Hutokea unapoongozana na mkuu wako

Hutokea unapoongozana na mkuu wako

Umenena vizuri sana, kama hakuna tafsiri ya moja moja kwa moja ya neno force je kwanini polisi waitwe police force?
Kama force tafsiri yake ni jeshi, kwanini Magereza wao waitwe Prisons wakati nao ni jeshi la magereza, basi waitwe tu Prison force.[emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Magereza inaitwa prison force.
 
Magereza wanaitwa prison force.
Mkuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni rahisi sana kubadili maandishi lakini sio kuubadili ukweli, hata ukiangalia kwenye appaullete hadi leo hii inasomeka Polisi kama mimi muongo angalia hapo chini[emoji116]
70bb03e886982eaa192ec3d2f8d23f33.jpg

tofauti na hii ya jwtz ambayo inajitosheleza.[emoji116]
b5ece7856b34c4322ae9e215978779ec.jpg

Hata kama tatizoni kiingereza basi jwtz wanatumia tpdf.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
kwahiyo ulitaka waandike jpt au nakosea???
 
Cheki na hii
c9d714880d0448ae05cc2c71c926a370.jpg
 
kwahiyo ulitaka waandike jpt au nakosea???
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kitu ambacho hakiwezekani jwtz = jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania, bado nasubiri jeshi la polisi[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Tanzania Peoples Defensive Force = Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania
Police Force= Jeshi la polisi
acha ubishi mkuu
 
Kwahiyo ndiyo kusema Bosi aliyebebwa hapo hata ikatokea amejamba tu iwe kwa bahati mbaya au makusudi huyo aliyembeba itabidi tu amvumilie na aivumilie hiyo ' harufu taka ' itakayotoka? Kuna Kazi zingine ni za lawama sana hapa duniani hakyanani.
😀 😀 😀...
 
Hapo kilichowachanganya ni matumiz ya lugha. Ukitafrisi Neno LA kiingereza moja kwa moja utaingia Chaka. Polisi na jwtz ni tofaut. Polisi anajifunza kukaa na raia huku jwtz mafunzo yao ya medani. Hilo neno jeshi LA polisi lisiwachanganye mkajua polisi nao ni jeshi km jwtz
 
Back
Top Bottom