Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,383
Mbali na mgawanyo wa kazi pia kuwa na silaha na mafunzo mbali mbali,Lazima tukubali tu kuwa POLISI ya Tanzania ni jeshi pia, kwenye medani na wao wako vizuri kuliko hata baadhi ya wanajeshi, kuna polisi ni wakakamavu na wako fiti sana,
kama jkt mnapitia wote then mnaenda kupiga kozi za miezi michache sana kwenye majeshi husika, kama mnabeba SMG wote au Ak 47 halafu mnaanza kubaguana bila mambo ya msingi mnasahau kuwa huo ni mgawanyo tu wa majukumu ndani nchi.
Utofauti uliopo kwa jeshi kuna mafunzo ya mara kwa mara tofauti na polisi
Pia kuna kozi za uongozi na ujuzi, tofauti na polisi, kwa jeshi unaweza kukuta mtu ndani ya miaka 6 amekwenda kozi kama 3 tofauti na polisi. Hiyo pia nayo ni tofauti.