Madibira 1
JF-Expert Member
- Jan 6, 2023
- 381
- 866
Salamu ndugu viongozi,
Wachama na WA serikali,
Wakulima Kwa wafugaji,
Wasomi Kwa wasiosoma,
Matajiri Kwaasikini,
Wema Kwa wabaya,
Wakusali na wasio Sali
Nawasalimu Kwa jina la Bwana Mungu jina lipitalo majina yote.
Jamani Kama kusota kitaa nimesota Sana. Kama kazi za shamba nimefanya Sana. Biashara na kazi nje ya nilichokisomea nimefanya Sana. Kujitolea Ili kuongeza uzoefu wa kufundisha nimefanya na naendelea. Kubet nimebet Sana mpaka virtual. Kazi za serikali kupitia ajira portal nimeomba na kuhudhuria saili nyingi Sana mpaka nyingine nimeishia oral!
Sasa imefika wakati wangu wa kuajiriwa. Huu mwaka mama naomba aupige mwingi niajiriwe hata shule za msingi kikubwa niajiriwe. Yaani Kuna watu wanaajira na wanateuliwa wanachagua tu kwakwenda wakati Mimi hata kesho tangu siioni nimemuonea donge mteuliwa. Mama miaka 8 au 6 bila ajira sio kitu mchezo, tafadhari fanya kitu.
Jamani mwaka huu nitaajiriwa iwe Kwa connection, rushwa, ushirikina, maombi,matambiko, ndondokela etc nitaajiriwa tu. Nimechoka kuwa kitukanio Cha watoto wanaopenda shule. Yaani mtaani mtoto anaependa shule anaambiwa "shule utakuwa wewe Fulani na kusoma kote Hana lolote!" Yaani serikali niwaombe ajira.
Kijiweni siruhusiwi kuchangia mjadala hata wa Simba na yanga maana ukichangia tu utasikia "yaani wewe na usomi wote unashabikia timu...., Au Yaani wewe elimu haijakusaidia kabisa! Yaani maisha haya nimechoka!. Serikali niajirini la sivyo nitaenda kuwa kichaa. Lakini najipanga labda msitangaze ajira za ualimu yaani hata laki tano natoa Kwa mwenye connection nimechoka mimi.