The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,138
😆😆😆😅Utashi wa Hangaya,,,,si unyamaze uone huo moto
😆😆😆😅Utashi wa Hangaya,,,,si unyamaze uone huo moto
Katiba Mpya Kwa sasa ni takwa la wananchi, siyo la Chadema pekeeKwanza inabidi tukubali kuwa CCM walifanya kosa kubwa saana la kuiba uchaguzi kishamba last year. Kupitia wizi ule ndo maana wazo la katiba liliibuka na kwa hali ilivyo sioni wa kuuzima huu Moto...
HakunaHangaya,Ndugai, babu Tale, katambi, Mollel hivi Hawa bila tume Nani awapigie kura
Hii kinga ya raisi nchi nyingi zenye akili zilishaachana na huo ujinga.kwasababu hicho kipengele kinabeba madudu mengi sana kuanzia kwenye maamuzi ya rais hadi wateule wake.Wateule wengi wa rais wanafanya madudu kwasababu wanajua boss wao atawakingia kifua.Hii Katiba ya kijinga iliyopo ilivyoamua Rais asishtakiwe kwa chochote atachofanya akiwa madarakani pale ndio ilijishusha ikamuweka Rais juu yake, ndio maana kila siku wanavunja sheria sababu wanajua wanalindwa na sheria pia.
Lolote linawezekanaNinavyoona Lissu akituaa tu, watamfanyia kama Mbowe.
Usikariri sana maisha.Ukiyakariri muda utakuja kukuaibisha.Ni kelele tuu mnapiga ila hakuna mnachoweza kufanya Ili mpate ni utashi wa Rais na ccm,kwani wapi umesikia wanazungumzia Katiba?
Hiyo kitu haipo, swallow this.
Huku ni kujifariji mkuu.Katiba ni pamoja na kuandamana,uko tayari?Usikariri sana maisha.Ukiyakariri muda utakuja kukuaibisha.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Utafiti gani - umesema katiba mpya ni takwa la wananchi kwa sasa?Hakuna namna katiba mpya ni takwa la wananchi
Mm nimeuliza jamviMuulize Hangaya
we mzanzibar unaogopa katiba mpya tutawatoa na bibi yenu huku baraUtafiti gani - umesema katiba mpya ni takwa la wananchi kwa sasa?
Mkuu hebu jiulize awali dogo tu: Ni nini kilichomuibua Ndugai huko aliko na kuanzia harakati za kutaka kutenganisha Mhimili wa Bunge na ule Uliojichimbia chini zaidi??? Ukipata jibu jiulize tena, je hatima ya sakata lile ni nn kitatokea??Ni kelele tuu mnapiga ila hakuna mnachoweza kufanya Ili mpate ni utashi wa Rais na ccm,kwani wapi umesikia wanazungumzia Katiba?
Hiyo kitu haipo, swallow this.
Ndugai anatumiwa na kundi linalotaka uras,ambalo halitaki mama ila sio kwamba eti wanataka Katiba.Mkuu hebu jiulize awali dogo tu: Ni nini kilichomuibua Ndugai huko aliko na kuanzia harakati za kutaka kutenganisha Mhimili wa Bunge na ule Uliojichimbia chini zaidi??? Ukipata jibu jiulize tena, je hatima ya sakata lile ni nn kitatokea??
Ndiyo maana wanaokoleza moto huu wa Katiba Mpya ni wanaccm baada ya kuona kuwa tabia ya Mwenyekiti wao Taifa kuwa na mamlaka/madaraka ya kuamua Nani awe Nani yamepitwa na wakati.Nani ampende Hangaya,Ndugai, babu Tale, katambi, Mollel hivi Hawa bila tume Nani awapigie kura
Eti na Ndugai hawezi kushitakiwaHii kinga ya raisi nchi nyingi zenye akili zilishaachana na huo ujinga.kwasababu hicho kipengele kinabeba madudu mengi sana kuanzia kwenye maamuzi ya rais hadi wateule wake.Wateule wengi wa rais wanafanya madudu kwasababu wanajua boss wao atawakingia kifua.Kwahiyo ukiweza kuwin moyo wa rais wewe unafanya utakavyo na hakuna wakukugusa.Hii kitu niyakufutilia mbali.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Acha tu nduguNdiyo maana wanaokoleza moto huu wa Katiba Mpya ni wanaccm baada ya kuona kuwa tabia ya Mwenyekiti wao Taifa kuwa na mamlaka/madaraka ya kuamua Nani awe Nani yamepitwa na wakati.
Nani angetegemea Ndugai kutukanwa hadharani na wanaccm wenzie tena watoto wadogo???