makampuni hayo.

3: Azania Bank:
Wamewekeza hisa nyingi pia kwenye hii bank ya Azania amabayo ilikua kwa kasi ndani ya utawala wa awamu ya 4

4: GAPCO+ LAKE OIL
Ni wawekezaji pia kwenye suala la mafuta kwa kuwa na hisa au umiliki wa moja kwa moja

5: TULAWAKA GOLD MINE:
Wawekezaji ndani ya mgodi wa Tulawaka walifanikisha kuwafukuza wananchi katika mgodi uo na kujenga uzio .

6: Mgodi wa Tanzanite Arusha :
Pia wamewekeza kwenye mgodi huu baada ya mikataba ya Makaburu kuisha .

7: Ndio wamiliki wa UDA pia ambayo pia ni Kampuni yenye utata wa umiliki wake kwenye hisa zake.

8 : Baadhi ya makampuni ya clearing na forwarding hapo bandarini.

9 : Ndio walishinda zabuni ya ujenzi wa soko la kisasa kule Mwanza (Rock city shopping Mail) kupitia uchochoro wa wachina na kukwapua mamilioni .

10: Ndio wamiliki wa makampuni ya kufanya usafi kwenye halmashauri nyingi nchini karibu kwa asilimia 75% hawa ndio upewa tenda.

Wanausishwa pia na hisa kwenye kiwanda cha Dangote cha cement kilichojengwa mtwara.

Pia ni wawekezaji kwenye shirika letu la nyuma NHC kama mnakumbuka shirika la Nyumba la taifa limekuwa likikopa pesa kwa ajiri ya kujenga Nyumba hasa miradi ya Dodoma kuna mkono wa hawa jamaa.

Pamoja na kwamba umiliki unabadilika badilika kiasi lakini mtandao ndio ule ule unaomiliki Simba Trust. Wanacho kifanya ni kuwatumia watu kufanikisha mambo yao hasa watu wenye asili ya Asia .

Hata ukiangalia kwenye list ya pesa za escrow account zilizogawiwa pale Stanibic bank list ya watu hao ilikuwepo .

Nimetoa kwa ufupi kuepuka kutaja majina kwa sababu za kisheria lakini mkifuatilia kwa makini mtagundua ni wakina Nani wapo nyuma ya hii michezo yote inayoendelea...

Hao ndio wanachukua milioni yetu 400 kila siku pale Tanesco.

Nashauri Rais Magufuli angeanza na hawa , hawa ndio mafisadi ambao wanatakiwa kwenda kwenye mahakama ya mafisadi.

Mungu ibaliki Tanzania...
Wekeza na urithi kwa ndugu zako wasijepata shida jamaa wakikutungha
 
Too general bila fact. Story za wauza vitumbua. Bado hujataja mmiliki wa simba trust
 
Determination yote ya Mgfl ilipofikia kwa hawa jamaa, kaishiwa nguvu na kuamua kudeclare kuwalinda na kupiga ban hata kuwatajataja. Hii inaonekana ni mtandao hatari unaotishia hata uadilifu wa mkuu wa nchi.
 
Nipende kuwapa mwanga tu mpate japo kujiridhisha na kufuatilia ni nani hasa mmiliki wa Simba Trust.

Wamiliki wa Simba trust Taasisi iliotajwa kubeba nusu ya mgao kwenye pesa za umma zilizoibwa kwenye akaunti ya Escrow sio kwamba ni wamiliki tu, wako na mtandao mkubwa wa either kumiliki au kuwa na hisa katika makampuni yafuatayo.

1: Precision Air:
Hao hao wamiliki wa Simba trust na genge lao wanaonekana kuwa na hisa ndani ya kampuni hii ya ndege.

2: TSN + GSM :
Ndio pia wamiliki wa makampuni yote ikiwemo TSN super market Kwa kununua hisa na kumiliki share ndani ya makampuni hayo.

3: Azania Bank:
Wamewekeza hisa nyingi pia kwenye hii bank ya Azania amabayo ilikua kwa kasi ndani ya utawala wa awamu ya 4

4: GAPCO+ LAKE OIL
Ni wawekezaji pia kwenye suala la mafuta kwa kuwa na hisa au umiliki wa moja kwa moja

5: TULAWAKA GOLD MINE:
Wawekezaji ndani ya mgodi wa Tulawaka walifanikisha kuwafukuza wananchi katika mgodi uo na kujenga uzio .

6: Mgodi wa Tanzanite Arusha :
Pia wamewekeza kwenye mgodi huu baada ya mikataba ya Makaburu kuisha .

7: Ndio wamiliki wa UDA pia ambayo pia ni Kampuni yenye utata wa umiliki wake kwenye hisa zake.

8 : Baadhi ya makampuni ya clearing na forwarding hapo bandarini.

9 : Ndio walishinda zabuni ya ujenzi wa soko la kisasa kule Mwanza (Rock city shopping Mail) kupitia uchochoro wa wachina na kukwapua mamilioni .

