Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,544
- 23,844
Hakuna jambo linauma kama kufukuzwa kazi katika kipindi ambacho hujajiandaa.
Tumaini linalobaki ni kwenye savings na pension. Lakini baadae wakati wa kufuatilia pension unajikuta katika maumivu zaidi ya ile ya kufukuzwa kazi.
Najiuliza Sheria iliyounda NSSF ilipitiswa na nani na kwa bunge lipi?
Itoshe Kusema NSSF Ni Matapeli kama Matapeli Wengine
Mtu Kapoteza ajira, anafungua dai la fao la kukosa ajira ili angalau funguwe office ndogo lakini mnampiga chenga Kila siku, Hakuna kinachoendelea. Mnataka ajitoe muhanga apambane na nyie?
Mkipigiwa simu hampokei, tukija Ofisini mnaishia kusema "swala lako linashughulikiwa". Maana yake ni nini?
Huu ni utapeli kama utapeli mwingine.
Siku zinakuja hizi taasisi za kitapeli na za kisenge zote tutazifuta kwa wino wa milele
Wapumbavu nyie.