Hutokea unapoongozana na mkuu wako

Hutokea unapoongozana na mkuu wako

India sijawahi kusikia polisi wakiitwa jeshi la polisi, wao ni polisi tu na wanajua kuwa muundo wao ni constabulary na sio regimentaly
 
Kwani polisi sio jeshi mbona kila leo tunaambiwa jeshi la polisi limeua majambanoka matano? Jeshi ni jeshi hata mgambo ni jeshi
Ni kweli unachosema lakini shida yao wanaokwenda kule ni form 4 failure, sasa we ukishafeli utaniambia nini Mimi mwenye master labda ndio maana yule bwana akasema sio jeshi
 
Ni kweli unachosema lakini shida yao wanaokwenda kule ni form 4 failure, sasa we ukishafeli utaniambia nini Mimi mwenye master labda ndio maana yule bwana akasema sio jeshi
Wabongo bhana
We una uhakika kwamba wanaoenda kule ni waliofeli?

Pitia nyuzi za humu uone graduates wangapi wanaulizia nafasi za kwenda majeshini.

Vyombo vya ulinzi kwa sasa vinachukua wasomi wengi mno kama vilikua vinachukua waliofeli basi ni zamani sana sio kwa sasa mkuu.
 
Jipendekeze kwa bosi maisha yaende..........hapa jamaa alimlazimisha kumbeba bosi.
 
Ni kweli unachosema lakini shida yao wanaokwenda kule ni form 4 failure, sasa we ukishafeli utaniambia nini Mimi mwenye master labda ndio maana yule bwana akasema sio jeshi
kwahiyo ukiwa na masters ndio unajua kila kitu???
hakuna wa kukurekebisha.

na aliyekwambia wanaenda waliofeli tu,ni nani???hizo kazi ni hobby mkuu,kuna watu wapo huko wana elimu kukuzidi.
 
Wabongo bhana
We una uhakika kwamba wanaoenda kule ni waliofeli?

Pitia nyuzi za humu uone graduates wangapi wanaulizia nafasi za kwenda majeshini.

Vyombo vya ulinzi kwa sasa vinachukua wasomi wengi mno kama vilikua vinachukua waliofeli basi ni zamani sana sio kwa sasa mkuu.
Huo ndio ukweli unauma sema ndio mfumo uliopo lakini wenzao wa jwtz wameshabadilika siku nyingi
 
Huo ndio ukweli unauma sema ndio mfumo uliopo lakini wenzao wa jwtz wameshabadilika siku nyingi
jwtz wamebadilika eti.aisee.

ni kweli naona siku hizi wanaajiri graduates tu kwa ajiri ya kozi za awali.
 
kwahiyo ukiwa na masters ndio unajua kila kitu???
hakuna wa kukurekebisha.

na aliyekwambia wanaenda waliofeli tu,ni nani???hizo kazi ni hobby mkuu,kuna watu wapo huko wana elimu kukuzidi.
Sio kweli kumzidi Dr specialist kule hakuna bwana kusoma ushindwe hadi kusoma pichaa jipange
 
Sio kweli kumzidi Dr specialist kule hakuna bwana kusoma ushindwe hadi kusoma pichaa jipange
hoja yako ni wasomi hawapo.

msomi ni kunzia ngazi gani kwako???maana naanza kupata shaka na elimu yako.
 
Sasa hapo ukamanda upo wapi...

Kama kapata mafunzo ya aina yote... Kwa nini abwebwe na siyo kuonesha mfano...


Cc: mahondaw
 
Lazima tukubali tu kuwa POLISI ya Tanzania ni jeshi pia, kwenye medani na wao wako vizuri kuliko hata baadhi ya wanajeshi, kuna polisi ni wakakamavu na wako fiti sana,
kama jkt mnapitia wote then mnaenda kupiga kozi za miezi michache sana kwenye majeshi husika, kama mnabeba SMG wote au Ak 47 halafu mnaanza kubaguana bila mambo ya msingi mnasahau kuwa huo ni mgawanyo tu wa majukumu ndani nchi.
 
Kamanda gani mzembe anabebwa kama begi la mgongoni.
Kuonyesha ukamanda wake yeye ndio alitakiwa ambebe huyo aliyebebwa.
Kwa walioangalia movie ya hacksaw ridge Yule sajenti alikataa kuitwa sir akisema Sir is used for useless people
 
Back
Top Bottom