Huu mwaka nini umefanya ukafurahia?

Huu mwaka nini umefanya ukafurahia?

Growing my hairs naturally [emoji4]

Live on my planned budget [emoji6]

Sijawahi kupungukiwa kwenye mahitaji (life expenses) yangu, on this God has been faithful to me and am grateful [emoji56].

Keep my lifestyle, live my own ways without being drained by friends, relatives and society in general.

Peace and Love toward 2022 [emoji178] [emoji8].
Your a strong woman,women of grateful, keep it up.
 
Kaka yangu mkubwa istoshe ni mtu mwenye maisha mazuri...namsomea gape kuna mahali atajaa lazima apate kisukari
acha yapite mambo hayo nimemezea sana kudhulumiwa we acha nimerudisha pesa zote zinweza kuzidi 5mil hii dunia tu yaani unadhulumiwa huku unajiona

mungu analipa hapa hapa
 
Back
Top Bottom