Huu mwaka niajiriwe, nimechoka

Huu mwaka niajiriwe, nimechoka

Mkuu pole Sana
Mtegemeeni sir God tu katika harakati zako

Vijana wengi usikubali kuwapa A B C zako kuhusu Maisha yako , then kaa mbali na mademu wanawake ao ndo wanaletaga gundu.

Kufanikiwa ni mindset na kukaa mbali na watu wenye negativity hasa wanawake usifanye uzinzi I tell you buda.

If you f**ck bitches
Know that you f*ck ur hustling.
Kama Kuna kitu unakijua na hujafunguka vizuri, kuhusu hawa wanawake vipi ni tatizo sana eeh
 
Salamu ndugu viongozi,
Wachama na WA serikali,
Wakulima Kwa wafugaji,
Wasomi Kwa wasiosoma,
Matajiri Kwaasikini,
Wema Kwa wabaya,
Wakusali na wasio Sali
Nawasalimu Kwa jina la Bwana Mungu jina lipitalo majina yote.

Jamani Kama kusota kitaa nimesota Sana. Kama kazi za shamba nimefanya Sana. Biashara na kazi nje ya nilichokisomea nimefanya Sana. Kujitolea Ili kuongeza uzoefu wa kufundisha nimefanya na naendelea. Kubet nimebet Sana mpaka virtual. Kazi za serikali kupitia ajira portal nimeomba na kuhudhuria saili nyingi Sana mpaka nyingine nimeishia oral!

Sasa imefika wakati wangu wa kuajiriwa. Huu mwaka mama naomba aupige mwingi niajiriwe hata shule za msingi kikubwa niajiriwe. Yaani Kuna watu wanaajira na wanateuliwa wanachagua tu kwakwenda wakati Mimi hata kesho tangu siioni nimemuonea donge mteuliwa. Mama miaka 8 au 6 bila ajira sio kitu mchezo, tafadhari fanya kitu.

Jamani mwaka huu nitaajiriwa iwe Kwa connection, rushwa, ushirikina, maombi,matambiko, ndondokela etc nitaajiriwa tu. Nimechoka kuwa kitukanio Cha watoto wanaopenda shule. Yaani mtaani mtoto anaependa shule anaambiwa "shule utakuwa wewe Fulani na kusoma kote Hana lolote!" Yaani serikali niwaombe ajira.

Kijiweni siruhusiwi kuchangia mjadala hata wa Simba na yanga maana ukichangia tu utasikia "yaani wewe na usomi wote unashabikia timu...., Au Yaani wewe elimu haijakusaidia kabisa! Yaani maisha haya nimechoka!. Serikali niajirini la sivyo nitaenda kuwa kichaa. Lakini najipanga labda msitangaze ajira za ualimu yaani hata laki tano natoa Kwa mwenye connection nimechoka mimi.
Nilikua naskia kimavi ndo hiki Sasa uko nacho
 
Hii situation naielewa kwa uhalisia wake, sio kwa kudhani wala kuisikia. Mungu afanye jambo mwaka huu kwako na kwangu pia.
 
Kulima umelima
Biashara umefanya
Kubet umebet
Hadi kujitolea na bado hamna kilichokufaa.
Ndugu, umeshindikana. Tafuta mwanamke akulee au kama kuna uwezekano wa kukaa tu ndani kaa mzee. Utaharibu kazi za watu.
Mipango wewe bado sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha hizi Habari bro/sister.Hii ishu ni serious sana na mwamba a namaanisha eti
 
Salamu ndugu viongozi,
Wachama na WA serikali,
Wakulima Kwa wafugaji,
Wasomi Kwa wasiosoma,
Matajiri Kwaasikini,
Wema Kwa wabaya,
Wakusali na wasio Sali
Nawasalimu Kwa jina la Bwana Mungu jina lipitalo majina yote.

Jamani Kama kusota kitaa nimesota Sana. Kama kazi za shamba nimefanya Sana. Biashara na kazi nje ya nilichokisomea nimefanya Sana. Kujitolea Ili kuongeza uzoefu wa kufundisha nimefanya na naendelea. Kubet nimebet Sana mpaka virtual. Kazi za serikali kupitia ajira portal nimeomba na kuhudhuria saili nyingi Sana mpaka nyingine nimeishia oral!

