Huu msemo "Samaki mkunje angali mbichi" uko Real sana

Duuh,. Dogo saizi anaongea maneno hayakwami..
Ila ni anaongea taratibu akiwa ameshusha pumzi ,. Akipaza sauti lazima maneno yaishie njianπŸ˜„πŸ˜„,. Na hii mbinu bila mama asingeweza
 
Nadhani pengine na mimi ningekuwa hivyo kama bimkubwa asingelisimamia suala languπŸ˜ƒπŸ˜„,.
 
Basi kuna rafiki yangu yeye upande wake wa kushoto ndo una nguvu kuanzia mguu mpaka mkono, na pia ana kigugumizi. Huyo maza ako angepiga aue ila lijamaa lenyewe si haba lazima angeliogopa lina mwili kama bondia.
Hahahah . Angemuwahi kabla hajakuwa mtu mzimaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚
Ni uumbaji wa Mungu mkuu huwezi kurekebisha sometimes,. Mama yetu tu sijui hata alikua anawaza nini ila imesaidia sana hasa kwa Dogo.

Naimagine saizi angekua kijana anasimamisha mtu anaanza kushusha vocals maneno yanaishia njiani mwe!😌😌
 
Yeye alikua ana amini nini kuhusu mtu anaetumia mkono wa kushoto??
Na kwanini soln yake ilikua kipigo tu??
 
Yeah mzee wangu hapendagi kujichosha aisee,.
Tena kwenye masuala yaso na msingi mtamuona kama anadharauπŸ˜†πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hiyo ni kawaida kwa wanaume wengi tupo hivyo!, maana uwaze ada,kodi,kula, kuvaa na bill zote unazotakiwa kulipa the uwaze lee anaandikia mkono wakushoto!.. Haha! ni ngumu sana hii, kikubwa si anaandika haiui chochote cha mtu basi.
 
Hiyo ni kawaida kwa wanaume wengi tupo hivyo!, maana uwaze ada,kodi,kula, kuvaa na bill zote unazotakiwa kulipa the uwaze lee anaandikia mkono wakushoto!.. Haha! ni ngumu sana hii, kikubwa si anaandika haiui chochote cha mtu basi.
DahπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚,
Sema mnajikutaga busy hadi kwenye mambo yenu wenyewe hilo ndio tatizo
 
Daaah! Hii issue yako ya kuandika kwa left hand hadi mimi nimepigwa sana jamani, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umenikumbusha mbali aisee
 
Hampendi kujinunulia nguo why why why??,. Yaani mtu kwa mwaka anaeza akawa amenunua nguo na viatu mara moja kwa mwaka au mbili na hawazi . Kwanini??
Mh! majukumu na labda ukute mwengine kuvaa sio mambo yake!.. wapo wengine kuvaa huwaambii kitu yupo radhi ajinyime kitu fulani fulani ila kuvaa lazima atokee tu!.
So nafikiri hivyo viwili vinachangia yani uchumi na hobby!.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…