Huu Moto wa Katiba Mpya naona umekolea sana nchi nzima

Hii Katiba ya kijinga iliyopo ilivyoamua Rais asishtakiwe kwa chochote atachofanya akiwa madarakani pale ndio ilijishusha ikamuweka Rais juu yake, ndio maana kila siku wanavunja sheria sababu wanajua wanalindwa na sheria pia.
Hii kinga ya raisi nchi nyingi zenye akili zilishaachana na huo ujinga.kwasababu hicho kipengele kinabeba madudu mengi sana kuanzia kwenye maamuzi ya rais hadi wateule wake.Wateule wengi wa rais wanafanya madudu kwasababu wanajua boss wao atawakingia kifua.

Kwahiyo ukiweza kuwin moyo wa rais wewe unafanya utakavyo na hakuna wakukugusa.Hii kitu niyakufutilia mbali.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwani walioanzisha/waliowasha moto wa Katiba Mpya ni Wapinzani. Hivi sasa wanaokoleza moto wenyewe ni watu wenye hekima toka Chama Tawala.
 
Ni kelele tuu mnapiga ila hakuna mnachoweza kufanya Ili mpate ni utashi wa Rais na ccm,kwani wapi umesikia wanazungumzia Katiba?

Hiyo kitu haipo, swallow this.
Mkuu hebu jiulize awali dogo tu: Ni nini kilichomuibua Ndugai huko aliko na kuanzia harakati za kutaka kutenganisha Mhimili wa Bunge na ule Uliojichimbia chini zaidi??? Ukipata jibu jiulize tena, je hatima ya sakata lile ni nn kitatokea??
 
Ndugai anatumiwa na kundi linalotaka uras,ambalo halitaki mama ila sio kwamba eti wanataka Katiba.
 
Nani ampende Hangaya,Ndugai, babu Tale, katambi, Mollel hivi Hawa bila tume Nani awapigie kura
Ndiyo maana wanaokoleza moto huu wa Katiba Mpya ni wanaccm baada ya kuona kuwa tabia ya Mwenyekiti wao Taifa kuwa na mamlaka/madaraka ya kuamua Nani awe Nani yamepitwa na wakati.

Nani angetegemea Ndugai kutukanwa hadharani na wanaccm wenzie tena watoto wadogo???
 
Hii kinga ya raisi nchi nyingi zenye akili zilishaachana na huo ujinga.kwasababu hicho kipengele kinabeba madudu mengi sana kuanzia kwenye maamuzi ya rais hadi wateule wake.Wateule wengi wa rais wanafanya madudu kwasababu wanajua boss wao atawakingia kifua.Kwahiyo ukiweza kuwin moyo wa rais wewe unafanya utakavyo na hakuna wakukugusa.Hii kitu niyakufutilia mbali.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Eti na Ndugai hawezi kushitakiwa
 
Ndiyo maana wanaokoleza moto huu wa Katiba Mpya ni wanaccm baada ya kuona kuwa tabia ya Mwenyekiti wao Taifa kuwa na mamlaka/madaraka ya kuamua Nani awe Nani yamepitwa na wakati.

Nani angetegemea Ndugai kutukanwa hadharani na wanaccm wenzie tena watoto wadogo???
Acha tu ndugu
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom