Huu mpapai ni dume au jike?

Huu mpapai ni dume au jike?

INSONSILE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,934
Reaction score
2,876
Wadau habari.

Huu mpapai nilinunua mche mwezi January kama sijakosea. Sasaumeanza kutoa maua kama hayo mnayoona. Michemingine huwa inapotoa maua inatoa maua moja mojaambayo ndo inakuwa tunda lakini angalia hayo maua yalivyo mengi alafu madogo.

Hivi siyo papai dume kweli? Naomba wazoefu mnisaidie ili kama ni dume nikaling'oe haraka sana nipande mche mwingine ili huu usinilie rutuba zangu bure.

PAPAI.jpg
 
Nimeshangaa leo kuona kumbe kuna watu mpaka miche ya mipapai wananunua,Mimi home ipo imeota kila mahali mingine nafanya kuikata.

Papai tunda la kula familia ni Tsh 2,000/= ukitupa mbegu unapotaka ziote unapata siyo chini ya miti 20 so kwa idadi hii huwezi kukosa mapapai ya kutosha,au mkuu mleta mada nikuulize kwani huo mpapai ni tofauti na haya ya kwetu kiasi uwe special sana hadi uununue?
 
Nilikuwa nao wa Aina hiyo unazaa mapapai makubwa na unakuwa mrefu Sana matamu pia
Jibu lako limenifariji sana, maana ilibakia kidogo nikate mpapai wangu, ninayo miwili hapa kwangu na yote ipo kama ya mtoa mada hapo juu. Nilinunua mche kwa jamaa mmoja hivi alinihakikishia utazaa. Mpapai mwingine huo umeota wenyewe tu bila mimi kupanda.

Acha nivute subira, Asante.
 
Litaanza kuzaa moja au mawili baadae linazaa zaidi endelea kuwa na subira
 
Wadau habari.

Huu mpapai nilinunua mche mwezi January kama sijakosea. Sasaumeanza kutoa maua kama hayo mnayoona. Michemingine huwa inapotoa maua inatoa maua moja mojaambayo ndo inakuwa tunda lakini angalia hayo maua yalivyo mengi alafu madogo.

Hivi siyo papai dume kweli? Naomba wazoefu mnisaidie ili kama ni dume nikaling'oe haraka sana nipande mche mwingine ili huu usinilie rutuba zangu bure.

View attachment 3286066
Huo mpapai ni dume njia pekee ya kuubadilisha ni kuugongelea misumali
 
Jibu lako limenifariji sana, maana ilibakia kidogo nikate mpapai wangu, ninayo miwili hapa kwangu na yote ipo kama ya mtoa mada hapo juu. Nilinunua mche kwa jamaa mmoja hivi alinihakikishia utazaa. Mpapai mwingine huo umeota wenyewe tu bila mimi kupanda.

Acha nivute subira, Asante.
Mkuu huo ni dume. Liache tu Kwa ajiri ya uchavushaji ni muhimu sana. Kuhusu kwamba litazaa niuongo hata likiweka katunda ni kadogo mno.

Nimewahi kulima mapapai najua abc zake
 
Wadau habari.

Huu mpapai nilinunua mche mwezi January kama sijakosea. Sasaumeanza kutoa maua kama hayo mnayoona. Michemingine huwa inapotoa maua inatoa maua moja mojaambayo ndo inakuwa tunda lakini angalia hayo maua yalivyo mengi alafu madogo.

Hivi siyo papai dume kweli? Naomba wazoefu mnisaidie ili kama ni dume nikaling'oe haraka sana nipande mche mwingine ili huu usinilie rutuba zangu bure.

View attachment 3286066
Pole!
 
Back
Top Bottom