Huu mwaka niajiriwe, nimechoka

Huu mwaka niajiriwe, nimechoka

Salamu ndugu viongozi,
Wachama na WA serikali,
Wakulima Kwa wafugaji,
Wasomi Kwa wasiosoma,
Matajiri Kwaasikini,
Wema Kwa wabaya,
Wakusali na wasio Sali
Nawasalimu Kwa jina la Bwana Mungu jina lipitalo majina yote.

Jamani Kama kusota kitaa nimesota Sana. Kama kazi za shamba nimefanya Sana. Biashara na kazi nje ya nilichokisomea nimefanya Sana. Kujitolea Ili kuongeza uzoefu wa kufundisha nimefanya na naendelea. Kubet nimebet Sana mpaka virtual. Kazi za serikali kupitia ajira portal nimeomba na kuhudhuria saili nyingi Sana mpaka nyingine nimeishia oral!

Sasa imefika wakati wangu wa kuajiriwa. Huu mwaka mama naomba aupige mwingi niajiriwe hata shule za msingi kikubwa niajiriwe. Yaani Kuna watu wanaajira na wanateuliwa wanachagua tu kwakwenda wakati Mimi hata kesho tangu siioni nimemuonea donge mteuliwa. Mama miaka 8 au 6 bila ajira sio kitu mchezo, tafadhari fanya kitu.

Jamani mwaka huu nitaajiriwa iwe Kwa connection, rushwa, ushirikina, maombi,matambiko, ndondokela etc nitaajiriwa tu. Nimechoka kuwa kitukanio Cha watoto wanaopenda shule. Yaani mtaani mtoto anaependa shule anaambiwa "shule utakuwa wewe Fulani na kusoma kote Hana lolote!" Yaani serikali niwaombe ajira.

Kijiweni siruhusiwi kuchangia mjadala hata wa Simba na yanga maana ukichangia tu utasikia "yaani wewe na usomi wote unashabikia timu...., Au Yaani wewe elimu haijakusaidia kabisa! Yaani maisha haya nimechoka!. Serikali niajirini la sivyo nitaenda kuwa kichaa. Lakini najipanga labda msitangaze ajira za ualimu yaani hata laki tano natoa Kwa mwenye connection nimechoka mimi.
Mungu akupe hitaji lako na akufanye uwe mtu mwema
 
Waheshimuni watu wote, msiwabague kwa elimu zao ndipo mtakapofanikiwa. La saba ni mteja; mwajiriwa ni mteja; ukiwa hivyo ndipo utakapoweza kufanikiwa katika maisha yako. Usijivunie knowledge ya kuhamisha mafaili na kusign report.
Sijawahi kubagua kazi Wala watu, najichanganya Sana na watu wa Kila aina. Lakini suala la kukosa kazi linanipa wakati mgumu Sana.
 
Salamu ndugu viongozi,
Wachama na WA serikali,
Wakulima Kwa wafugaji,
Wasomi Kwa wasiosoma,
Matajiri Kwaasikini,
Wema Kwa wabaya,
Wakusali na wasio Sali
Nawasalimu Kwa jina la Bwana Mungu jina lipitalo majina yote.

Jamani Kama kusota kitaa nimesota Sana. Kama kazi za shamba nimefanya Sana. Biashara na kazi nje ya nilichokisomea nimefanya Sana. Kujitolea Ili kuongeza uzoefu wa kufundisha nimefanya na naendelea. Kubet nimebet Sana mpaka virtual. Kazi za serikali kupitia ajira portal nimeomba na kuhudhuria saili nyingi Sana mpaka nyingine nimeishia oral!

Sasa imefika wakati wangu wa kuajiriwa. Huu mwaka mama naomba aupige mwingi niajiriwe hata shule za msingi kikubwa niajiriwe. Yaani Kuna watu wanaajira na wanateuliwa wanachagua tu kwakwenda wakati Mimi hata kesho tangu siioni nimemuonea donge mteuliwa. Mama miaka 8 au 6 bila ajira sio kitu mchezo, tafadhari fanya kitu.

Jamani mwaka huu nitaajiriwa iwe Kwa connection, rushwa, ushirikina, maombi,matambiko, ndondokela etc nitaajiriwa tu. Nimechoka kuwa kitukanio Cha watoto wanaopenda shule. Yaani mtaani mtoto anaependa shule anaambiwa "shule utakuwa wewe Fulani na kusoma kote Hana lolote!" Yaani serikali niwaombe ajira.

