Huu ndio mtandao unaoimiliki Simba Trust!!

Huu ndio mtandao unaoimiliki Simba Trust!!

Muulize mkuu wa kaya maana ni karibu na kwao huko bukombe .......
Kwanza hakuna mgodi unao itwa Trawaka.
Hapo kabla palikua na mgodi wa Tulawaka ambo ulizungushiwa ukuta kwaajili ya usalama.
Kwasasa mgodi huo unamilikiwa na serikali kwa asilimia mia moja, Chini ya usimamizi wa meneja mkuu Ndugu Denis Sebugwao na unaitwa StamiGold
 
Alafu eti tunaambiwa kapatikani mtu fulani anaechukia ufisadi!Kuna ufisadi zaidi ya huu?Pamoja na tuhuma zote hizi bado anasema nitawalinda na nyie mnaamini mmepata mtu aliejitoa mhanga kupingana na ufisadi?Je ,si kajitoa mhanga kulinda mafisadi mapapa?
Mkuu unawafahamu? Lini alisema atawalinda?
 
Nadhani kama kuna ushauri, msaidieni rais kupambana na hawa watu. Tatizo wengi tumeshaamini huo ni umwamba na hata tunavyoandika ni kama tunawasifia watu wa aina hii kwamba hawagusiki. Hatuonyeshi hasira zetu juu ya aina hiyo ya upuuzi na badala yake ni kama tunamzomea rais aliyeko madarakani, wakati tukielewa yote hayo yametengenezwa wakati wa utawala uliopita.
Rais asaidiwe ila na yeye afanye utafiti maana ana kila aina ya Rasilimali
 
JAKAYA KIKWETE, SALMA KIKWETE, Na watoto wao ndio wamiliki wa SIMBA TRUST,

Kwenye Orodha ya wakwapuaji wa Pesa za Escrow Mama Salma anaonekana kuchota pesa.

TSN Supermarket Mama Salma ameonekana.

Jengo la ROCKY CITY MALL -Mama Salma alimwambia Mkuu wa Mkoa Magesa Mlongo kuwa ahakikishe anamtengea Vizimba vyake humo Jengoni-Na ni kweli TSN Ilipewa Vizimba kadhaa

Halotel- Familia ya JK. ina Hisa humo ndani.

Haya IPTL/PAP =JK. Family...

Yaan Urais wa JK. Kwa miaka Kumi ulikuwa ni wa kupiga deal na mke wake pamoja na familia yake na watu wake wa karibu.
Noted
 
Nchi hii inaliwa badala ya kudhibiti walaji tunadhibiti wanaowafichua walaji
 
We muongo sana.Kuna baadhi ya vitu navifahamu humo vyote umeongopa.Acha utoto
Huo mtandao ndio umemponza msajili wa Hazina, Mr. Lawrence Mafuru .
Amebakia RC Makonda nae asombwe!!
Hiki kitu kila m^Tz ana fahamu ila tunakoswa tu mwanzilishi wa kuwafumua!!
 
aiise unaweza kukuta hata baadhi ya viongozi wanamilikiwa na hawa jamaa labda,,
 
Fisadi namba moja ni yule alietajwa na slaa mwembe yanga,lakini pia alitajwa na lema,msigwa bila kumsahau dogo mnyika hapa ushahidi upo wazi kupitia watu hao,ila we mleta mada hakuna ushahidi wa ulichosema hapa,zaidi naona unafki tu.
Watu wengine akili zao ni kama za chura. Anaweza rukia hata motoni. Mada ni nyingine yy anaongea utumbo mwingine!!
 
Back
Top Bottom