Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

Upuuzi kama huu ndo unafanya kanisa la kristu linadharaulika.
Ila tuliambiwa tutawajua tu watumishi wa kweli na wauongo.
 
🤣🤣🤣 Sema uwa ananiombea sana katika maombi yake
Do you believe in Jesus? Do you believe in Spiritual realm?If you get a chance to learn about Ulimwengu wa Roho utaelewa na utajiona mjinga sana kwa kuupuza.

Lakini ndugu yako na yeye atafute mwalimu mzuri sio kila kitu ni kibaya au uchawi bali pia utambue kila kitu unachokutana nacho kina nafasi ya kuimpact your spirit if you let it.

Watu hawasomi Biblia na ndio maana wanaendelea kufanywa wajinga...Mi nimeokoka lakini natambua mtumishi wa kweli na asiye wa kweli kupitia mafundisho yake tu kwasababu i study my bible and i know Jesus.

Watumishi wa Mungu wengi(sio wote) wenye majina makubwa si watumishi wa kweli.
 
Na wamewashika akili zaidi wanawake, yaani huwaambii kitu kuhusu hao manabii wao. Wanawatetea na kuwaogopa zaidi ya Mungu. Inshort ndio miungu yao hiyo.
Sasa hapo si afadhali hata sisi tusioenda kanisani eti
 

 
kuliko ukawe brain washed ni bora ubakie na utimamu wako dota, utachanganua mambo vizuri.
Aahh mimi na kanisa siku hizi hatukutani ni kila mtu na njia yake maana hizi dini zetu nazo daah
 
Karata 3 makanisani
 
Wajinga ndio waliwao.
 
Kwa uelewa wangu wa kibangibangi,wenye HIV wakimeza manjugu ukipima virusi havionekani.Sasa mama anatafuta wajinga walete manjugu yao ayaombee wameze wakapime test ionyeshe negative awapige pesa kuwa amewaponya.Simple like that.
Njugu gani ? Hizi njugu mawe?
 
Yan haya mambo huyo angekuwa muislam alaf anasimulia ujinga huo angetiwa bakora za maana
 
Wote mlio comment hapa ambao mnapanga nyumba na hasa wale wa kupanga room, 1 kesho alfajiri mtakuta hela ya kutosha kulipia pango imeingia.
Usitumie hiyo hela kwa issue nyingine.

Ukiona vigezo hivyo unavyo na hela hujapata basi huna imani.

Na wote wanaokejeli ujumbe huu watakuta change imepungua mfukoni au kwenye pochi.
 
Isije kuwa ni hawa jamaa waliopiga iringa.....maana walikua wanazirusha tu..
 
Huyu pastor ni choko.. nilienda pale mwaka mpya baada ya kutoka kanisa Fulani.. nikasema embu Leo nione watu wakikanyaga mafuta


Aisee.. niliona wamama na wazee pale machozi yalinilenga jamaa Hana huruma anayesa watu bure.. wazee wale walitakiwa wawe wamepumzika Nyumbani sio kuwa brain washed na huyu mpumbavu mmoja
 
Mwanae ni mlevi wa kupindukia.. anatumia pesa za sadaka za huyu jamaa kupiga pisi Kali za hapa mjini


Daily trip za Dubai.. nyie subirini hiyo miamala ya ml 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…