Huu mchezo usiujaribu hapa nyumbani mwanawane

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
249189_459566554070957_853337544_n.jpg
 
Hahaha! Ffu wa kwetu walivyo na hasira, wataifyatua hiyo kitendea kazi, by the time they finish hata unyayo hautoonekana!
 
Ukisikia kazi ya askari ni kulinda usalama wa raia na mali zao ndo hiyo. Tumuulize mwema kwani wa kwake hawana uvumilivu kiasi hicho?
 
bangi aliyovuta huyo jamaa ni ya nje ya dunia hii asee! . .au kama ni mjasiri basi anastahili nishani.
 
Ka! ...ingekuwa hapa, hicho kitendea kazi kingelala daima...
 
FFU wa Tanzania bora ukutane hata na mbwa wa polisi ana huruma.

Kama unabisha waulize waleta fujo wa Arusha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom