Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
Kwahyo mkeo mliachana embu lete Story kamili
Mbona umemnyima vyeo vyake?UMRI WAKO NA MAMBO UNAYOLETA HUMU NDANI HAVIENDANI KABISA...
Mara umebakwa
Mara mkeo anakuhujumu
Mara wewe ni mwanahiphop
Sawa mkuu nimekaa seat ya mbele nasubiri wachangiaji
Kwahyo mkeo mliachana embu lete Story kamili
Pole sana mkuu Deo Nalimi Kisandu
Ule uzi Wa kumfukuza kazi mods waurejeshe..he's boring!UMRI WAKO NA MAMBO UNAYOLETA HUMU NDANI HAVIENDANI KABISA...
Mara umebakwa
Mara mkeo anakuhujumu
Mara wewe ni mwanahiphop
hhh amebakwa tena?UMRI WAKO NA MAMBO UNAYOLETA HUMU NDANI HAVIENDANI KABISA...
Mara umebakwa
Mara mkeo anakuhujumu
Mara wewe ni mwanahiphop
Na huyu ungemsamehe pia na kuendelea kuishi naye kama kawaida. Deo akili zako unazijua mwenyewe.Ni mke wa MTU kwasasa Mkuu.
Na huyu ungemsamehe pia na kuendelea kuishi naye kama kawaida. Deo akili zako unazijua mwenyewe.