Umemaliza.....kazi yake nzuri ila hayo ndo malalamiko huku mtaaniKiongozi ni wanyonge wapi anaowatetea? Amewanyima watoto wao ajira, amekataa kuwapandisha vyeo /madaraja, hakuna nyongeza ya mishahara huku mfumuko wa bei ukiwa juu. Hospitalini hakuna tiba, elimu imedorora. Maskini wapi anaowatetea ?
unatetea nini?Mbona sijaona ushahidi wa haya maelezo yote humu?nahisi harufu ya chuki+wivu wa kisichana.
hili swali uni pm jibuSimba trust ni nini na inajihusisha na biashara gani?
Acha Uongo Wewe Hata kuongopa hujui?sometimes muogopeni na mungu unapata faida gani kutunga Ngojera hii?Ndio maana JF inaiitwa Great thinker Jaribu kuwa kwenye Mstari usipotoshe umaa na Ulicho comment 99%Uongo na uzushiJAKAYA KIKWETE, SALMA KIKWETE, Na watoto wao ndio wamiliki wa SIMBA TRUST,
Kwenye Orodha ya wakwapuaji wa Pesa za Escrow Mama Salma anaonekana kuchota pesa.
TSN Supermarket Mama Salma ameonekana.
Jengo la ROCKY CITY MALL -Mama Salma alimwambia Mkuu wa Mkoa Magesa Mlongo kuwa ahakikishe anamtengea Vizimba vyake humo Jengoni-Na ni kweli TSN Ilipewa Vizimba kadhaa
Halotel- Familia ya JK. ina Hisa humo ndani.
Haya IPTL/PAP =JK. Family...
Yaan Urais wa JK. Kwa miaka Kumi ulikuwa ni wa kupiga deal na mke wake pamoja na familia yake na watu wake wa karibu.

Nchi hii inaliwa badala ya kudhibiti walaji tunadhibiti wanaowafichua walaji