Hakuna hata nyanya moja itatupwa 🍅 🍅 🍅!

Hakuna hata nyanya moja itatupwa 🍅 🍅 🍅!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
22,716
Reaction score
27,413
Kuliko kufikiri mambo ya lissu na mdomo wake ambao ndiyo umemponza ni bora twende na wazo zuri la kibiashara tunajua tuna 🍅 paste!,lakini pia tunaweza kupata 🍅 powder tukaokoa nyanya nyingi aww ambazo huozea mashambani!.......
Hapa suala ni kuzingatia usafi tu,
Ongeza Ginger,garlic kidogo tayari,machumvi na mandimu watajiwekea wenyewe mwanawane!

==============

🍅 Don’t Let Your Tomatoes Go to Waste! 🌿 Turn Them Into Homemade Tomato Powder That’s Bursting With Flavor! 😋

1000011771.jpg

••Crodiletooth business intellegency !••
 
Badala ya kufurahi, mnateseka! Inashangaza kidogo kuona mtu mmoja pekee anawechezesha ngoma vile apendavyo!
Vijiko vitatu tu vya 🍅 powder vitakupatia mchuzi mzito sana 😃
Piga hii deal utajirike mkuu kuliko kusumbuka na huyo mnywa konyagi,tengeneza unga wa 🍅 powder,packs na uza kwa bei poa tu 250/- Piga pesa!.....
 
Kuliko kufikiri mambo ya lissu na mdomo wake ambao ndiyo umemponza ni bora twende na wazo zuri la kibiashara tunajua tuna 🍅 paste!,lakini pia tunaweza kupata 🍅 powder tukaokoa nyanya nyingi aww ambazo huozea mashambani!.......
Hapa suala ni kuzingatia usafi tu,
Ongeza Ginger,garlic kidogo tayari,
==============

🍅 Don’t Let Your Tomatoes Go to Waste! 🌿 Turn Them Into Homemade Tomato Powder That’s Bursting With Flavor! 😋

View attachment 3654363
Hii elimu inapaswa ifundishwe nchi nzima ili kusiwe na utupaji wa nyanya zinazoiva mpaka zinaharibika...
 
Kuliko kufikiri mambo ya lissu na mdomo wake ambao ndiyo umemponza ni bora twende na wazo zuri la kibiashara tunajua tuna 🍅 paste!,lakini pia tunaweza kupata 🍅 powder tukaokoa nyanya nyingi aww ambazo huozea mashambani!.......
Hapa suala ni kuzingatia usafi tu,
Ongeza Ginger,garlic kidogo tayari,machumvi na mandimu watajiwekea wenyewe mwanawane!

==============

🍅 Don’t Let Your Tomatoes Go to Waste! 🌿 Turn Them Into Homemade Tomato Powder That’s Bursting With Flavor! 😋

View attachment 3654363
Good business na itasaidia wakulima wetu kupata market, ila haki kwanza, anachofanyiwa Lisu ni abuse of power haikubaliki
 
Wazo zuri sana lakini Wabongo sasa! Mtatengeneza hiyo powder, mkiambiwa mzingatie usafi mtaanza kuuliza magonjwa yana macho kwani?
Upo sahihi mkuu......
Unaweza kwenda sido wakakutengenezea dryer la umeme!
Ukaenda kariakoo ukaprint bags zenye nailon kwa ndani,with good atractive color and picture,+ ingredient,
*Tomato
*Garlic
*Ginger
°Make 💰!
 
Mtengenezaji anaweza print satchet kama hii hapa!,kwa quality hii,akapiga hela,
Pigeni hela vijana!
N.b,satchet hii nimeibuni kwa kompyuta yangu,yeyote anaweza kopi na kutumia
1000011794.png
 
Kali sana
Acha akina Mo dewji waichukie hii fursa!..../ Ningelikuwa na fedha ningelifanya hili lakini sina capital ya suala hili,atakayelibeba basi anikumbuke na packet format nimempa,itakuwa ni product ya kipekee sana.
••Ninazo products nyingi sana! Kwa raw material za kawaida zilizopo hapa nchini zinazozarauliwa na kuharibika tu.
 
Back
Top Bottom