10: Ndio wamiliki wa makampuni ya kufanya usafi kwenye halmashauri nyingi nchini karibu kwa asilimia 75% hawa ndio upewa tenda.

Wanahusishwa pia na hisa kwenye kiwanda cha Dangote cha cement kilichojengwa mtwara.

Pia ni wawekezaji kwenye shirika letu la nyuma NHC kama mnakumbuka shirika la Nyumba la taifa limekuwa likikopa pesa kwa ajiri ya kujenga Nyumba hasa miradi ya Dodoma kuna mkono wa hawa jamaa.

Pamoja na kwamba umiliki unabadilika badilika kiasi lakini mtandao ndio ule ule unaomiliki Simba Trust.

Wanacho kifanya ni kuwatumia watu kufanikisha mambo yao hasa watu wenye asili ya Asia .

Hata ukiangalia kwenye list ya pesa za escrow account zilizogawiwa pale Stanibic bank list ya watu hao ilikuwepo .

Nimetoa kwa ufupi kuepuka kutaja majina kwa sababu za kisheria lakini mkifuatilia kwa makini mtagundua ni wakina Nani wapo nyuma ya hii michezo yote inayoendelea...

Hao ndio wanachukua milioni zetu 400 kila siku pale Tanesco.

Wanao zungumzwa hapo nao hawatofautiani na Mzee Wa Vijisenti Kila Mahala wapo! Ukitaja Lugumi wapo
 
Kwa maslahi ya Taifa......

Maswali ni mengi lakini sitakuwa na haja ya Kuwataja hatharani ..

Nipende kuwapa mwanga tu mpate japo kujiridhisha na kufuatilia ni nani hasa mmiliki wa Simba Trust.

Wamiliki wa Simba trust sio kwamba ni wamiliki tu wa hiyo no wako na mtandao mkubwa wa either kumiliki au kuwa na hisa katika makampuni yafuatayo.

1: Precision Air:
Hao hao wamiliki wa Simba trust na genge lao wanaonekana kuwa na hisa ndani ya kampuni hii ya ndege.

2: TSN + GSM :
Ndio pia wamiliki wa makampuni yote ikiwemo TSN super market Kwa kununua hisa na kumiliki share ndani ya makampuni hayo.

3: Azania Bank:
Wamewekeza hisa nyingi pia kwenye hii bank ya Azania amabayo ilikua kwa kasi ndani ya utawala wa awamu ya 4

4: GAPCO+ LAKE OIL
Ni wawekezaji pia kwenye suala la mafuta kwa kuwa na hisa au umiliki wa moja kwa moja

5: TULAWAKA GOLD MINE:
Wawekezaji ndani ya mgodi wa Tulawaka walifanikisha kuwafukuza wananchi katika mgodi uo na kujenga uzio .

6: Mgodi wa Tanzanite Arusha :
Pia wamewekeza kwenye mgodi huu baada ya mikataba ya Makaburu kuisha .

7: Ndio wamiliki wa UDA pia ambayo pia ni Kampuni yenye utata wa umiliki wake kwenye hisa zake.

8 : Baadhi ya makampuni ya clearing na forwarding hapo bandarini.

9 : Ndio walishinda zabuni ya ujenzi wa soko la kisasa kule Mwanza (Rock city shopping Mail) kupitia uchochoro wa wachina na kukwapua mamilioni .

10: Ndio wamiliki wa makampuni ya kufanya usafi kwenye halmashauri nyingi nchini karibu kwa asilimia 75% hawa ndio upewa tenda.

Wanausishwa pia na hisa kwenye kiwanda cha Dangote cha cement kilichojengwa mtwara.

Pia ni wawekezaji kwenye shirika letu la nyuma NHC kama mnakumbuka shirika la Nyumba la taifa limekuwa likikopa pesa kwa ajiri ya kujenga Nyumba hasa miradi ya Dodoma kuna mkono wa hawa jamaa.

Pamoja na kwamba umiliki unabadilika badilika kiasi lakini mtandao ndio ule ule unaomiliki Simba Trust. Wanacho kifanya ni kuwatumia watu kufanikisha mambo yao hasa watu wenye asili ya Asia .

Hata ukiangalia kwenye list ya pesa za escrow account zilizogawiwa pale Stanibic bank list ya watu hao ilikuwepo .

Nimetoa kwa ufupi kuepuka kutaja majina kwa sababu za kisheria lakini mkifuatilia kwa makini mtagundua ni wakina Nani wapo nyuma ya hii michezo yote inayoendelea...

Hao ndio wanachukua milioni yetu 400 kila siku pale Tanesco.

Nashauri Rais Magufuli angeanza na hawa , hawa ndio mafisadi ambao wanatakiwa kwenda kwenye mahakama ya mafisadi.

Mungu ibaliki Tanzania...

Source please
 
Back
Top Bottom