Hutokea unapoongozana na mkuu wako

Hutokea unapoongozana na mkuu wako

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,730
Indian-Police-Funny-Facebook-Pics.jpg
 
Shida ya jeshini kokote kule unaishi kwa AMRI na siyo sheria kama raia wa kawaida kule kila kitu ni Amri wewe ni ndiyo afande ndiyo mkuu hakuna kubisha kule ni nidhamu na utii kwa wakubwa
 
Afande amelowa hadi boksa kwaajili ya kuonyesha utii kwa mkubwa wake, kazi hii inataka moyo sana,,
 
Shida ya jeshini kokote kule unaishi kwa AMRI na siyo sheria kama raia wa kawaida kule kila kitu ni Amri wewe ni ndiyo afande ndiyo mkuu hakuna kubisha kule ni nidhamu na utii kwa wakubwa
Hao ni polisi, hivyo hawana chochote wanachojua kuhusu jeshi.
 
Back
Top Bottom