Hahahahahhahahahahahahhahaha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule atatutafutia kesi tu.
Haki nikiboreka naenda kwenye ule uzi kusoma kidogo najikuta nagundua vitu nachekaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahhahahahahahahhahaha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule atatutafutia kesi tu.
Najitahidi sana
Sio kopo la chumvi kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui tunakwama wapi jamani.Eti tunastahili kubaya tu[emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli huu ni ubwabwa.
Inaonekana u msafi, hujachafua jiko kama @mwifwa
Amejibuje hapa???Usiniambie shetani alikuzidi nguvu!!
Hahahahahahahah ukamlishe mboga alale sio?
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Yes i will
Menyu ya watu 2 mkuuNasubiri anijibu ni wa leo na kesho au wako wawili?
So will you marry me?
Unanipenda na kunionea huruma hauwezi kunikoromea.Subiri sasa wakati wa darasa ndio utaelewa.
Dona hiyo mkuu ila picha imeonekana nyeupe sanaKula Dona baharia sembe waachie watoto wa kishua
Hana tofauti na rafiki yake S..Acha kabisa, nikajiona mmiliki kumbe tuko wamiliki kama wote[emoji134]
Nyie ni tujinga sana 😅😅Sio kopo la chumvi kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
baharia uwa hapiki mkuuWali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!
Karibuni tuleView attachment 1212957
[emoji85][emoji85][emoji85] halafu mimi pia ndio tabia yangu sema kule juu niliona aibu kusemaKwa hiyo umepika ya kula wiki nzima kama pacha wako.?