Sasa imefika wakati wangu wa kuajiriwa. Huu mwaka mama naomba aupige mwingi niajiriwe hata shule za msingi kikubwa niajiriwe. Yaani Kuna watu wanaajira na wanateuliwa wanachagua tu kwakwenda wakati Mimi hata kesho tangu siioni nimemuonea donge mteuliwa. Mama miaka 8 au 6 bila ajira sio kitu mchezo, tafadhari fanya kitu.

Jamani mwaka huu nitaajiriwa iwe Kwa connection, rushwa, ushirikina, maombi,matambiko, ndondokela etc nitaajiriwa tu. Nimechoka kuwa kitukanio Cha watoto wanaopenda shule. Yaani mtaani mtoto anaependa shule anaambiwa "shule utakuwa wewe Fulani na kusoma kote Hana lolote!" Yaani serikali niwaombe ajira.

Kijiweni siruhusiwi kuchangia mjadala hata wa Simba na yanga maana ukichangia tu utasikia "yaani wewe na usomi wote unashabikia timu...., Au Yaani wewe elimu haijakusaidia kabisa! Yaani maisha haya nimechoka!. Serikali niajirini la sivyo nitaenda kuwa kichaa. Lakini najipanga labda msitangaze ajira za ualimu yaani hata laki tano natoa Kwa mwenye connection nimechoka mimi.
Jobless WA hii nchi , tunatia huruma sana , yaani kwenda chuo kwa sasa nikupoteza muda na pesa ,fanya mambo mengine aisee ,kama una dogo au mtu unamfahamu ni bora kumwelewesha mapema kabisa , unemployment level iliyopo nchi hii kwa sasa ni balaa.
Wengi Tunaopitia hii hali mpaka wengine tudhazoea sasa ,ni kutafuta cha kufanya ili kusukuma maisha ,hamna namna , utaishia kupiga interview na vitoto ulivyovivalisha nepi enzi hizo ,ni fedheha sana .
Acha kabisa
 
Ni kweli kutafuta chochote cha kusukuma maisha
 
Kulima umelima
Biashara umefanya
Kubet umebet
Hadi kujitolea na bado hamna kilichokufaa.
Ndugu, umeshindikana. Tafuta mwanamke akulee au kama kuna uwezekano wa kukaa tu ndani kaa mzee. Utaharibu kazi za watu.
Mipango wewe bado sana[emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa umenifanya nicheke kama chizi usiku huu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Salamu ndugu viongozi,
Wachama na WA serikali,
Wakulima Kwa wafugaji,
Wasomi Kwa wasiosoma,
Matajiri Kwaasikini,
Wema Kwa wabaya,
Wakusali na wasio Sali
Nawasalimu Kwa jina la Bwana Mungu jina lipitalo majina yote.

Jamani Kama kusota kitaa nimesota Sana. Kama kazi za shamba nimefanya Sana. Biashara na kazi nje ya nilichokisomea nimefanya Sana. Kujitolea Ili kuongeza uzoefu wa kufundisha nimefanya na naendelea. Kubet nimebet Sana mpaka virtual. Kazi za serikali kupitia ajira portal nimeomba na kuhudhuria saili nyingi Sana mpaka nyingine nimeishia oral!

Sasa imefika wakati wangu wa kuajiriwa. Huu mwaka mama naomba aupige mwingi niajiriwe hata shule za msingi kikubwa niajiriwe. Yaani Kuna watu wanaajira na wanateuliwa wanachagua tu kwakwenda wakati Mimi hata kesho tangu siioni nimemuonea donge mteuliwa. Mama miaka 8 au 6 bila ajira sio kitu mchezo, tafadhari fanya kitu.

Jamani mwaka huu nitaajiriwa iwe Kwa connection, rushwa, ushirikina, maombi,matambiko, ndondokela etc nitaajiriwa tu. Nimechoka kuwa kitukanio Cha watoto wanaopenda shule. Yaani mtaani mtoto anaependa shule anaambiwa "shule utakuwa wewe Fulani na kusoma kote Hana lolote!" Yaani serikali niwaombe ajira.

Kijiweni siruhusiwi kuchangia mjadala hata wa Simba na yanga maana ukichangia tu utasikia "yaani wewe na usomi wote unashabikia timu...., Au Yaani wewe elimu haijakusaidia kabisa! Yaani maisha haya nimechoka!. Serikali niajirini la sivyo nitaenda kuwa kichaa. Lakini najipanga labda msitangaze ajira za ualimu yaani hata laki tano natoa Kwa mwenye connection nimechoka mimi.
MWENYEZI MUNGU AKUPE HITAJIO LAKO
 
Back
Top Bottom