Kijiweni siruhusiwi kuchangia mjadala hata wa Simba na yanga maana ukichangia tu utasikia "yaani wewe na usomi wote unashabikia timu...., Au Yaani wewe elimu haijakusaidia kabisa! Yaani maisha haya nimechoka!. Serikali niajirini la sivyo nitaenda kuwa kichaa. Lakini najipanga labda msitangaze ajira za ualimu yaani hata laki tano natoa Kwa mwenye connection nimechoka mimi.
Pole sana mkuu, naelewa unayopitia.

Kuwa na subira, endelea kupambana, ipo utayasahau haya yote uliyopitia.
 
Waheshimuni watu wote, msiwabague kwa elimu zao ndipo mtakapofanikiwa. La saba ni mteja; mwajiriwa ni mteja; ukiwa hivyo ndipo utakapoweza kufanikiwa katika maisha yako. Usijivunie knowledge ya kuhamisha mafaili na kusign report.
Mkuu jobless tunahofu sana na kesho zetu. Hakuna tunachomiliki. Familia zilitegemea sisi ndio tutawakomboa baada ya kuhitimu lakini mwanga haonekani.

Tumekata tamaa. Hatujui kesho itatuletea fedheha gani. Kila siku tunachekwa na kudharauliwa na darasa la saba.
 
Nakuombea ufanikiwe..
 
Jamaa sijawahi kutumia kilevi chochote hata ulanzi TU. Huwa sivuti sigara, bange n.k, sinywi Pombe yoyote. Niombee class nitafundisha mpaka USiku Kama Kuna prepal hiyo shule
Ndio mana. Anza kunywa pombe utakutana connection nyingi huko
 
Mkuu pole Sana
Mtegemeeni sir God tu katika harakati zako

Vijana wengi usikubali kuwapa A B C zako kuhusu Maisha yako , then kaa mbali na mademu wanawake ao ndo wanaletaga gundu.

Kufanikiwa ni mindset na kukaa mbali na watu wenye negativity hasa wanawake usifanye uzinzi I tell you buda.

If you f**ck bitches
Know that you f*ck ur hustling.
 
Waheshimuni watu wote, msiwabague kwa elimu zao ndipo mtakapofanikiwa. La saba ni mteja; mwajiriwa ni mteja; ukiwa hivyo ndipo utakapoweza kufanikiwa katika maisha yako. Usijivunie knowledge ya kuhamisha mafaili na kusign report.
Hao lasaba ndio wanabagua sana graduate wa bull Sana hasa uswazi
 
Unakuta jamaa amesomea shahada ya Mipango na Usimamizi ila hana hata genge 🤣🤣🤣
 
Mkuu jobless tunahofu sana na kesho zetu. Hakuna tunachomiliki. Familia zilitegemea sisi ndio tutawakomboa baada ya kuhitimu lakini mwanga haonekani.

Tumekata tamaa. Hatujui kesho itatuletea fedheha gani. Kila siku tunachekwa na kudharauliwa na darasa la saba.
Mkuu umesema kweli.ukifikiria kesho yako ni hofu.unajiulza maswal mengi sana kama ntaoa kwel,kaz ntapata kwel,ntawez toka home kwend kujitegemea na familia inaitaji back up yako ila una uwezo ni sad sana.me niliptia ila Mungu alisaidia nimepta pa kujishkza.Sala sana mkuu na tafuta intern/volunter au bzness ndoto akuna magumu yasio na mwisho.
 
Yaani Hali ni hiyo hiyo na matarajio ya waliotupambania mpaka huko yamekufa na wanajilaumu labda wangefuga mbuzi Kwa pesa za kusomeshea.
 
Mkuu umesema kweli.ukifikiria kesho yako ni hofu.unajiulza maswal mengi sana kama ntaoa kwel,kaz ntapata kwel,ntawez toka home kwend kujitegemea na familia inaitaji back up yako ila una uwezo ni sad sana.me niliptia ila Mungu alisaidia nimepta pa kujishkza.Sala sana mkuu na tafuta intern/volunter au bzness ndoto akuna magumu yasio na mwisho.
Ahsante Kwa kututia moyo
 
Mkuu pole Sana
Mtegemeeni sir God tu katika harakati zako

Vijana wengi usikubali kuwapa A B C zako kuhusu Maisha yako , then kaa mbali na mademu wanawake ao ndo wanaletaga gundu.

Kufanikiwa ni mindset na kukaa mbali na watu wenye negativity hasa wanawake usifanye uzinzi I tell you buda.

If you f**ck bitches
Know that you f*ck ur hustling.
Sawa kiongozi nitalifanyia kazi hili
 
Back
Top Bottom