Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 14,625
- 20,891
Hilo Njemba Mkuu!Wadau habari.
Huu mpapai nilinunua mche mwezi January kama sijakosea. Sasaumeanza kutoa maua kama hayo mnayoona. Michemingine huwa inapotoa maua inatoa maua moja mojaambayo ndo inakuwa tunda lakini angalia hayo maua yalivyo mengi alafu madogo.
Hivi siyo papai dume kweli? Naomba wazoefu mnisaidie ili kama ni dume nikaling'oe haraka sana nipande mche mwingine ili huu usinilie rutuba zangu bure.
View attachment 3286066