Hutokea unapoongozana na mkuu wako

Hutokea unapoongozana na mkuu wako

Ukiweka maneno Police force tafsiri ni neno Polisi tu, haisemi ni jeshi la polisi, kwanini tulazimishe kuita jeshi la polisi?
d8f5095a1be90cfad7f49e7363d58ed1.jpg

Uk wanatumia neno army kulingana na ukubwa wa jeshi lao.
Hata hivyo Tanzania mbali na jeshi ililonalo bado haijafikia kuitwa Army.
 
Hata hivyo Tanzania mbali na jeshi ililonalo bado haijafikia kuitwa Army.
vizuri sana,nilitaka ufike hapa.

serikali kwa mamlaka iliyo nayo ina uwezo wa kufuta labisa,au kuongeza jeshi nchini kwake.au nadanganya???

kama hatujafikia kuwa na army,sasa mikakati hiyo haiwezi semwa.tuishie hapa au????
 
Kiukweli katiba yetu inawatambua kuwa ni jeshi. Lakini haya mambo tumeyakuta kwa wakoloni, lakini wao hadi leo hii wanawatambua kuwa polisi ni polisi na jeshi ni jeshi, mfano mzuri kwa wakoloni waingereza ambao ndio tuliopokea kwao.
UK police forces - Police.uk

British Army - Wikipedia
Kwanza army ni sehemu ya jeshi lakini sio jeshi lenyewe. Jeshi linaitwa military ambapo ndani yake kunakuwa army, navy force na airforce.
 
Kwanza army ni sehemu ya jeshi lakini sio jeshi lenyewe. Jeshi linaitwa military ambapo ndani yake kunakuwa army, navy force na airforce.
Lakini unapokuja kiformation tambua kuwa kwenye jeshi kuna kuanzia section, platoon, company, units, regiment, brigade, command, division, corps ndio ufikie ngazi ya army na kila kikundi hapo huwa kina idadi ya askari husika ndipo kiitwe kwa jina husika, sijui tumeelewana. Tunaposema army basi tunamaanisha hiyo ngazi ya juu kabisa ambapo hata idadi ya jeshi lenyewe huwa inajulikana ni kubwa kuliko.
 
Kwanza army ni sehemu ya jeshi lakini sio jeshi lenyewe. Jeshi linaitwa military ambapo ndani yake kunakuwa army, navy force na airforce.
Sema military ni sehemu ya jeshi. Army ni jeshi lenyewe ambapondani yake hivyo vijundi vyote huwemo
 
vizuri sana,nilitaka ufike hapa.

serikali kwa mamlaka iliyo nayo ina uwezo wa kufuta labisa,au kuongeza jeshi nchini kwake.au nadanganya???

kama hatujafikia kuwa na army,sasa mikakati hiyo haiwezi semwa.tuishie hapa au????
Kuweza kufikia army ni kuwa na jeshi kubwa, kwamfano kuna ngazi moja inaitwa corps ambapo kwenye ngazi hii nchi huwa na jeshi lisilopungua askari 45,000
 
Kuweza kufikia army ni kuwa na jeshi kubwa, kwamfano kuna ngazi moja inaitwa corps ambapo kwenye ngazi hii nchi huwa na jeshi lisilopungua askari 45,000
sasa 45 elfu,mbona tumeishavuka kitambo sana hapo,au ulimaanisha laki nne na nusu???
 
Ukiweka maneno Police force tafsiri ni neno Polisi tu, haisemi ni jeshi la polisi, kwanini tulazimishe kuita jeshi la polisi?
d8f5095a1be90cfad7f49e7363d58ed1.jpg

Uk wanatumia neno army kulingana na ukubwa wa jeshi lao.
Hakuna tafsiri ya moja kwa moja ya neno force na ndio maana inatafsirika tu kama jeshi lakini force neno hilo lina maana ya kutumia nguvu kutekeleza matakwa ya kisheria hivyo matumizi ya nguvu yanategemea majukumu ya chombo husika. Mfano magereza wanaweza kutumia nguvu(force) kuhakikisha watu waliopatikana na hatia za kuvunja sheria wanatumikia adhabu kama sheria inavyotaka, polisi wanaweza kutumia nguvu kuhakikisha watuhumiwa wa uhalifu wote wanafikishwa mahakamani ili kujibu tuhuma za uvunjifu wa sheria na hiyo ndio kazi ya civilian police au polisi wa kiraia.
 
Hakuna tafsiri ya moja kwa moja ya neno force na ndio maana inatafsirika tu kama jeshi lakini force neno hilo lina maana ya kutumia nguvu kutekeleza matakwa ya kisheria hivyo matumizi ya nguvu yanategemea majukumu ya chombo husika. Mfano magereza wanaweza kutumia nguvu(force) kuhakikisha watu waliopatikana na hatia za kuvunja sheria wanatumikia adhabu kama sheria inavyotaka, polisi wanaweza kutumia nguvu kuhakikisha watuhumiwa wa uhalifi wote wanafikishwa mahakamani ili kujibu tuhuma za uvunjifu wa sheria na hiyo ndio kazi ya civilian police au polisi wa kiraia.
Umenena vizuri sana, kama hakuna tafsiri ya moja moja kwa moja ya neno force je kwanini polisi waitwe police force?
Kama force tafsiri yake ni jeshi, kwanini Magereza wao waitwe Prisons wakati nao ni jeshi la magereza, basi waitwe tu Prison force.[emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
si ndio wanaitwa hivyo.
 
Kama mimi najifanya nimeteleza na mbwaga chini.
 
Back
Top Bottom