Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 9,753
- 17,375
HalooNdiye yeye
HalooNdiye yeye
Baridi flani hivi, na kimvua mvua basi burudani tuMama mkwe wangu u hali gani leo?
#amani itawale#
Anajaribu kujifariji tu.... Ila kwenye ule Uzi aliandika kwa hasira sanaAah wapi kasema hela ndogo hiyo,
Na uchungu sana, wanawake sio watu wazuri kabisaAnajaribu kujifariji tu.... Ila kwenye ule Uzi aliandika kwa hasira sana
Mungu akutunze huko ulikoBaridi flani hivi, na kimvua mvua basi burudani tu
Nacheka kama mazuri vile 😅😅Na uchungu sana, wanawake sio watu wazuri kabisa
🤩🤩🤩Na wewe piaMungu akutunze huko uliko
#amani ni tunu, tuilinde#
Unaweza ongea kichina wakati hukijuiNacheka kama mazuri vile 😅😅
Asante mamamkwe...🤩🤩🤩Na wewe pia
Sasa baba nina hamu na kuku wa kienyejiAsante mamamkwe...
(Nikupendaye kuliko upendo wenyewe)
#amani#
#amani#
Omba yasikukute, utanena kwa lugha 😅😅Unaweza ongea kichina wakati hukijui
Mwambie wife akupee cha asubuhi au unamuogopa?
Asubuhi asubuhi kuitana huku. Huyu jamaa ana tatizo kweli au alituchora kwamba mkewe kawekeza 47m kwao?Mwambie wife akupee cha asubuhi au unamuogopa?
Kashavurugwa huyo kiufupi ye ndo kaolewaAsubuhi asubuhi kuitana huku. Huyu jamaa ana tatizo kweli au alituchora kwamba mkewe kawekeza 47m kwao?
Wife ana nyumba ya takribani million 100, hana muda wa kuwaza kumpa jamaa cha asubuhi 😅😅😅Mwambie wife akupee cha asubuhi au unamuogopa?