Daktari wa Manchester
JF-Expert Member
- Jun 1, 2020
- 350
- 405
Huu mwaka nimejifunza mengi sana pamoja na digital marketing and Facebook advertisement
Pia namshukuru Mungu kwa Zawadi ya uhai
Pia namshukuru Mungu kwa Zawadi ya uhai
Uchumba Sugu hatimaye ndoa
Asante brotherhahaha hongera sana
Anahonga vifaru hadimuKwanza uhai..pili nimeoa tatu najua mwenyewe.
Kinachozidi kunipa huzuni..ni uwepo wa chama chakavu madarakani chini ya rais mwenye jinsi ya kike.
#MaendeleoHayanaChama
Jamii forum kwa waliopo Mungu ametupenda na aendelee kutupenda mwisho wa mwaka ndio huo unakatika na sasa inabidi tuulizane kipi umefanya hadi ukikumbuka unafurahia .
TUAMBIZANE
Naomba 10k mkuuNi mwaka pekee nilioweka hela nyingi zaidi kuliko mingine (Savings)


Naomba 10k mkuu![]()
Kisa nimechekaLaiti ungekuwa muhitaji kweli ningekupa ila acha zikae tu
Laiti ungekuwa muhitaji kweli ningekupa ila acha zikae tu
Huzuni sanaNlianza mwaka vizuri mwezi wa 2 nikapigwa na ndgu 10m...ila itamtokea puani