Huu ndio msosi wa bachela

Mwifwa ugali mwingi kuliko kitoweo na kitoweo mafuta ya kumwaga! Punguza wanga na mafuta sio rafiki kwa afya. 😐
 
Huu Uzi kila mtu ana plate yake ya ubwabwa nini.
Mbona comments 600+ na uzi una masaa mawili tuu.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ngoja nifuatilie.
 
Natafuta vijana wakakamavu watakafuata nyayo za mimi Mandela wa michepuko... nataka niwape semina elekezi ya namna ya kuifanya hii kazi bila kufumaniwa, kushtukiwa wala kuvunja mioyo ya viburudisho pendwa kitandani
Utatuharibia hiki kizazi babuu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi huwa narudisha mtungi ukiwa safi kabisa, kuna wapo huwa hawasafishia wakitaka kwenda kubadili.

Nilibadilishaga mtungi ulikuwa umechoka sana, umebabuka kwa kutu kutokana na uchafu kugandiana
Wewe mstaarabu wengine duuuh.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unakuta mtungi una kutu hatari
Halafu sasa ndio uende kununua gesi ukute misafi imeisha. [emoji23][emoji23][emoji23]unawaza ukichukua huo mchafu utauweka wapi usiaibike.
 
Oooooow!!!!
Jamanii simshangai tena mtu nikimuona anatembea na mbabu.
Kama mambo yenyewe ndio hayaaaa. Basi ewaaaaaaaaah nakuja pm
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]samaki ni changamoto.
Hapo hajaanza kupasuka macho tsuuu tsuuuuu[emoji23][emoji23]hata mimi huwa nakaa mbali.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…