Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,389
Injinia anakumbuka irrelevant issues aaaaahHahahahah Heaven Sent amesema akiona ule uzi anamkumbuka fundi maiko.
Haki umemfundisha utukutu dota wako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha cha kufia nini??Bachelor unakaangaje samaki? Unanunua washakaangwa na mafuta ya transfoma
Hahahahahhahaa tumesahau hadi kupika.Weekend na Chit-Chat
Mama usiwe mkali Mimi na Wewe tumetoka mbaliWe si umemuita mkeo?
Sitaki, yangu nitumie tu.
Na sijamaliza kitabu,Kweli hayo majina uliyoniita hapo nimedhibitisha wewe ni mzee kijana.
Maana hata vijana hawaiti majina matamu mamna hii.
Sijui wanakwama wapi?
Ndiyo karma sasa mbona yupo hapaHuyu mtata sana
Weee usiniambieHuyu mtata sana
Utalitumia hata kwa kazi hii[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1213112
Ndiyo ww una kauli tata Sana mbishi Kama nyama ya gotiWeee usiniambie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi mshambuliaji kocha Saint anne alishatupanga kabisa
Injinia anakumbuka irrelevant issues aaaaah
Dah...msosi bab kubwa. Hapo uweke kitu dona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani umenikumbusha kuna clip moja niliiona wanaume kama watano hivi wako jikoni mafuta yamechemka mmoja ndiyo kashikilia bakuli lenye samaki wengine wako nyuma yake wanasubiri atumbukize alivyotumbukiza tu wote wakatoka nduki wakaanza kugombania mlango wapite wote hadi mmoja akaanguka yaani utafikiri ni bomu sijui linataka kulipuka kumbe wanakimbia mafuta tu[emoji1787][emoji1787]Akirudi mmoja ameiva, anatumbukiza wa pili anatoka tena nduki... Yule aliyekuwa ameivaa anaaza kuungua huku wa pili aliyemtumbukiza ameivaa, akirudi anatia watatu.... Nk
Mama usiwe mkali Mimi na Wewe tumetoka mbali
Siwez kukuacha kirahisi hivo hata sikumoja
Wazo la Mimi kuachana na Wewe lifute kabsaa kwenye akili yako
Zawad yako ipo nataka tuonane nikupe
My dear
Huyo mke wangu we achana nae
Kukaanga samaki shughuli kweli kweli! Shombo, mafuta yanaruka hovyo yaani tafran[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani umenikumbusha kuna clip moja niliiona wanaume kama watano hivi wako jikoni mafuta yamechemka mmoja ndiyo kashikilia bakuli lenye samaki wengine wako nyuma yake wanasubiri atumbukize alivyotumbukiza tu wote wakatoka nduki wakaanza kugombania mlango wapite wote hadi mmoja akaanguka yaani utafikiri ni bomu sijui linataka kulipuka kumbe wanakimbia mafuta tu[emoji1787][emoji1787]